Msaada: Njia bora zaidi ya kupokea fedha kutoka US ni ipi?

Chogo Mimba

JF-Expert Member
Aug 4, 2013
1,050
2,000
Natumaini mnaendelea vema katika harakati za kuusaka mkate wa kila siku.

Nimekuja hapa nahitaji msaada, kuna malipo natakiwa kupokea, lakini njia nilizokuwa natumia kupokea fedha kutoka kwa watu wengine wa hukohuko US leo zimenigomea kwa huyu mtu anayetaka kutuma malipo.

Nimetumia sendwave, World Remit, Remitly, na app nyingi za kufanya malipo kuja Mobile money (Airtel money, Mpesa) zimenigomea.

Nitashukuru nikipata ushauri utakaonisaidia kuweza kupokea fedha.

Natanguliza shukrani.
 
chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
4,470
2,000
Natumaini mnaendelea vema katika harakati za kuusaka mkate wa kila siku.

Nimekuja hapa nahitaji msaada, kuna malipo natakiwa kupokea, lakini njia nilizokuwa natumia kupokea fedha kutoka kwa watu wengine wa hukohuko US leo zimenigomea kwa huyu mtu anayetaka kutuma malipo.

Nimetumia sendwave,World Remit, Remitly, na app nyingi za kufanya malipo kuja Mobile money (Airtel money, Mpesa) zimenigomea.
Nitashukuru nikipata ushauri utakaonisaidia kuweza kupokea fedha. Natanguliza shukrani.

skrill
ndio njia safi na unaweza kupeleka benki yako.bila tatizo
IMG_1607.jpg
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
6,719
2,000
Natumaini mnaendelea vema katika harakati za kuusaka mkate wa kila siku.

Nimekuja hapa nahitaji msaada, kuna malipo natakiwa kupokea, lakini njia nilizokuwa natumia kupokea fedha kutoka kwa watu wengine wa hukohuko US leo zimenigomea kwa huyu mtu anayetaka kutuma malipo.

Nimetumia sendwave, World Remit, Remitly, na app nyingi za kufanya malipo kuja Mobile money (Airtel money, Mpesa) zimenigomea.

Nitashukuru nikipata ushauri utakaonisaidia kuweza kupokea fedha. Natanguliza shukrani.
Kwanini zigome mkuu? Mwambie akutumie western union au money gram au afanye bankwire.
Ila kwanini hizo njia zigome?
 
LURIGA

JF-Expert Member
May 26, 2013
2,163
2,000
Ndugu yangu tutafutie kazi huko Qatar huku bongo tunakufa na njaa ndugu zako. Kila siku afadhali ya jana.
Ni wewe tu ndi njaa inakuua. Wengine tupo huku Kamsamba tunalima hekari za mpunga na tunapiga pesa kama kawa! Qatar ipo hapa hapa Bongo huko kwingine ni kwenda kushangaa tu warabu na midevu yao. :D:D:D
 
Chogo Mimba

JF-Expert Member
Aug 4, 2013
1,050
2,000
Kwanini zigome mkuu? Mwambie akutumie western union au money gram au afanye bankwire.
Ila kwanini hizo njia zigome?
Mkuu jaribu kusearch hapa Jf utaona kuna malalamiko mengi ya watu kuhusiana na trasaction za kimataifa, haswa kwa Paypal.
Vilevile huyu mtu nayefanya naye kazi, Anasema kwamba kwa security reasons, bank aliyofungulia account hairuhusu kutumia apps hizo kufanya transactions za kimataifa. Inakuwa inamletea Error katika kuthibitisha kutuma malipo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom