Je, inawezekana mwanamke asikamate ujauzito akiwa katika siku za hatari?

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
Ningependa kufahamu hivi inawezekana vipi mwanamke akiwa katika siku za hatari mimba isiwe kukamata au asipate mimba
 
Aiseee! Unamaanisha ile tu kuwa katika 'anga' zake basi apate mimba hata bila mbegu?
 
Siyo kila anayeingia siku za hatari ana uwezo wa kushika mimba.
 
Ningependa kufahamu hivi inawezekana vipi mwanamke akiwa katika siku za hatari mimba isiwe kukamata au asipate mimba
50% ya matatizo ya wanawake kutokupata mimba inachangiwa na hali za wanaume pia kushindwa kuwapa wanawake ujauzito ( MNH 2021 report).Hili swala linachangiwa na mambo mengi mno hvyo uchunguzi na ushauri wa kitaalamu huhitajika.Wanaume siku hzi wana matatizo ya low sperm count pamoja na mbegu kutokuwa na ubora unaotakiwa.Zamani kabla ya sayansi kukua,watu walidhan wanawake pekee ndiyo wanaweza kuwa wagumba kumbe sivyo.
 
Ningependa kufahamu hivi inawezekana vipi mwanamke akiwa katika siku za hatari mimba isiwe kukamata au asipate mimba
Kampime mke wako je kizazi chake kipo sawa?Mirija ya uzazi ipo sawa? Na Hormone zake zipo sawa?na Wewe ukapime je shahawa zako aka Sperm zako je zina nguvu ya kuweza kumzalisha Mwanamke?kisha lete jibu hapo.
 
Back
Top Bottom