My True story.
Kisa hiki kinaanzia miaka kadhaa nyuma wakati nikiwa mwanafunzi wa mwaka wa mwisho kimasomo katika shule moja ya sekondari nchini.
Nilikuwa nafanya juhudi kubwa sana katika masomo na asilimia kubwa marafiki zangu shuleni walikuwa ni wale wanafunzi ambao 'wanajitambua' na...
JUMLA ya wanafunzi 68 kutoka shule za msingi na Sekondari katika Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu wamepata ujauzito katika kipindi cha mwezi Januari hadi Novemba mwaka huu.
Taarifa ya Jeshi la Polisi wilayani humo dawati la jinsia, imeeleza kuwa shule za msingi ni wanafunzi watatu wakati wa...
Kinachofanya jamii iharibike ni Ile dhana ya Wanawake nao kutaka kuchagua mtu ata Kama Hana nyuma Wala mbele, matokeo yake mwanamke anazaa na wanaume wa ajabu ajabu hawana malengo na kupelekea kuwepo kwa single mother wengi, unavyombebea mimba mwanaume kwa kigezo Cha moyo unampenda ni uzwazwa...
Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema hadi kufika hapa siku ya leo, napenda kuwashukuru nyote kwa kuja, tunapoungana kwa ajili ya kuadhimisha siku ya mtoto njiti Duniani leo tarehe 17 Novemba 2020. Aidha ninayo furaha kuwa sehemu ya maadhimisho haya, jambo...
Wanaume wenzangu.
Siri ya mafanikio ya kuitunza ndoa yako ni ule UANAUME uliopo ndani yako. Wanawake huwa wanapenda mwanaume ambaye ni MWANAUME kweli kweli ndani mpaka nje.
Kuna wakati anaweza kukuomba idhini ya jambo ili kukupima tu je utamkubalia au kumkatalia. Kumkatalia mwanamke kwenye...
Hawa mabwana mpaka sasa wameubana mtandao wa Twitter, ila cha ajabu wao wenyewe ni watumiaji wazuri wa huu mtandao kitu ambacho kinatushangaza sana. Kama twitter ina watumiaji mnaowaona ni hatari au hawafai, kwanini basi na nyinyi mnaendelea kuutumia huo mtandao baada ya kuubana?Tuwaelewje au...
WanaJF.
Moja ya kazi ngumu Rais wetu aliyoifanya ni pamoja na kuifanya jamii kufanya biashara halali. Ilikuwa kazi mgumu kuwaondoa wafanyabiashara matapeli kwani walikuwa washirika wakubwa na viongozi wanaoishikiria serikali. Mwanzo tunaowajua hawa wafanyabiashara tuliogopa sana kwamba wanaweza...
Kwanza kabisa niseme wazi kuwa mimi binafsi sio kwamba naridhika na kila kitu kinavyotendeka katika nchi yangu hii lakini ustawi wa watanzania wote, ustawi wa nchi yangu ni bora kuliko matakwa yangu binafsi.
Nilivyokuwa mdogo niliwaza sana kufanya kazi katika taasisi kubwa za nchi hii kwa maana...
Mail & Guardian moja kati ya gazeti linalopigania usawa na uhuru wa kujieleza katika nchi za Kiafrika limeandika kuwa Uandishi wa Habari unapoteza maana yake kwa kuwa waandishi wa habari wana Uanaharakati na urazini katika uandishi wao.
Wameandika kuwa ni vyombo vichache ambavyo hufanya kazi...
Wana jamvi niwasalimu kwanza, na moja kwa moja niende kwenye mada.
Asubuhi ya leo nimepokea taarifa toka kwa rafiki yangu mmoja aliyeko Dar akitaka kufahamu kwa nini mbwa jamii ya Rottwieler hugeuka na kushambulia wamiliki na kufikia kuwaua. Hii ni kutokana na ukweli kwamba usiku wa kuamkia leo...
Kamati ya Maudhui ya TCRA ikiongozwa na Makamu Menyekiti wake, Ndugu Joseph Mapunda, imetembelea ofisi za Jamii Forums ikiwa na lengo la kujifunza mambo kadha wa kadha kuhusu Taasisi na kujionea namna huduma inavyotolewa kwa wananchi. Kamati hiyo ilipokelewa na watendaji wa Jamii Forums...
Taasisi ya Kiraia ya JamiiForums pamoja na Taasisi ya Doris Mollel Foundation wameingia mkataba wa makubaliano wa kupeleka ujumbe sahihi kwa wananchi kuhusiana na watoto wanaoizaliwa kabla ya wakati (njiti).
Akizungumza katika hafla hiyo Mkurugenzi na Mhasisi wa Doris Mollel Foundation Doris...
Wakubaliana kupaza sauti kutoa elimu kwa umma kuhusu masuala yamhusuyo Mtoto Njiti hususani Changamoto wanazopitia Watoto na wazazi wao.
Pia, wanadhamiria kuielimisha Jamii kuhusu namna bora ya kuwalea Watoto Njiti. Kampeni hii imelenga kuifanya jamii iondokane na fikra potofu kuhusu...
1. Kuchat mapenzi na demu wake kwenye public platforms, na kuitana romantic words na kuchumiana...
2. Kukiss na demu wake yaani amelegea kabisa mbele za watu au anapiga picha anapost picha kabisa amelegeza macho, alafu mbaya zaidi huyo demu wake ndio kakaza kama mwanaume yaanu...
Mfano angalia...
Nawasalimu, amani iwe juu yenu wanajukwaa!
Naapa kwa aliyeumba, huyu ataenda kuwa Rais ambaye atavunja historia tangu nchi hii ipate uhuru watu wataishi katika Chuki na visasi vya hapa na pale. CCM kitakua ndicho chama kitakachochukiwa na watu wote katika jamii na hata wao watachukua na wenyewe...
Watumiaji wa mtandao wa twitter, Telegram, wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo.
PIA SOMA
= > Leo Mitandao ya kijamii Tanzania Bara imekuwa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter na Telegram zimeguswa
Je unajua kua ukiamka ukakunja na kutandika kitanda chako vyema inakupa 98% ya kukuonyesha mafanikio yako kwa siku hiyo
Je unajua kua...
1. Unaweza acha kuvuta sigara na vingine mda wowote unaotaka
2. Unaweza start exercising wherever you want
3. Unaweza kutembelea jiji lolote duniani unalo...
"Nitahakikisha haki, uhuru na maendeleo yanamgusa mtu mmoja mmoja na jamii yote kwa ujumla wake. Nitakuwa Rais wa watanzania wote, nitaheshimu katiba ya Tanzania, utu wa watu, imani za watu wote na itikadi mbalimbali. Nitakuwa Rais wa watu wote, sitabagua wala kuwapendelea watu kimaendeleo kwa...
Mambo ya jinsi na jinsia tangu kale yamekuwa mambo ya tafiti nyingi. Kwa karne nyingi mambo ya jinsi na jinsia hayakuwa yanaeleweka wazi.
Kuna mitazamo mbalimbali katika jamii kuhusu mambo ya jinsi na jinsia. Katika jamii nyingi mambo ya jinsi na jinsia yanadhaniwa kama mambo yaliyobuniwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.