Simba kukakataa kuvaa medali siku ya ngao ya jamii ni kukosa ungwana

APPROXIMATELY

JF-Expert Member
Aug 10, 2021
2,035
2,682
Mpira ni mchezo wa ungwana, simba iliposhinda Kigoma yanga walivaa medali kama mshindi wa pili, hii inaonyesha simba sio hawajui fair play, wanataka wao tu wawe wanashinda, wamesahau kuwa ni zama za return of champion.

images (3).jpeg
 
mpira ni mchezo wa ungwana,simba iliposhinda kigoma yanga walivaa medali kama mshindi wa pili,hii inaonyesha simba sio hawajui fair play,wanataka wao tu wawe wanashinda,wamesahau kuwa ni zama za return of champion.

View attachment 1954388
Hii kitu nasema ukwel, richa ya unazi wangu kwa simba lakn viongozi walizingua sana. Ni mambo ya kishamba. Tukubali kushindwa ili tujue mapungufu ya kukarabat kwenye champions league. Sasa kiongoz anazira kwenda kuvaa medari anamaanisha nn
 
Karia mwenyewe alinuna
😁😁😁 Nilikua nimekaa pembeni yake, ilibakia kidogo tu nimlapue kibao!! Maana alijigeuza kuwa Thierry Hitimana!! Yule kocha aliyechukuliwa kwa lengo la kuficha ungumbalu wa makocha wao 😁😁😁

Yaani ni kumlaumu tu Mugalu na kupiga mateke viti vya mbele yake!! Kijamaa huwa hakifichi kabisa mahaba yake kwa mbumbumbu wenzake.

Bila shaka ingekua ni amri yake, angemrudisha tena yule mwamuzi 'wao' aliyechezesha mechi zaidi ya nne peke yake kwenye kombe la shirikisho msimu uliopita, na zote Moo fc kuondoka na ushindi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom