Nokia lumia: inawezekana kutoa windows os na kuinstall android os?

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
4,504
2,000
Msaada wakuu..nina kisimu cha zaman hapa nokia lumia 720 nataka nibadilishe os yake kutoka windows kwenda android,

Je inawezekana??
Msaada wenu na ushauri ni muhimu wakuu..

Ninachochukia windows hawana apps nyingi nizipendazo
 
ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,893
2,000
Msaada wakuu..nina kisimu cha zaman hapa nokia lumia 720 nataka nibadilishe os yake kutoka windows kwenda android,

Je inawezekana??
Msaada wenu na ushauri ni muhimu wakuu..

Ninachochukia windows hawana apps nyingi nizipendazo

Haifai kabisa. Kwenye mitandao kuna ujanja ujanja wa kuweka Android kwenye windows phone lakini ni kwaajili ya gimmick na kujifurahisha tu.

Simu ya windows ukiweka Android inakuwa kasha ambalo Haina network na haitasoma Simcard, Camera haitafanya kazi, haitakuwa na sauti. Kifupi drivers nyingi hazitakuwa compatible.

Hata mimi ninayo Lumia nimeiweka store tu.
 
Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
4,504
2,000
Haifai kabisa. Kwenye mitandao kuna ujanja ujanja wa kuweka Android kwenye windows phone lakini ni kwaajili ya gimmick na kujifurahisha tu.

Simu ya windows ukiweka Android inakuwa kasha ambalo Haina network na haitasoma Simcard, Camera haitafanya kazi, haitakuwa na sauti. Kifupi drivers nyingi hazitakuwa compatible.

Hata mimi ninayo Lumia nimeiweka store tu.
Nashukuru mkuu kwa jibu zuri...ngoja tu niendelee kutumia kwenye sms na calls tu...
 
wakurochi

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
2,279
2,000
Na mimi ninayo lumnia imekuja haisomi simcard ukiwasha inadai puk nimeweka puk zangu za tigo na halotel haisomi

Je wajanja wanaweza kuifanya isome mtandao na kwa bei gani mi naipenda inakaa na chaji muda mrefu kuliko hizi samsung.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom