Je, namba kubwa kuliko zote duniani ni ipi?

Je, namba kubwa kuliko zote duniani ni ipi?

Ukileta namba kubwa ya mwisho najumlisha1 unapata namba mpya kubwa ya mwisho najumlisha tena unapata mpya unakuwa ndo mchezo wetu.
Daaah, this is insane, huu ulimwengu kuna kitu vital hatukijui kuihusu. Kitu infinity huwa kinanitia wazimu kabisa..., how can infinity exist? How is there no end to something? How?!

Ipo siku tutagundua, na huo ndio utakuwa mwisho wa dunia. Ikunbukwe, infinity is not a number, but a concept.
 
Daaah, this is insane, huu ulimwengu kuna kitu vital hatukijui kuihusu. Kitu infinity huwa kinanitia wazimu kabisa..., how can infinity exist? How is there no end to something? How?! Ipo siku tutagundua, na huo ndio utakuwa mwisho wa dunia. Ikunbukwe, infinity is not a number, but a concept.
Kabisa
 
Back
Top Bottom