ipi

The Kumeyaay, also known as Tipai-Ipai or by their historical Spanish name Diegueño, are a tribe of Indigenous peoples of the Americas who live at the northern border of Baja California in Mexico and the southern border of California in the United States. Their Kumeyaay language belongs to the Yuman–Cochimí language family.
The Kumeyaay consist of three related groups, the Ipai, Tipai and Kamia. The San Diego River loosely divided the Ipai and the Tipai historical homelands, while the Kamia lived in the eastern desert areas. The Ipai lived to the north, from Escondido to Lake Henshaw, while the Tipai lived to the south, in lands including the Laguna Mountains, Ensenada, and Tecate. The Kamia lived to the east in an area that included Mexicali and bordered the Salton Sea.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    JamiiForums Tanzania Nina 5,000,000 tu. Naweza kununua gari ipi ikiwa na hali nzuri?

    Waungwana nimechoka kutembea kwa mguu, nina ka milioni 5 nilitaka nitafute ka miguu minne nipumzike shida kutembea, ila sina uzoefu na mambo ya magari ni aina zipi za magari naweza kununua ikiwa na hali nzuri kwa hiyo bei?
  2. mourisous

    JamiiForums Tanzania Kuna postgraduate degree na ipi tofauti take na postgraduate Diploma?

    Habari wakuu...?? Kama kichwa kinavyosomeka ningependa kupata msaada wa kujuzwa kuhusu Mambo yafuatayo:- 1. Je Kuna kozi za postgraduate degree na Kama jibu ni yes zipi sifa za kujiunga nazo na minimum muda wa masomo ni miaka mingapi? 2. Upi utofauti wa hiyo postgraduate degree na...
  3. Pile F

    JamiiForums Tanzania Ni Ipi Heshima ya Mwanamke

    Ndugu Wanajamvi naamini mpo vyema wengine busy na mihangaiko Mola awawekee wepesi wengine pia salama kabisa, naenda kwenye mada mapema kabisa. Wakati Kipindi cha kwanza kimeisha na wakati wa mapumziko Mechi ya Simba na Dodoma Jiji leo, tumeshangaa sana. Tukiwa karibu wanaume 18 kwenye hii...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ipi ni njia bora zaid kwenye kuanza ujenzi wa nyumba kati ya hizi mbili

    Waungwana naombeni mnisaidie, je ni ipi njia bora ya kuanza ujenzi wa nyumba endapo tayari una kiwanja kati ya hzi zifuatazo: 1. Kumtafta surveyor wa ku survey eneo la kiwanja na ku design nyumba kulingana na eneo lilivo, na gharama za kumlipa huyo surveyor zipoje au 2. Kununua...
  5. Nanyaro Ephata

    JamiiForums Tanzania Katiba ya Tanzania na Mipaka ya Uhuru wa Kujieleza

    Ni kiwango kipi cha Uhuru kinakubalika na watawala kisiwe Uchochezi? Kama Taifa tumetoa Uhuru (Demokrasia) pana sana kwenye sekta ya uchumi hasa Ubinafsishaji wa bei ya kutupwa ya mali na mashirika ya umma. Lakini tumebana sana na kwa kiwango cha kutisha Uhuru na Demokrasia ya mawazo kisiasa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ipi siri ya shetani kuwa mjanja sana?

    Nimejaribu kuipitia pitia biblia na kusikiliza sikiliza mahubiri ya wahubiri wetu hawa Nimegundua kitu,shetani eiza ni mjanja sana ama amezungukwa na team ya wajanja sana maana kwa jinsi dunia ilivyo sasa huwezi kuishi bila angalau kudokoa chochote kitu kutoka kwa huyu kiumbe shetani Hebu...
  7. Collins Munuo

    JamiiForums Tanzania Niende kozi ipi kulingana na soko la ajira?

    Samahani naomba mnisaidie nimechaguliwa Bsc in Phy udom.. Bsc in Kemia mwecahu.. Bsc in IT with account IFM na bsc in food science an techn SUA niende wapi na kozi gani kulingana na soko la ajira
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ipi tiba ya tumbo kuwa kubwa baada ya uzazi?

    Habari wana ndugu kwa ujumla, natumaini wote hamjambo na mnaendelea shughuli zenu za kila siku! Naomba kujua tiba, ushauri au maelezo yakinifu kuhusu mwanamke aliyetoka kujifungua na tumbo lake likabaki kama awali ya ujauzito au kupungua kidogo tuu!🤤
  9. Tough lady

    JamiiForums Tanzania Miti ipi inakua haraka na inafaa kwa fence? (iwe miti ya kwenda juu sio ya kutambaa

    Wadau nahitaji kupanda miti kuzunguka eneo langu inayolua haraka, Nahitaji miti inayokwenda juu mfano Miashoki (isiwe ya kitambaa na kuhitaji pruning ya mara kwa mara). Nimewaza kununia mihashoki lakini sijui kama inawahi sana kurefuka. Hivo naomba kama kuna mtu ana experiencena speed ya ukuaji...
  10. Tough lady

    JamiiForums Tanzania Miti ipi inakua haraka inafaa kwa fensi?

    Wadau nahitaji kupanda miti kuzunguka eneo langu, Nahitaji miti inayokwenda juu mfano Miashoki (isiwe ya kitambaa na kuhitaji pruning ya mara kwa mara). Nimewaza kununia mihashoki lakini sijui kama inawahi sana kurefuka. Hivo naomba kama kuna mtu ana experience na speed ya ukuaji wa miashoki...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ni ipi hatima ya Haji Manara endapo akienguliwa Yanga?

    Kwa anaejua mahala huyu anaweza enda baada ya kufurushwa huko alikojibanza kwa kimvuli cha usemaji wa timu
  12. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Ipi ni lugha sahihi katika ya marehemu alale mahali pema peponi au marehemu alale panapostahili ?

    Mara nyingi tunapoondokewa na wapendwa wetu ambao wametangulia mbele za haki huwa naonaga kuna misemo ya aina mbili ambayo watu huitumia katika kuonesha kuguswa na tukio la msiba. Wengine husema marehemu apumzike mahali pema peponi na wengine husema marehemu apumzike panapostahili Nini hasa...
  13. Von Bismarck

    JamiiForums Tanzania Ni ipi tafsiri ya maneno O-rejeshi na aina za kauli mbalimbali katika lugha ya kiingereza

    Kama kichwa kinavyo jieleza, ningependa kujifahamu jinsi maneno haya yanavyo tumika katika lugha ya kiingereza Katika kiswahili matumizi ya O-rejeshi (o,ye,lo,po,ko,mo,zo n.k) kama ataka-ye- kuja Ana-cho-pata Wali-o-fika Zili-zo-mo Swali, Je? O-rejeshi katika lugha ya kiingereza...
  14. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Jezi ipi kali kati ya Simba na Yanga?

    Jezi ipi kali kati ya Simba na ile ya Yanga kwa msimu huu 2021/22
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kati ya Rushwa hizi mbili, Rushwa ipi ni mbaya zaidi

    1) Mtu ana Mali yake mbovu, na anajua kwamba ni mbovu, anahonga ili itoke haraka. 2) Mtu ana Mali yake safi kabisa, na anajua kwamba ni safi kabisa, anahonga ili itoke haraka.
  16. Equation x

    JamiiForums Tanzania Hospitali ipi, ina huduma/ tiba ya mionzi ukiachana na hospitali ya Oceanroad kwa Tanzania?

    Hospitali ipi,ina huduma/ tiba ya mionzi ukiachana na hospitali ya Oceanroad kwa Tanzania? Kuna mgonjwa wangu ameenda hapo kwa ajili ya tiba, tangu saa 12 asubuhi mpaka muda huu hajapata huduma; akiuliza tatizo, jibu ni mashine ni mbovu.
  17. L

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa multiple selection Bachelor of Medical Laboratory na Pharmacy niende chuo kipi?

    Habari, Selection zimetoka ambapo nimechaguliwa kusomea Medical Laboratory General Muhas na Bachelor of Pharmacy Bugando na Kampala University je nikasome course ipi kati ya hizo?
  18. mamba1

    JamiiForums Tanzania Ni benki ipi nzuri kupokelea mshahara kati ya CRDB na NMB?

    Naomba msaada kuhusu ni benki nzuri inayotoa huduma kiurahisi kati ya Nmb na Crdb naaamanisha kuwahi kutoa pesa mapema ya mshahara
  19. Reginald L. Ishala

    JamiiForums Tanzania Ni zipi tovuti za america na ulaya zenye muonekano mzuri, na language ipi imetumika?

    Habari zenu wakuu wa mambo! Ninahitaji kumiliki tovuti kwa ajili ya biashara, Naomba mnisaidie ni tovuti zipi za Ulaya na America zenye muonekano mzuri lakini hata Languages zilizotumiwa katika uundwaji wa tovuti hizo. NATANGULIZA SHUKRANI.
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kijana ajifunze lugha ipi kupanua goli la ajira na fursa?

    N.B: HADI NAFIKA HAPA NIMEONA KUNA PONGEZI NYINGIZAIDI YA MALALAMIKO KWA WALIOFANYA KAZI KWA WAZUNGU, KWA WENZETU WAHINDI, WACHINA, N.K HUKO KUNA MALALAMIKO MENGI KUZIDI PONGEZI, HIVYO NAOMBA USHAURI UWE UMELENGA LUGHA ZA ULAYA. Habari zenu wakuu, Nina kijana kamaliza form 6 mtoto wa shangazi...
Back
Top Bottom