Nataka kujua huwa jamii huwa wanamchukuliaje kijana wa kiume ambaye amekaa muda mrefu bila mwenza pengine tangu amalize chuo atakaa ata miaka 3 - 5 hana demu wala mke hata mtoto wakuzingiziwa yeye hana
Nilishawahi kwenda mahali fulani mizunguko ya hapa na pale sasa kuna nyumba moja
Kuna jamaa...
Nataka kuoa ila mwanamke nilienae pasua kichwa sana. Nafirikia nimiache nitafte mwingine ila nahisi sitawamaliza na huenda huyu ni afadhali ya huyo next. Tatizo kubwa la huyu ni kuwa hataki kuona niko karibu na wanawake wengine, yaani hata nimisalimiwa na mwanamke afu akaongeza na maneno mawili...
July 30th 2021
MUSTAKABALI WA JAMII
Ningependa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwanza kwa kunipa pumzi na fahamu za kuweza kuweka mada hii mbele ya jamii. Naomba aniwezeshe ili niweze kufikia jamii husika kuhusu mada hii mahsusi kwa rika zote, kabila zote, wake kwa waume na dini zote. Naomba...
Dunia ya leo imesheheni mataifa mengi na jamii nyingi kutoka kila pande ambazo kila moja ya jamii hizo iko na desturi na utamaduni wake wa pekee. Tamaduni na desturi hizo zinaweza kuwa chanzo cha kuongezeka au kudorora kwa maendeleo katika jamii husika, mfano mzuri ni uzingatiaji wa afya ya...
DEMOKRASIA
Ni aina ya utawala ambayomaamuzi huamuriwa na watu. Pia demokrasia huruhusu maamuzi mbalimbali kufanyika kupitia nguvu ya watu. Demokrasia huruhusu uhuru wa watu, vyama vingi vya siasa, uhuru wa vyombo vya habari na usawa katika sheria. Demokrasia huchochea mabadiriko katika jamii ni...
Ninavyojua mimi kwenye misiba huwa kuna utani kati ya watani ambayo inasaidia kupunguza uchungu na kubadili hali ya hewa kwa muda kwa kuwaondoa wafiwa kwenye tension ya msiba walau kwa dakika chache, bila kumvunjia marehemu heshma au kuleta taharuki
Lakini leo nimekutana na hii clip nikabaki na...
Katika taifa letu la Tanzania, watanzania tumejijengea utaratibu wa kushirikiana katika maswala mbalimbali ndani ya jamii zetu kama kuchangiana harusi, kutoa rambi rambi kwenye misiba na kujenga makanisa pamoja na misikiti. Haya yote yanafanyika na yanafanikiwa kutokana na nguvu ya umoja na...
Dr Anthony Fauci moja Kati ya madaktari na wanasayansi wakubwa katika nchi ya Marekani pia mshauri mkuu wa Raisi katika masuala ya Afya na bingwa wa magonjwa ya kuambukiza(infectious diseases) na director wa taasisi ya magonjwa ya kuambukiza na (allergy) marekani katika mahojiano yake na NBC...
Kuna kitu nimeobserve Mara nyingi kwenye Jamii, taarifa zikienea mtaani kuwa una-date na mdada flani, watu wanaanza kukuuliza yule mdada ulimpa sh ngapi hadi ukampata, mwingine atasema ni kwa vile wewe una hela kumzidi fulani ndio maana ukampata yule mdada, mwingine atakusema Pembeni wakati...
Nilikutana na mhandisi kutoka Iran, amepata scholarship ya kusoma shahada ya uzamili Ulaya. Katka maongezi yetu nilimuuliza ni kwanini madaktari na wahandisi wengi wanatoka Iran, Syria Egypt nk?
Alinijibu kuwa katika jamii yao wamejengwa kufikia hapo. Yaani ukiwa na familia tangu watoto...
Habari za saa wana JamiiForums,
Kwanza kabisa niingie moja kwa moja kwenye maada husika inayomuhusu mama/mwanamke wa kiafrika anayepitia changamoto mbalimbali,Ni kujaribu kujua jamii ya afrika ni kwa nini hatuwezi kuwaamini kinamama katika kufanya jambo la maendeleo katika familia na hata ngazi...
July 30th 2021
MUSTAKABALI WA JAMII
Ningependa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwanza kwa kunipa pumzi na fahamu za kuweza kuweka mada hii mbele ya jamii. Naomba aniwezeshe ili niweze kufikia jamii husika kuhusu mada hii mahsusi kwa rika zote, kabila zote, wake kwa waume na dini zote. Naomba...
VIJANA WASOMI TOKA FAMILIA MASKINI HUPATA SANA KESI ZA UBADHIRIFU NA KUISHIA PABAYA... WAZAZI, SERIKALI NA JAMII NI YA KULAUMIWA.
Nawasalimu nyote kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.... leo nimeamua kuandika huu uzi nikiwa na masikitiko makubwa mno nafsini mwangu. Ni suala linalotuhusu vijana wa...
Ni Vema tungeanza kwa kutambua maana halisi ya neno MAENDELEO.
"Maendeleo ni mabadiliko yanayo onekana kuboresha hali ya binadamu na mazingira kwa ujumla".Kuna ngazi tatu za kimaendeleo; Maendeleo
Binafsi,Maendeleo ndani ya Jamii na Maendeleo ya Nchi kiujumla.Aina zote hizi za maendeleo...
Elimu bora ni hazina ambayo wazazi wenye uelewa hujivunia wanaposhuhudia imewakomboa kupitia kwa watoto wao. Wazazi wa namna hii hutambua ili kufanikisha utume huu, wanajukumu la kuwa walimu wakwanza kwa kuonyesha mfano bora kupitia imani na maisha yao. Katika hali hii watoto wanakuwa ni kioo...
Kwanza kabisa kuacha mazoea fulani katika maisha yako si rahisi kama unavyotamka,unaweza kuacha leo lakini ikachukua muda kuacha kabisa.
Leo karibu marika yote na jinsia zote katika jamii ni waraibu wa kamari. Uraibu huu unatokana na matangazo ya kuvutia na zawadi kubwa kubwa pia ile imani...
Jamii hii ya Shona ilikuja Kenya mwaka wa 1959 kama missionaries yaani watu wanaoeneza injili. Sasa wameishi Kenya bila uraia kwa miaka 62 na hivi leo wamepata uraia kamili na hata kupata vitambulisho. Hii inafuatia Jamii la Wamakonde kutokea Msumbiji waliopata uraia huo miaka michache...
Video ya ngono iki leak mwanamke aliyomo kwenye hiyo video huwa haangaliwi vizr na jamii yake tofauti na mwanaume aliyehusika pia kwenye hiyo video.
Mwanamke atataniwa kwa aina ya matusi na utani na sometimes inaweza kumpelekea msongo wa mawazo mwisho kujiua lakini kwa upande wa mwanaume yeye...
Tukibadilisha mitazamo yetu nirahisi kuibadilisha jamii.
Kila tatizo lina chanzo hatuwezi kufika tuendako kama hatujui tulipo toka historia ya mwanadamu ina mahusiano makubwa na mafanikio ya mwanadamu.
Inabidi ifike muda tusimame kwenye ukweli unaojulikana na wachache walio amua kubaki nao...
Sadoth H. Balilonda
( Mjasiliamali )
sadothhenry250@gmail.com
+255756536474/+255676436474
Makala hii inatoa muamko ambao unalenga kuchochea mabadiliko katika nyanja mbalimbali za uchumi kupitia biashara, kilimo, sayansi na teknolojia, afya, maendeleo ya jamii na uajibikaji kwa ujumla. Lengo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.