Exagear inawezekana ndio ila ina emulate software za windows na sio windows yenyewe, na si software zote zinakubali.Nmechek youtube nkaona kuna kitu kinaitwa exagear kwamba unaweza run program za computer kama virtual dj au fl studio ukaweza tumia kweny smartphone ila kwang inagoma je kun mjuzi humu anisaidie
View attachment 1736888