TV gani itanifaa kwa bajeti ya 500k

Dee_Aristotle

Member
May 29, 2021
54
30
Habari yenu wana jamii, naomba kupewa ushauri, nina bajeti ya 500k je ni TV gani nzuri ya brand ipi na ukubwa upi itanifaa kwa bajeti hii? Kwani siku hizi brand zimekuwa nyingi sana
 
Tcl ndo chaguo namba 1 kwa bajeti hiyo kama unapenda chinese
Screenshot_20230507_090320_Instagram Lite.jpg
 
Back
Top Bottom