Ipi ni hadhi ya cheo cha Makamu wa Rais?

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,809
15,059
Wakuu,

Kuna picha nimeziona mitandaoni huko mpaka zimenishangaza, yani makamu wa Rais anafunga safari kutoka Dodoma kwenda kufanya ziara ya kukagua miche ya miti huko Kigoma!

Hilo jukumu si hata mkuu wa wilaya angeweza tu kulifanya.

Cheo cha makamu wa Rais kwa Tanzania kina hadhi gani?

Screenshot_20211221-105532_Instagram.jpg

Screenshot_20211221-105538_Instagram.jpg
 
Hiki cheo kilikuwa kwa ajili ya wazanzibari kubalance Muungano.
Ila kiukweli hakina hadhi yoyote kisiasa
Mpango wa wakati ule akiwa Waziri alikuwa na sauti na nguvu alipokuwa waziri wa Fedha kuliko hivi sasa akiwa mzee wa kukata utepe.
Kwa siasa za nchi hii,ukitaka kummaliza adui yako mpe cheo cha Makamu wa Rais.
Kwisha habari yake
 
Ana shida gani ngoja ajilie vyake!!! Yanini kuiagaikia mibongo!?? Kama hakina maana nipeni mimi
 
Huyo ameenda kula likizo kwao Kigoma. Hapo anazuga tu.
Kuhusu hadhi ya cheo, dhamira hasa ya cheo hicho ilikuwa kuweka uiano wa muungano. Ila kimantiki kilikuwa hakina mashiko yeyote zaidi ya kukata utepe kwenye majengo na hafla.
Ila baada ya Mwendazake kututoka akiwa madarakani, watajitafakari tena juu hasa ya mtu sahihi wa kuwekwa kama makamo.
 
Kweli. Bilal hata hakujisumbua yeye qli tembea na mkasi basi
 
Wakuu,

Kuna picha nimeziona mitandaoni huko mpaka zimenishangaza, yani makamu wa Rais anafunga safari kutoka Dodoma kwenda kufanya ziara ya kukagua miche ya miti huko Kigoma!

Hilo jukumu si hata mkuu wa wilaya angeweza tu kulifanya.

Cheo cha makamu wa Rais kwa Tanzania kina hadhi gani?

View attachment 2052207

View attachment 2052208
Ametafutiwa tukio ili aonekane maana minong'ono ilikuwa imeshaanza hapa na pale na kule
 
Wakuu,

Kuna picha nimeziona mitandaoni huko mpaka zimenishangaza, yani makamu wa Rais anafunga safari kutoka Dodoma kwenda kufanya ziara ya kukagua miche ya miti huko Kigoma!

Hilo jukumu si hata mkuu wa wilaya angeweza tu kulifanya.

Cheo cha makamu wa Rais kwa Tanzania kina hadhi gani?

View attachment 2052207

View attachment 2052208

Mtu kwao Mtu kwao
Anyway hiyo safari imetafutwa ili watu watafune hizo Per-Diem
 
Hiki cheo kilikuwa kwa ajili ya wazanzibari kubalance Muungano.
Ila kiukweli hakina hadhi yoyote kisiasa
Mpango wa wakati ule akiwa Waziri alikuwa na sauti na nguvu alipokuwa waziri wa Fedha kuliko hivi sasa akiwa mzee wa kukata utepe.
Kwa siasa za nchi hii,ukitaka kummaliza adui yako mpe cheo cha Makamu wa Rais.
Kwisha habari yake
.... umuhimu wake umeonekana Machi 2021! Otherwise, leo tungeongea mengine au pengine tusingekuwepo kuongea!
 
Back
Top Bottom