Twiter kuna wapwa na wakulingwa tuinuane huku tunainuka pamoja kama jamii moja

Victor Mlaki

JF-Expert Member
May 1, 2016
3,542
3,451
Hii ndiyo raha ya kuwa mwanachama wa jamii forum, wote ni ndugu hakuna cha wapwa wala wakulingwa tunainuka kama jamii moja.

Jamii forum inabaki kuwa uwanja mpana wa jamii wenye kutoa hoja kuntu katika mawanda yote ya jamii yetu.

"Tunainuka pamoja kama Jamii"
 
Back
Top Bottom