jamii

  1. W

    JamiiForums Tanzania Vifo vimekuwa vingi, ni wakati wa kutafakari ni historia gani unaiacha kwenye akaunti zako za mitandao ya kijamii

    Nilipata ujumbe kutoka FB ulioandikwa " (pamoja na picha yake ya profile) ni siku yake ya kuzaliwa, wasiliana nae umtakie heri ya siku ya kuzaliwa". Huyu mtu alifariki miaka kama mitano nyuma sasa sijajua kwann FB haikufuta akaunti yake. Hayupo, ila ameacha alichokiacha kwenye mtandao wa jamii...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Choo ni kipimo cha ustaarabu katika jamii

    Choo ni sehemu ya muhimu sana, iwe nyumbani, hotelini, ofisini, sokoni, safarini, nk. Utunzaji wa choo unahusisha usafi wake. Ukitaka kufahamu ustaarabu wa jamii angalia mpango lip wa vyoo na usafi wake. Hata uishi kwenye nyumba yenye thamani ya mabilioni, kama choo chako ni kichafu...
  3. UKARIMU

    JamiiForums Tanzania Na hawa wanakatwa fedha kwenda mifuko ya hifadhi ya jamii?

    W
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko katika jamii yana faida na hasara zake

    Zamani haikuruhusiwa binti kuzaa nje ya ndoa. Ikitokea binti amepata ujauzito kabla ya ndoa, wazazi walimlea mpaka anajifungua na akisha jifungua mtoto anatolewa kwenda kuasiliwa. Wazazi wengine waliwapeleka watoto wao kwenye nyumba za watawa. Kule mabinti walifanya kazi ya kufua nguo, kuanzia...
  5. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Unaweza kufanya kazi ya kuihudumia jamii (Mwalimu, Polisi, Daktari) ndani ya eneo/kijiji ulichozaliwa?

    Habari za muda huu jamiiforums. Unawezaje kufanya kazi ya kuihudumia jamii (Mwalimu, Polisi, Daktari) ndani ya eneo/kijiji ulichozaliwa pasipo kupata lawama za ndugu, jamaa na marafiki? Jenga picha umemaliza chuo kikuu mwaka 2008 na kisha kuajiriwa mwaka 2009 na ilipofika mwaka 2020 umepanda...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tukomeshe 'Cyberbullying' kwenye jamii ya Kitanzania

    Ndugu Watanzania, Nimekuwa nikifatilia mitandao ya kijamii hasa Tanzania. Naona serikali yetu imejisahau kuweka sheria za mtu au kikundi chochote kinachofanya Cyber-bullying kwa mtu au jamii fulani. Sasa hivi kwenye jamii yetu watu kutukanana kwenye mitandao au kuitana majina kama "Panya" au...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania TEC: Mipasuko kwenye jamii Husababishwa na Watu fulani kujiona bora zaidi na wako juu ya Katiba na sheria

    BARAZA la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania (TEC), limewataka Watanzania kuacha siasa za upendeleo na ubinafsi, kwa kuwa zinasababisha mfarakano katika kijamii. Wito huo umetolewa na TEC kupitia ujumbe wake wa Kwaresma uliotolewa hivi karibuni, ukiwa na kichwa cha habari “Ingekuwa...
  8. Mema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Tuangazie rushwa adui wa maendeleo

    Tuangazie #Rushwa Rushwa ni aina ya ukosefu wa uaminifu au kosa la jinai linalofanywa na mtu, taasisi, au shirika lililopewa madaraka, kujipatia faida haramu au kutumia nguvu vibaya kwa faida binafsi. Rushwa inamaliza imani, inadhoofisha demokrasia, inakwamisha, maendeleo ya uchumi na...
  9. C

    JamiiForums Tanzania New Habari 2006 Ltd ya Rostam haipeleki michango mifuko ya Jamii

    Salama wakuu, Mimi ni mmoja wa waandishi wa zamani wa New Habari 2006 Ltd inayomilikiwa na Rostam Aziz. Nimefuatilia mafao yangu PPF kwa zaidi ya miaka saba sasa. Lakini kila siku ninaambiwa bado michango haijapelekwa. Nikienda ofisini, watu wa utawala wanasema kampuni haina fedha, sasa...
  10. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Kutoka February 16 2010-mpaka February 16-2021 hapa Jamii Forums

    KUTOKA FEBRUARY 16-2010-MPAKA FEBRUARY 16-2021 MIAKA KUMI NA MOJA(11) KATIKA MTANDAO BORA TANZANIA WA JAMII FORUMS. Leo ni siku ambayo kwangu naiona kama siku ya kishujaa muno,Nasema hivyo kwakuwa nimeweza kutimiza miaka 11 katika huu mtandao nimekuwa mwanafamilia wa huu mtandao,JF kama wengi...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ni taasisi muhimu sana katika jamii

    Kuna kisa nimekutana nacho, kisa hiki ni cha mwanaume aliyefanikiwa sana kimaisha. Kwa taaluma ni mhandisi anaefanya kazi na kampuni za kigeni. Mshahara wake kwa mwezi ni kama 12 million hivi bado allowance. Huyu mwanaume alipokua O level tangu kidato cha pili alipata mpenzi, walipeana mimba...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Vyuo gani vinatoa Nursing intake ya mwezi Machi

    Nilikua naomba kujua kwa anaefaham vyuo vya nursing vinavyotoa march intake please
  13. Francis12

    JamiiForums Tanzania Kwa heshima naombeni mpigie Kura Malisa GJ amekuwa mchango mkubwa sana kwa Jamii katika kugusa maisha ya Watanzania

    Anaandika Comrade Malisa GJ. Rafiki yangu mmoja kanitumia ujumbe "Malisa mbona huombi kura?" Ikabidi nimpigie kumuuliza kura za nini? Akaniambia za tuzo. Nikamuuliza tuzo zipi? Akaniambia umependekezwa kwenye tuzo ziitwazo Tanzania Inspiration Awards. Nikamwambia sina taarifa. Akanitumia...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu: Amani ya kweli haimaanishi kutokuwepo kwa fukuto au migogoro bali ni kuwepo kwa Haki kwa jamii

    Mama Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Tanzania amesema, amani inatokana na haki. Akizungumza wakati wa kufungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake (TAWJA) tarehe 24 Januari 2021, jijini Mwanza amesema, haki ndio msingi wa amani. “Mheshimiwa Jaji Mkuu sote unatambua...
  15. Bikis

    JamiiForums Tanzania Tamko la Madiwani na viongozi wa mila (Ilaigwanak) wa eneo la hifadhi ya mamlaka ya Ngorongoro (NCAA)

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAMKO LA MADIWANI NA VIONGOZI WA MILA (ILAIGWANAK) WA ENEO LA HIFADHI YA NGORONGORO (TARAFA YA NGORONGORO) JUU YA UHIFADHI NA JAMII Sisi, Madiwani na Viongozi wa Mila (Ilaigwanak) wa Tarafa ya Ngorongoro (eneo la Hifadhi ya Ngorongoro), Wilaya Ngorongoro kwa niaba...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo Serikali ya awamu ya tano imeyafanyia kazi baada ya kubandikwa hapa JamiiForums

    Ni mengi yameletwa hapa jukwaani kwa muda mrefu na kwa awamu tofauti tangu zama za utawala wa Mr. Clean a.k.a Ben Mkapa ambapo jukwaa hili lilianza rasmi likijulikana kwa jina la @JamboForums. Alipoingia Mkwere a.k.a Jakaya Kikwete, naye aliendelea kupitia pitia JamiiForums ambapo mengi...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo wa matumizi ya dawa za jamii ya viagra

    Wakuu mimi nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu. Nimejaribu kutumia dawa nyingi sana za kienyeji pamoja na vyakula bila ya mafanikio. NImejaribu kutumia vumbi la congo pia limenitupa mkono. Sasa nimebakisha mawili tu. Nimenza mazoezi takriban wiki ya pili sasa na naendelea...
  18. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliwahi ku-date na mwanaJF, ilikuwa hivi, wewe je?

    Mkasa huu nawaletea ulitokea kipindi cha mwaka 2013 nikiwa nasoma chuoni Arusha (IAA – Institute of accountancy Arusha) , nilikuwa na miaka 22 Miaka hiyo nilikuwa natumia ID nyingine humu JF, JF enzi hizo tulikuwa wachache sana humu jamiiforums maana smatphones zilikuwa bei sana, bando...
  19. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Nawatakieni heri ya mwaka mpya 2021

    Bandugu, Heri ya mwaka mpya 2021, Mungu awatunze mfikie malengo yenu. Kama una povu siyo mbaya ukalimwaga Stay blessed.
  20. J

    JamiiForums Tanzania Makamishna wastaafu wa Polisi wataka jamii iwatumie kwa ushauri, pia wako tayari kutangaza utalii

    Makamishna wastaafu wa jeshi la polisi wamesema kupitia umoja wao wako tayari kuitumikia jamii kwa kutoa ushauri na kutumia elimu yao kuisaidia jamii. Kamishna mstaafu Mohamed Mpinga amesema jamii isisite kuwaendea kwa ushauri popote walipo. Naye kamishna mstaafu Jamal Rwambo ameiomba serikali...
Back
Top Bottom