jamii

  1. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Mashirika ya hifadhi ya jamii kutoa mikopo kwa wanachama wao

    Wanajamii Forum, Naomba niwape Salam zanguu wote bila ya kujali ya Rangi ,Kabila na dini. Na baada ya Salamu nisiwachoche maana najua shughuli Mingi mwisho wa wiki kujiandaa kwa mapambano ya wiki nyingine. Leo nina hoja, kwa hapa nchini mwetu kwa sasa tuna mifuko miwili ya Hifadhi ya jamii...
  2. JamiiForums Tanzania Enzi za Dola ya Roma walichaguliwa wenye bikra kutumikia madhabahu. Hawa walipewa heshima kubwa katika jamii

    Utaratibu kama huu unaweza kurudisha heshima ya bikra katika jamii na wana wari kujitunza mpaka ndoa.
  3. JamiiForums Tanzania Tambua mambo sita ya ajabu kutoka kwa jamii ya Aghori nchini India

    Habarini za Alhamisi natumaini mpo vizuri sana, poleni kwa wale wagonjwa Mungu awape afya njema. kama ilivyo kawaida yangu ya kuwaletea makala za kutambua mambo mbalimbali kuhusu jamii kadhaa hapa duniani. kuanzia utamaduni wao, mila pamoja na namna ya maisha yao kwa ujumla. Leo nitakuja...
  4. JamiiForums Tanzania TAMWA: Jamii inawajibika kukemea vitendo vya Ukatili Wa Kijinsia

    Kuelekea maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia, kila mmoja katika Jamii ana wajibu wa kukemea vitendo vya Ukatili Wa Kijinsia na kutoa Elimu juu ya madhara ya vitendo hivyo Usawa wa Haki, Uwajibikaji na Elimu kwa wote ni muhimu kupunguza matukio ya unyanyasaji wa kijinsia TAMWA
  5. JamiiForums Tanzania Uwepo wa waandishi wa habari makanjanja ni hatari ndani ya jamii/ nchi

    WAANDISHI MAKANJANJA NI HATARI NDANI YA NCHI. Anaandika Robert Heriel. Leo nitatumia lugha ngumu kidogo, nafahamu nazungumzia kazi za watu ambazo zinawaingizia kipato. Hata hivyo Nia yangu sio kuonyesha ubinafsi, kuwaonea kijicho, isipokuwa kuwataka wabadilike, ili tujenge jamii Bora na taifa...
  6. JamiiForums Tanzania Wanahabari walia na waajiri kutopeleka michango mifuko ya hifadhi ya jamii

    Giza limetanda sekta ya habari wana habari hususani wa sekta binafsi walia na waajiri kitopeleka michango katika mifuko ya hifadhi ya Jamii e.g (Nssf). Mbunge Ester Bulaya ambae kitaaluma ni mwanahabari pia, juzi bungeni aliuliza swali dogo la nyongeza kuhusu kilio cha wana habari...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kutangaza na Jamii Forums

    Habari zenu JF expert members. Nahitaji kujua kutangaza na Jamii Forums gharama zake (kama ni Admin/mod inbox Kwa maelezo zaidi) na wewe mwingine share ujuzi wako kuhusu kutangaza na Jamii Forums. Asante
  8. T

    JamiiForums Tanzania DAWASCO mna la kujifunza, maji ni muhimu sana katika jamii

    DAWASA/DAWASCO ni shirika la hivyo kabisa Sijui kama wanajua kuwa maji ni muhimu saana kwenye jamii. Nisizunguke saana maana tatizo la maji ni la nchi nzima na ni ujinga wa viongozi wetu. Ujinga wa DAWASCO ni 1. Maji yakiwa yanavuja mtaani kwako badala ya kurekebisha wanakata bomba na kukunja...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Msomali kuchoma kisu mbunge wa Uingereza leo sijui jamii ya kisomali itaashi kwa amani

    Inakuwaje Wanajamvi! Imethibitika mwanaume MSOMALI mwenye miaka 25 ndo alimuua Tory MP Sir David Ammes kwa kuchoma kisu mara nyingi kifuani huku mashuhuda wakipigwa mayowe ya hatarii. Hii imepelekea jeshi la polisi Uingereza kupitia upya ulinzi wa wabunge na wanasiasa. Wasomali ambao idadi...
  10. JamiiForums Tanzania "Adolescence" Neno linalotumika kuangamiza jamii ya mwanadamu

    Adolescence ni neno la kimombo ambalo humaanisha umri kati ya utoto na utu uzima. Inakadiliwa miaka kati ya 10 hadi 19. Umri huu umeitwa majina mengi ikiwemo foolish age kwa maana ya umri wa ujinga. Kiukweli neno hili ni mtego mkubwa ambao wanadamu wameingizwa bila kujua. Vijana umri huu...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kutoa ajira kwa waliofeli divisheni 4 tena kuanzia point 28 mpaka 31 ni kutuharibia jamii

    Nimeona matangazo ya ajira ya uhamiaji kuwa wanahitaji kidato cha 4 waliopata divishen 4 kuanzia pointi 28 mpaka 31 nikajiuliza sana. Hivi taifa hili akili huwa tunazipeleka wapi? kwa nini uwe specific kutoa upendeleo kwa waliofeli? unaipeleka wapi jamii yetu kwa upendeleo wa aina hiyo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mimba za utotoni kikwazo kwa mabinti wengi vijijini

    Mimba za utotoni kikwazo kwa mabinti wengi vijijini Habari wanajamvi, Naomba kuwasilisha kwenu andiko hili kuhusiana na changamoto ya mimba za utotoni. UTANGULIZI Tunapozungumzia mimba za utotoni tunamaanisha ni ile hali ya kuwa na ujauzito kwa binti yeyote ambae hajatimiza umri wa miaka 18...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia; Achana na hoja ya Haki Sawa inakupotezea Ushawishi ndani ya jamii

    RAIS SAMIA, ACHANA NA HOJA YA HAKI SAWA. INAKUPOTEZEA USHAWISHI NDANI YA JAMII. Na, Robert Heriel. Kwa maoni na mtazamo wangu ambao kimsingi nauamini, ninaona mbele zaidi miaka kadhaa ijayo. Naomba Mhe. Rais uachane na hoja ya Haki Sawa bhaina ya Mwanamke na Mwanaume. Hakunaga haki Sawa baina...
  14. G

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kuleta maendeleo kwenye jamii ni jukumu la nani?

    Nilipokuwa mdogo niliwaza na kufikiri kuwa, swala la kuleta maendeleo (mabadiliko) kwenye jamii ni jukumu la serikali na matajiri pekee. Nilihisi wao pekee ndio wenye nguvu ya kufanya hivyo. Mpaka leo mawazo haya yapo kwa baadhi ya watu ikiwemo vijana. Wengi wetu uhisi kuwa kuna kikundi fulani...
  15. JamiiForums Tanzania Simba kukakataa kuvaa medali siku ya ngao ya jamii ni kukosa ungwana

    Mpira ni mchezo wa ungwana, simba iliposhinda Kigoma yanga walivaa medali kama mshindi wa pili, hii inaonyesha simba sio hawajui fair play, wanataka wao tu wawe wanashinda, wamesahau kuwa ni zama za return of champion.
  16. JamiiForums Tanzania SoC01 Brainwashing kwenye Dini. Kushamiri kwa Madhehebu, Na muelekeo unaofaa kufatwa na Jamii kwa ustawi wa Afya ya akili.

    Utangulizi. Nadhani sisi sote ni wafuasi wa imani fulani maishani.Either iwe ya kidini ama ya kifikra zaidi(scientific). Na hizi Beliefs system ndizo sana sana zinatuongoza maishani mwetu juu ya kile kipi tunafanya kila siku. Mada. Kwa Africa Uislamu-uliletwa na waarabu kipindi cha ukoloni na...
  17. JamiiForums Tanzania Kumbe huyu ustaadh ndio kawabeba Yanga ngao ya jamii

    Huyu ustadh pichani aliingiaje ndani ya vyumba vya ndani ya uwanja na hayo madude yake? Yanga bila ndumba mambo hayaendi.
  18. JamiiForums Tanzania Nini kitatokea endapo serikali itapandisha vigezo vya kusoma elimu ya juu? Je, kutakuwa na athari gani ktk jamii kiuchumi?

    Wakuu hili swali nimeliuliza sehemu nkashindwa kupata majibu nimeona nililete hapa. Nini kitatokea endapo serikali itapandisha vigezo vya kusoma elimu ya juu? Je kutakuwa na athari gani ktk jamii kiuchumi? Mfano alama za kujiunga chuo ziwe atleast BBB
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kurudisha heshima ya Polisi kwa jamii iundwe tume

    Mimi ni mtoto wa Polisi na wazazi wangu wote walikuwa kwenye jeshi hili kwa miaka mingi sana. Kwa ufupi wazazi wangu hawajawahi kufanya kazi nyingine. Ukweli kumekuwa na malalamiko mengi sana ya unyanyasaji wa Polisi wa hali ya juu. Hii sio kwa wanasiasa pekee tumesikia haya malalamiko kutoka...
  20. JamiiForums Tanzania Mitihani ya supplementary chuo cha ustawi wa jamii ngazi ya diploma inaanza mwezi wa ngapi na gharama ni sh. ngapi

    Habari za Leo wakuu, Naomba kufahamishwa katika hili. Mitihani ya supplementary chuo cha ustawi wa jamii ngazi ya diploma inaanza mwezi wa ngapi na gharama ni sh. ngapi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…