ipi

The Kumeyaay, also known as Tipai-Ipai or by their historical Spanish name Diegueño, are a tribe of Indigenous peoples of the Americas who live at the northern border of Baja California in Mexico and the southern border of California in the United States. Their Kumeyaay language belongs to the Yuman–Cochimí language family.
The Kumeyaay consist of three related groups, the Ipai, Tipai and Kamia. The San Diego River loosely divided the Ipai and the Tipai historical homelands, while the Kamia lived in the eastern desert areas. The Ipai lived to the north, from Escondido to Lake Henshaw, while the Tipai lived to the south, in lands including the Laguna Mountains, Ensenada, and Tecate. The Kamia lived to the east in an area that included Mexicali and bordered the Salton Sea.

View More On Wikipedia.org
  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Dauda: VAR itawekwa kwa miundombinu ipi?

    Kwangu nadhani ili Tanzania tuweze kupiga hatua, VAR ni kitu cha baadaye sana. Kwanza inabidi tuwekeze kwenye kuendeleza kiwanda chetu cha michezo kabla ya masuala mengine ambayo yanaweza kufanyika baadaye sana. Ni wazo zuri kufunga VAR lakini kwangu wazo zuri zaidi kwa sasa ni kuwekeza kwenye...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibari ukivunjika,na ukatokea mgogoro, mgogoro huo utasuluhishwa na mahakama ipi au mkataba uko kimya juu ya hili?

    Ni wazi wananchi wa pande zote za Muungano huu hawaridhiki na huu Muungano na ni wanasiasa ndio wanaoung'ang'ania kwa masilahi yao, hivyo ni swala la muda Muungano huu kuja kuvunjika au kuzua mgogoro mkubwa. Swali langu ni je, Muungano ukivunjika na ukatokea mgogoro labda katika kugawana...
  3. KENZY

    JamiiForums Tanzania Kwa hoja ipi watu wanaamini kuwa taifa la Israel ni taifa la Mungu ingalikuwa ni taifa linaloishi kwa Upanga?

    Mungu wa biblia, Imeandikwa katika biblia kuwa Mungu ndie alieliteua taifa la Israel kuwa taifa lake,ambalo kupitia taifa hilo neno lake lingesambazwa dunia nzima! Katika kitabu hicho kimenadi sana kuwa Mungu kutoka taifa hilo ndie Mungu wa kweli na uzima pia kikanadi kuwa Mungu ndie pekee...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Biashara ipi itafaa zaidi kwa Toyota hiace? Tanga city

    Salam Salam wapigania Uchumi. Nina Toyota hiace(dungu) ipo Tanga mjini. Nafikiria niisajili ifanye moja Kati ya kazi (routes) zifuatazo; 1. Kufanya town route(daladala) 2. Kufanya routes za nje kidogo ya mji..at least umbali usiozidi 70km. 3. Kufanya routes za mbali zaidi ya 70km. 4. Nyinginezo...
  5. Jembebutu

    JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya kuuza movie na nyimbo, vipodozi na kucha au Chips. Mbagala/Gongo la mboto.

    Habari ndugu. Naumiza sana kichwa kwa imani yangu kwamba pesa ipo uswahilini kwenye biashara ndogondogo. Nawaza kwenda sehemu tajwa na kamtaji kidogo ninacho. Naomba mwongozo na ushauri juu ya biashara hizo kwa wanaoishi na wasioishi maeneo hayo. Natazamia kufanya mojawapo kati ya hizo. Naomba...
  6. buffalo44

    JamiiForums Tanzania TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Wakuu habari zenu. Natumai mu wazima. Kutokana na mabando kuwa juu, niliamua kwenda maduka ya TTCL na Voda shop kuangalia home internet. TTCL walinipa hii details. Kulingana na matumizi yangu nilipenda hicho cha 55k. Lakini sijajua wakoje kihuduma plus kununua DSL modem. Nikaamua kucheki...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Je, FedEx wana ofisi pale airport Dar? Kuna anaefahamu mizigo ya FedEx inafikia ofisi ipi Kwa ajili ya custom clearance

    Kuna mzigo wangu(laptop) umefika Dar Kwa kutumia FedEx, Mimi npo Dom (na nililipa Pesa ya na nauli na kuweka address ya Dom). Lakin naona mzigo umefika upo customs, ila wamenipigia simu ili kufanya mchakato wa kufanya clearance, lakini bado wanataka Pesa nyingine 118000(Kwa ajil ya kufanya...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Anti wrinkles bora kwa mwanaume ni ipi na ya nchi gani?

    Jamani, nataka kujaua ni anti wrinkles products ipi nzuri kwa mwanaume
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je, treni ya Gwajima inaenda mikoa ipi, na inapita njia gani?

    Kwenye usiku wa kuuaga mwaka 2016 na kuukaribisha mwaka 2017, mtumishi wa Mungu, Askofu Gwajima kupitia madhabahu ya kanisa lake la Uzima na Ufufuo aliitangazia dunia kuwa kanunua treni yake, tena kanunua kwa pesa taslimu. Ndugu Watanzania wenzangu, naomba kujulishwa hiyo treni wanapandia wapi...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Toyota Rumion 2008 vs 2010; nichukue ipi wakuu?

    Habari ya wakati huu wakuu. Mwenzenu nimeamua kuchukua Rumion ila sasa nimekuta kuna toleo la 2007-2008 na toleo la 2010-2015. Haya matoleo mawili nimeona yana tofauti ndogo za muonekano; show ya mbele, ndani kwenye dashboard hasa sehemu ya AC na ndani kwa nyuma. Sijui kuhusu uimara...
  11. Travis 1

    JamiiForums Tanzania Tunaofanyia kazi nyumbani karibuni tushirikishane ni internet ipi unayotumia na desk setup yako ipoje?

    Heri ya mwaka mpya wakuu! Kwa wale wanaofanyia kazi nyumbani unaweza kutushirikisha ni internet ipi unayotumia na gharama zake zipoje pia. Na kama hutojali unaweza kushare desk setup yako tuweze kuona inamuonekano gani.
  12. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kwa mlio kwenye system, tujuzeni lile crane la tani 26 liliagizwa toka Sayari ipi?

    Eti jamani, kuna crane la tani 26 tuliambiwa ndio kikwazo cha kuanza kujaza maji kwenye Bwawa la Rufiji na limeagizwa toka nje ya nchi; Hivi mliposema nje ya nchi mlimaanisha nje ya sayari hii au ni vipi? Miezi mingapi inahitajika kulileta hilo crane ambalo nchi nzima hii hakuna? Naomba majibu...
  13. Heaven Seeker

    JamiiForums Tanzania Kwa kipaji hiki alichonacho, unashauri ajiendeleze kwa namna ipi?

    Heshima kwenu Wakuu. Mtoto wa binamu yangu hakufanikiwa kupata ufaulu mzuri wa kuendelea na masomo ya kidato cha tano mwaka huu. Lakini kutokana na kipaji cha uchoraji alichonacho tukaona ni vema ajiendeleze kwa kuongezea taaluma juu ya kipaji chake. Kulitolewa wazo la kumpeleja VETA na...
  14. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Tano kuondoka ada Ili mzazi ale keki ipi ya nchi hii

    Sikuona sababu yoyote kumuachia malaika wa watu na vijana waende shule hadi kidato cha nne Bure. Nchi yetu tangu uhuru tunaijenga. Wazee wetu walijenga nchi kwa nguvu nyingi wakiendelea kutangukia mbele ya haki. Sisi tusome Bure Bure bila hata senti kwa keki ipi tuliyohangaika nanyo...
  15. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Fainali mbovu ya UCL kwa upande wako ni ipi?

    Kwa mujibu wa Football Funnys wanasema Fainali ya Uefa Champions League (UCL) kati ya Spurs Vs Liverpool ndio fainali mbovu kuwahi kutokea katika historia ya ligi ya mabingwa. Spurs alilala 2-0 dhidi ya Liverpool kirahisi mno tofauti na matarajii ya wengi waliodhani itakuwa mechi ngumu! Kwa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ukungu kwenye jicho la kuku, tiba yake ni ipi?

    Ndugu zangu, Kuku wangu wamekumbwa na tatizo la ukungu kwenye macho yao. Jicho alivimbi ,muda mwingi analifumba. Rangi ya kile kiini cheusi cha jicho kinakuwa kama kina ukungu. Je, nitumie dawa gani?
  17. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Ipi ni hadhi ya cheo cha Makamu wa Rais?

    Wakuu, Kuna picha nimeziona mitandaoni huko mpaka zimenishangaza, yani makamu wa Rais anafunga safari kutoka Dodoma kwenda kufanya ziara ya kukagua miche ya miti huko Kigoma! Hilo jukumu si hata mkuu wa wilaya angeweza tu kulifanya. Cheo cha makamu wa Rais kwa Tanzania kina hadhi gani?
  18. S

    JamiiForums Tanzania NI CHANJO IPI INA UFANISI WIMBI LA NNE(OMICRON) ? ?

    Tunaomba wataalam watusaidie kujua hili mapema kadri ya wimbi hili la nne linavyo kuja kwa kasi Au kwa yeyote mwenye uwelewa huo
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanamuziki acheni kulalamika hampewi sapoti. Mnataka sapoti ipi?

    WANAMUZIKI ACHENI KULIALIA HAMPATI SAPOTI; MNATAKA SAPOTI IPI? Kwa Mkono wa Robert Heriel. Imekuwa ni kawaida sasa watu hasa wa Tasnia ya muziki kulialia Mbuzi mee kila iitwapo leo. Ooh! Hatusapotiwi! Tunazimwa! Tunafanyiwa figisu figisu! Kuna Wasanii wanatukandamiza! Yaani KELELE kelele Kama...
  20. comte

    JamiiForums Tanzania Ni kwa namna ipi polisi wanaweza kupata maelezo ya mtuhumiwa bila kumtisha au kumtesa?

    Msingi wa kesi za jinai ni maelezo yanayochukuliwa na polisi kutoka kwa watuhumiwa. Katika uchukuaji wa maelezo kutoka kwa watuhumiwa polisi wanatakiwa wasionekane wametumia vitisho wala nguvu. Ikithibitika kuwa polisi wametumia vitisho au nguvu kupata maelezo kutoka kwa mtuhumiwa, maelezo...
Back
Top Bottom