kibori nangai
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,066
- 1,315
Wanajamii Forum,
Naomba niwape Salam zanguu wote bila ya kujali ya Rangi ,Kabila na dini. Na baada ya Salamu nisiwachoche maana najua shughuli Mingi mwisho wa wiki kujiandaa kwa mapambano ya wiki nyingine.
Leo nina hoja, kwa hapa nchini mwetu kwa sasa tuna mifuko miwili ya Hifadhi ya jamii (NSSF,PSSSF). Na hii mifuko inafedha nyingi sana. Ambayo imekuwa ikichagwa na wanachana wake kulingana na sekta ya ajira wanayohudumu. Mimi nashaurii ni wakati muhafaka sasa hii Mifuko itoe Mikopo kwa wanachana wao kulingana na michango ya wanachama wao.
Na hii inawezekana kabisa. Kwa sababu unakuta wanachana umechangia miaka 20 ana ukwasi wa kutosha Pesa imekaa tuuu bila kumfaidisha yeye mwenyewe zikisubiri hadi astaafu. Na kustaafu kwenyewe Siku izi ni ishu. And if not mikopo ya fedha hata vitendea kazi kulingana ma sekta.
Nafahamu ni product setup mpya kwao lkn inawezekana na ikawasaidia wanachana wao na ikaongeza ari ya wanachama kuwasisitiza Waajiri wao kupeleka mchango yako kwa haraka zaidi.
Namna ya kuweka huduma ya Mikopo
Wanajamvi karibuni michango. Najua watu wa hayo mshirika wapo humu. Najua walipo kwenye sekta hii wapo
Hata Serikali wapo pia ambao ndio watunga sera. Mimi sio mwaandishi mzuri, sije akatokea mtuu akanipigamadongo oo mwandiko mwenyewe kama nini sijui.
Nawashukuruni sanaa, Karibu kwa michango.

- Kuweka kwamba lazima uchangie mda flani w Ajira yakoo.
- Wanaongea na waajiri wakatwe kupitia mishahara yao na hii itawapa wanachama wa sekta binafsi uwezo wa kukopa kama watumishi Serikalini. Na hawawezi kukimbia kwani mwajiri akibadilika automatically mkato nayo yanahama.
- Mikopo ilingane na kasi ambacho mwanachama amechangia.