Kumbe huyu ustaadh ndio kawabeba Yanga ngao ya jamii

Mshuza2

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
11,015
16,447
Huyu ustadh pichani aliingiaje ndani ya vyumba vya ndani ya uwanja na hayo madude yake? Yanga bila ndumba mambo hayaendi.
20210926_165505.jpg
20210926_165502.jpg
20210926_165458.jpg
20210926_165454.jpg
 
Huyu ustadh pichani aliingiaje ndani ya vyumba vya ndani ya uwanja na hayo madude yake? Yanga bila ndumba mambo hayaendi.View attachment 1953830View attachment 1953829View attachment 1953828View attachment 1953827
Ukiangalia hizo picha utagundua siyo za siku moja.Picha ya 2 na 3 zimepigwa siku moja, yaani jana, angalia hata nguo alizovaa. Picha ya 4 inaonyesha huyu mtu akiwa either kwenye ofisi yake au ya mtu mwingine na wala si uwanjani.Kwa hoja hii angalia nguo alizovaa ila pia angalia kuta za hicho chumba ni tofauti na zile za uwanjani au vyumba vya uwanja kama vinavyoonekana katika picha nyingine.
 
Swali
Huo uganga ni kazi yake au sio kazi yake

Tumia mifano ya picha
 
Huyu ustadh pichani aliingiaje ndani ya vyumba vya ndani ya uwanja na hayo madude yake? Yanga bila ndumba mambo hayaendi.View attachment 1953830View attachment 1953829View attachment 1953828View attachment 1953827
Timu hamna nyie acheni visingizio...tushawaona tangu mechi ya mazembe mnaruka ruka tu kama maharage ya soya...haya mlipofungwa na mazembe mlirogwa na nani?

Save hii comment,msimu huu hata tucheze derby 10 hamtashinda hata moja narudia tena hamtashinda hata derby moja sana sana mtaambulia droo kwa taabu...mwisho,hamna kikombe mtakachopata msimu huu labda mcheze ile super cup yenu,na ile mkitualika tunalamba...shwaini nyie.
 
Ukiangalia hizo picha utagundua siyo za siku moja.Picha ya 2 na 3 zimepigwa siku moja, yaani jana, angalia hata nguo alizovaa. Picha ya 4 inaonyesha huyu mtu akiwa either kwenye ofisi yake au ya mtu mwingine na wala si uwanjani.Kwa hoja hii angalia nguo alizovaa ila pia angalia kuta za hicho chumba ni tofauti na zile za uwanjani au vyumba vya uwanja kama vinavyoonekana katika picha nyingine.
Kwani kuna mtu kasema zimepigwa siku moja au umejitungia swali na kujijibu
 
Simba acheni majungu....

Litimu lenu lilizidiwa UWANJANI....

#DaimaMbeleNyumaMwiko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom