jamii forums

  1. T

    JamiiForums Tanzania Baraza Kuu Taifa CWT mpo wapi? Zungumzeni watu wajue mbivu na mbichi

    BARAZA KUU TAIFA CWT MPO WAPI? ZUNGUMZENI WATU WAJUE MBIVU NA MBICHI Na Thadei Ole Mushi. Inashangaza Misalaba anapata wapi nguvu ya kuzuia account za CWT zisifanye kazi wakati chombo cha juu kabisa cha chama Baraza kuu likiwepo. Hiyo Nguvu Misalaba aliyonayo inatoka wapi ndio ya kudili nayo...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Shukrani kwa Jamii forums.

    Wiki tatu zilizopita, niliandika humu Jamii forums, juu ya kuishauri serikali kufungua mpaka wa Mozambique na Tanzania ( Mto Ruvuma). Ili kuruhusu korosho ya Mozambique kuingia Tanzania, nikaeleza kinaga ubaga sababu ya hoja zangu. Nashukuru wenye mamlaka wamechukua maamuzi, mpaka umefunguliwa...
  3. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye miaka 10 ya Mkutano wa Uhuru wa Mtandao Barani Afrika, Septemba 28, 2023

    https://www.youtube.com/watch?v=4V82RGuXtGk Tanzania ni Mwenyeji wa Miaka 10 ya Mkutano wa Uhuru wa Mtandao Barani Afrika (Forum for Internet Freedom in Africa 2023) ulioandaliwa na taasisi ya CIPESA kutoka Uganda katika Hoteli ya Hyatt Regency, The Kilimanjaro, Jijini Dar es Salaam kuanzia...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Threads ya instagram imechukua mfumo wa JamiiForums

    Wanajamii Forums, Instagram wametambulisha app mpya ya threads lakini tangu muda wanajamii F, wanaposti nyuzi zao. Hili si wazo geni kwa WanajamiiForums je inawezekana Instagram wamechukua wazo lile lile? Hoja iko mezani.
  5. JamiiForums Tanzania SoC03 Mpango wa kuandaa vijana wenye ubora na uwezo wa kusaidia kuleta maendeleo katika kiwango cha timu ya taifa ya Tanzania katika mpira wa miguu

    1. TATIZO LINALOIKUMBA TIMU YA TAIFA YA MPIRA WA MIGUU TANZANIA. Kiujumla timu ya taifa ya Tanzania imekuwa na muendelezo wa kiwango kibovu ambapo kizazi cha kuanzia miaka ya 1990 hakijawahi kuishuhudia timu hii ya Taifa katika kiwango bora hasa katika mechi za mashindano. Timu hiyo ya Taifa...
  6. JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ndugu wana JamiiForums, Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo...
  7. JamiiForums Tanzania SoC03 Mbinu zipi zitumike kuongeza watumiaji wa mtandao wa Jamii forums Tanzania

    Tangia Jamii forum ianze miaka 17 iliyopita, mpaka leo bado ina watumiaji laki 6 na kidogo tu. Hii idadi ni ndogo sana kulinganisha na idadi ya watanzania wenye uwezo wa kumiliki simu janja. Hii ni hasara kwa jamii kwakuwa hatuzivuni faida nyingi za watu kuwa katika huu mtandao kuliko mitandao...
  8. JamiiForums Tanzania Wosia mzito wa William Malecela (Le Mutuz) kwa CCM, Wapinzani, Serikali na kwa JamiiForums uzingatiwe na kutekelezwa ili tuendelee kumuishi

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Nipashe ya leo. Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huwa na swali, likifuatiwa na hoja, kisha jibu utalitoa wewe mwenyewe. Swali la mada hii ni Je Wosia mzito wa William Malecela (Le Mutuz) kwa CCM...
  9. JamiiForums Tanzania Jamii Forums hapa walijua kutuweza

    Kama **** sehemu Jamii Forums walijua kuuoiga mwingi basi na hapa. Wamekata ngebe zote za wambea za kujifanya kuchunguza mtu na profile lake. Kudos JF
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya Mdau wa Jamii Forums kulalamika, Serikali yaanza kuboresho ya Barabara ya Goba - Mpakani

    Siku chache baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa Barabara ya Goba - Mpakani, Dar Es Salaam ni mbovu na inawagharimu watumiaji hasa wakati wa Mvua, Serikali imechukua hatua ya kuanza maboresho. Mdau alidai kuwa barabara hiyo haichongwi mara kwa mara na ina madimbwi mengi hivyo hata...
  11. D

    JamiiForums Tanzania TV gani itanifaa kwa bajeti ya 500k

    Habari yenu wana jamii, naomba kupewa ushauri, nina bajeti ya 500k je ni TV gani nzuri ya brand ipi na ukubwa upi itanifaa kwa bajeti hii? Kwani siku hizi brand zimekuwa nyingi sana
  12. JamiiForums Tanzania Ni ushauri gani umekupa manufaa kupitia JamiiForums?

    Hakuna binadamu ambaye anafanya biashara isiyokuwa na faida kamwe! Basi hata hapa JamiiForums imani yangu kwamba tumejiunga wote na tumepata faida kubwa sasa basi. Ni mwanachama gani ambaye amekuwa akikupa ushauri ukakupatia manufaa? Toa pongezi kwake hadharani.
  13. JamiiForums Tanzania Mwanangu anaogopa sana wafu

    Mwanangu wa kike anaogopa sana wafu. Hufikia mpaka kuwalazimisha marafiki zake nao waogope wafu. Huyu Binti huwatishia kuwanyima peremende ikiwa rafiki zake hawataogopa mfu. Kuna mfu Mmoja mashuhuri sana. Kila tulianza kumzungumzia basi Binti huyu kukimbilia kubadili mada au kwenda kwa jirani...
  14. JamiiForums Tanzania Balozi wa Uswisi nchini Tanzania atembelea ofisi za JamiiForums

    Taarifa iliyosambazwa na viongozi wa JF inasema kwamba, Balozi wa Uswisi nchini Tanzania, Didier Chassot ametinga kwenye ofisi za JF kwa lengo la kukutana na baadhi ya watendaji wa taasisi hiyo, akiwemo Mkurugenzi, Maxence Melo. JF inasimamia mtandao wa JamiiForums.com, unaoongoza kwa kutoa...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali yaitunukia Jamii Forums Cheti cha Shukrani kwa kudhamini Kongamano la Habari 2022

    Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeikabidhi Taasisi Isiyo ya Kiserikali ya Jamii Forums Cheti cha Shukrani kwa kutambua uamuzi wake wa kuwa Mdhamini wa Kongamano la Habari lililofanyika leo Desemba 17, 2022 jijini Dar es Salaam.
  16. JamiiForums Tanzania Wakiiona hii tumeisha!

    Tuwaambie ilipo au tuache kwa maslai ya Taifa letu. Hivi kwa Hali ilivyo sasa kununua kichwa Kama hicho na behewa zake inaweza kugharimu kiasi gani. Mie najua sehemu ilipo na mmiliki pia nabei pia n nzuri Sana.
  17. JamiiForums Tanzania App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi

    Edited on Feb 14, 2024 Android users: Follow 👉🏾 DOWNLOAD JF APP iOS Users Users: Follow DOWNLOAD JF APP
  18. JamiiForums Tanzania Nape: Mimi ni member wa Jamii Forums

    Waziri wa Mawasiliano ambaye ni mgeni rasmi wa kutoa zawadi za stories of change amesema yeye ni member wa Jamii Forums Amesema tofauti na wengine yeye ana ngozi ngumu ya kustahimili matusi. Na wakati mwingine huwa anayasoma kabla ya kulala. Possibly Nape anatumia ID ambayo haijulikani so...
  19. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sababu za kukua kwa lugha ya Kiswahili Kimataifa na kudumaa nchini

    SABABU ZA KUKUA KWA LUGHA YA KISWAHILI KIMATAIFA NA KUDUMAA NCHINI Kiswahili ni Lugha inayozidi kukua barani Afrika na duniani kote kadri siku zinavyozidi kusogea hili likidhihirishwa na maboresho na mabadiliko ya mitaala ya elimu katika mataifa mbalimbali barani Afrika ili kutoa mwanya wa...
  20. JamiiForums Tanzania SoC02 Yafanyike haya kuikomboa NHIF

    Chanzo: Picha na JamiiForums Yafanyike haya kuikomboa NHIF Katika kutekeleza dhima na dira ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya katika kutimiza majukumu ya utoaji wa huduma ya Afya kwa kuzingatia Dira ya Taifa ya Maendeleo (2025), Sera ya Afya ya mwaka 2007, Mpango Mkakati wa Tano wa Sekta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…