Hivi inawezekana sakata la TPIL na ARV feki lilikuwa ni hujuma?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
13,479
2,000
TPIL(Tanzania pharmaceutical industries limited ) ni kiwanda cha dawa kilichopo jijini Arusha. Zamani kilikuwa cha serikali lakini kilibinafsihwa mwaka 1997.

Miaka kadhaa iliyopita kiliingia kwenye kadhfa kubwa ya kutengeneza ARV fake. Kuna ingredients hawakuweka wu walichanganya. Hilo likipelekea wasimamishwe kuzalisha ARV sijui kama wameanza.

ARV hutengenezwa na kutolewa bure kwa udhamini wa wahisani na kabla ya hayo ARV zetu tulikuwa tunatoa viwanda vya nje vilivyopewa tenda na wahisani. Ni tenda nono.

Sasa najiuliza kuwa haiwezi kuwa hivi viwanda vyenye tenda viliwafanyia TPI hujuma? Nyinyi mnaonaje?
 

Peramiho yetu

JF-Expert Member
May 25, 2018
2,050
2,000
Ramadhan madabida mwenyekiti mstaafu wa CCM mkoa wa dsm na mgombea ubunge Jimbo la kilwa mwaka 2010 akishindana na bwege njoo ujibu tuhuma hizi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom