Kwa heshima naombeni mpigie Kura Malisa GJ amekuwa mchango mkubwa sana kwa Jamii katika kugusa maisha ya Watanzania

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
Anaandika Comrade Malisa GJ.

Rafiki yangu mmoja kanitumia ujumbe "Malisa mbona huombi kura?" Ikabidi nimpigie kumuuliza kura za nini? Akaniambia za tuzo. Nikamuuliza tuzo zipi? Akaniambia umependekezwa kwenye tuzo ziitwazo Tanzania Inspiration Awards. Nikamwambia sina taarifa.

Akanitumia "link" nikapitia na kuona kweli nimependekezwa kwenye kipengele cha "Charity and Services" yani mtu anayefanya kazi za kujitolea na shughuli za kugusa jamii.

Nawashukuru wote mliopiga kura za kunipendekeza kwenye tuzo hizo bila hata mimi kujua. Basi nawaomba mnipigie kura niweze kushinda, nisiishie kwenye mapendekezo tu. 🤣

Jinsi ya kupiga kura bonyeza link hii TANZANIA INSPIRATION AWARDS 2020 kisha tafuta kipengele kilichoandikwa "Charity and Service" hapo outaona orodha ya majina kadhaa. Bonyeza kitufe kilichopo pembeni ya jina langu, kisha shuka chini kabisa utaona maneno "Wasilisha" bonyeza hapo. Utakua tayari umenipigia kura.

Asanteni na Mungu awabariki!

FB_IMG_1611643706224.jpg
 
Nina shida na "motive" mzee

Shida ni "MOTIVE" tu....

Nikujenga persona ya savior,ili ajenge political capital,sio kwamba yeye ni Mother Teresa wa huu ulimwengu,I dont believe that nonsense!

Natukana ndio mimi ni mwanadamu na kutukana ni kazi ya mwanadamu,I do exactly a human being is supposed to do,sasa unashangaa nini?

Ni political technique ya kujijengea mtaji,it is well known mzee!

Mimi nime-state the fact,sio kama nataka kumshusha kwenye hustle yake,nimeweka bayana tu...

Hii picha ya kwamba yeye ni malaika anataka kuijenga kwenye jamii sio true,behind it kuna political capital anajijengea,and thats true!

Asanidie yeyote who cares?Nataka kujua motives mamaeee
Umetumia maneno makali, ila hoja yako ni fikirishi..

Binafsi ninaunga sana Mkono Jitihada za Malisa kuisaidia Jamii. Ila alianza kunipa mashaka alipoanzisha utaratibu Wa Kuwatangazia Biashara watoa michango. Siyo vibaya (pia ana Uhuru huo); ila inaleta taswira ya kujionesha na kujitangaza zaidi kuliko kusaidia kidhati.

Kwa imani yangu MTU anayetoa msaada na akapenda ijulikane kuwa amesaidia, basi msaada wake ni kazi bure mbele za Mungu.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom