jamii

  1. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Hayati Mwl. Nyerere alikuwa mpinzani dhidi ya Wakoloni. Kuwa mpinzani siyo lazima uwe na lengo baya kwa jamii

    Nimesikiliza sera mbalimbali za vyama vyetu kuelekea uchaguzi Mkuu 2020. Kuna watu wanaaminishwa huku vijijini kuwa ukichagua mpinzani kutatokea vita. Pia nimesikia baadhi ya redio na Tvs na kauli hata za viongozi wa juu kutoa mifano kama ya Rwanda, Libya, Misri nk kuwa ndiyo picha ya matokeo...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Viongozi mfikirie kumbukumbu (legacy) mtakayoaichia jamii baada ya madaraka na vifo vyenu

    Wazungu wanasema legacy ni pesa au mafao unayo yaacha kwenye jamii yako baada ya kifo chako. Dunia ya leo ina kumbuka legacy ya Mwalimu Nyerere si kwakua alijilikimbizia mali bali alijali watu wake mpaka mwisho wa madaraka yake. Kwa exposure ya Nyerere, aliweza kuangalia Cuba Fidel Castro...
  3. safuher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usisubiri mzazi akuombe ndio umpe, sio busara

    Wakuu kuwasaidia wazazi wetu tusisubiri simu ya haloo baba tunashida huku,alafu wewe ndo unatuma alfu kumi,sio busara. Ukipata chochote tuma japo 10% ya ulichopata sio mpaka wakuombe,nao watu wale wanaonaga jau kuomba kila mara. Usisubiri upate laki ndo utume alfu 30, wewe umepata kidogo tuma...
  4. mdhalendo

    JamiiForums Tanzania Lini wanachama wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii watanufaika na uwekezaji wa mifuko hiyo?

    Mifuko ya Hifadhi za Jamii kama NSSF inafanya uwekezaji mkubwa sana kwa kutumia michango ya wanachama. Miradi hiyo ya matrillioni ya Shillingi inajumuisha uwekezaji kwenye mabenki, kilimo na majengo makubwa ya kibiashara (Real estate), madaraja ya kulipia pamoja na uuzaji wa nyumba. Je, wenye...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Watu jamii ya Lissu wako wengi mjini

    Juzi nimeona clip ya Lissu akiwa Kariakoo akinunua maparachichi pilipili hoho na nyanyachungu, nikajiuliza hivi kweli mtu unatoka Kimara kwenda Kariakoo kununua parachichi na nyanyachungu? Huko Kimara hakuna soko? Hakuna genge? Nikajiuliza inawezekana akina Lissu wako wengi mjini wanatoka...
  6. UKWELIYAKINIFU

    JamiiForums Tanzania Turudishe ustawi wa jamii katika taifa letu, wakati ni sasa

    Kwa upande wa CCM, huduma za afya zinachukuliwa kama huduma za msingi zinazolenga kupatikana kwa urahisi, gharama nafuu na kuweza kujenga taifa la wachapa kazi. Na mifano ya awali ya kilichofanyika kama kuongeza vituo vya afya kutoka 718 hadi 1,205; zahanati kutoka 6,044 hadi 7,242; hospitali za...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwanamke achomwa kisu shingoni baada ya ugomvi wa kutoleana siri za michepuko kwa jamii

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia SALOME BUYA [23] Mkazi wa Mnazi kwa Ndomba wilayani Mbarali kwa tuhuma za kumjeruhi vibaya sehemu ya shingoni TABIA ABDALAH [38] Mkazi wa Msesule. Tukio hili limetokea mnamo tarehe 06.10.2020 majira ya saa 18:00 jioni huko Kijiji cha Mnazi, Kata ya...
  8. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli apiga simu mubashara kwenye Kongamano la CWT na kukanusha kufutwa kwa Ualimu Ngazi ya Cheti

    Leo tarehe 5 Oktoba, katika Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani lililoandaliwa na CWT, Dodoma, Rais John Pombe Magufuli alipiga simu 'live' na kuongea na washiriki wa kongamano na pia kukanusha kufutwa kwa ualimu wa ngazi ya cheti. Rais Magufuli amewataka walimu kupuuza taarifa hiyo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Utambulisho

    Habari jamiiforum. .!! Mimi ni mgeni humu nashukuru rasmi nimeweza kujiunga jamii forum kwenye kambi kuu ya maarifa na burudani. Asanten
  10. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume yapeleka barua Makao Makuu ya CHADEMA kwa pikipiki. Afisa mwandamizi ahusishwa

    Zipo taarifa kuwa baada ya Tundu Lissu kutaka tume ipeleke barua kwake akiwa Serengeti tume imemtuma mtumishi mwandamizi akiwa amepakiwa kwenye pikipiki kupeleka barua hiyo. Taarifa hizi zinazidi kuumiza kichwa kuhusu Uhuru walionao wajumbe wa tume yetu ya uchaguzi. Uwezo wao wa akili na kama...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kitambulisho cha Mjasiriamali kilivyoleta mateso katika jamii

    Ndugu yangu ni mkulima wa jembe la mkono. Analima shamba lake na analimia watu ili kupata pesa ya sukari na sabuni. Kuna siku kazi za kulimia watu zinakosekana. Ikifika hali hii mke wake anadamka alfajiri kuwahi soko la matunda. Ananunua ndizi na machungwa anatembeza kwenye beseni lake...
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamii inayonizunguka inanipa mawazo sana ndugu zangu

    Habarini ndugu zangu, naombeni niwape mkasa wangu kidogo ili walio nizidi umri na wenye busara wanishauri kwenye ili ninalopitia, maana nina ongozwa na mawazo sana na nashindwa kuiona kesho yangu ilio bora Kwanza kabisa umri wangu ni miaka 30 kwa sasaivi, nimetokea katika familia ya ufukara...
  13. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Hodi katika jukwaa lililo bora la JamiiForums

    BWANA ASIFIWE ............. ! Najitambulisha kwenu wana JamiiForums kwamba ni mgeni wenu. Natarajia mapokezi na ushirikiano kama mwanajamii mzee lakini kijana katika jukwaa ! Mimi nina mke mmoja mpaka kifo, na nina watoto wa kiume na kike katika familia niliyojaliwa, na Mungu aliyemwumba...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya Uchaguzi ya NCCR Mageuzi: Vipaumbele ni Katiba Mpya, Elimu, Muafaka wa Kitaifa, Afya na Ustawi wa Jamii, Mazingira na Makazi

    UTEKELEZAJI WA HII ILANI NA SIFA ZA KIONGOZI Serikali itakayoongozwa na NCCR-Mageuzi itaweka mkazo katika kuimarisha mifumo ya kiutendaji ya serikali kuu na serikali za mitaa ili ufuatiliaji wa utekelezaji wa Ilani uwe wenye tija kwa umma wa watanzania. Serikali itahakikisha usimamizi wa miradi...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu waungwana wa Jamii Forums

    Heshima yenu wakuu: Mimi ni kijana wa kiume mkazi wa Dar es salaam na katika harakati za kielemu nimefanikiwa kuhitimu kidato cha sita. Pia kupitia marafiki nimefanikiwa kuwa na ujuzi wa kutumia Computer na applications zake mbalimbali ikiwemo namna ya ku install hizo apps na kuzitumia na kwa...
  16. okiwira

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mume wangu asipokunywa pombe, akimaliza kukojoa lazima matone madogo ya damu yatoke

    Ni baba wa watoto 3 tangu ameoa amechepuka mara 4. Kwa sasa ametulia kama miaka 2 bila kuchepuka. Ila kuna tatizo ameliona yeye ni mnywaji wa konyagi na bingwa. Akinywa pombe hizo halioni tatizo hilo ila asipokunywa analiona. Shida ni nini hasa? Asipokunywa siku tatu na kuendelea kila...
  17. Wang Shu

    JamiiForums Tanzania Jamii humpongeza sana kijana aliyefanikiwa kujenga nyumbani na anakuwa mfano wa kuigwa

    Katika mafanikio kila mtu hutamani hayafikie basi ni kumiliki nyumba ni moja ya ndoto ya kila mmoja na rika tofauti, kila mtu anataka kuwa na kwake na familia yake. Kwa Hali ya maisha ya sasa ni ngumu kiasi kujenga angali kijana,wapo wanaofanikiwa kujenga nyumba ya kuishi kipato cha kawaida...
  18. white wizard

    JamiiForums Tanzania Uuzaji pombe hovyo sasa ni hatari kwa jamii. Vibanda vingi mtaani/stendi kila sehemu wanauza pombe

    Kwa hali iliyofikia huku mtaani sasa serikali inatakiwa kuingilia kati. Kwani sasa vibanda vingi mtaani/stendi kila sehemu wanauza pombe hasa hizo kali, jamii ya konyagi, kwa sasa utakuta kibanda kinauza machungwa, pipi, soda, unga, mkaa hapo hapo wanauza pombe kali Kwani mamlaka husika hasa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya ya Taifa (NIHF) ni wauaji wakubwa wa jamii ya Tanzania

    1. Dawa muhimu kwa wazee wameziondoa eti ni bei ghali 2. Wazee wanalipa hela kubwa wakati wakijua fika kuw wazee wamestaafu, hawana nguvu za kufanya kazi etc. Mfano mdogo ni huu: Fastum gel ya maumivu ya mgongo kwa wazee, a very effect dawa kwa sababu with aging maumivu ya mgongo inakuwa...
  20. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Duniani kote huwa vigumu wanaharakati kushika dola sababu huwa hawawezi kufanya kazi na kuiva na makundi yote katika jamii ikiwemo Tanzania

    Ukiwa mfuatiliaji wa wanadiasa washika dola duniani kote ni vigumu mno kwa wanaharakati kushika dola sababu huwa hawana uwezo kabisa wa ku mobilize makundi yote katika jamii yswapende na yawaunge mkono kuwapa dola Makundi hayo Ni Kama viongozi wa kiserikali, mahakama,taasisi za kidini,vyombo...
Back
Top Bottom