inaweza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ommytk

    Wilaya kigamboni nahisi kwa dsm inaweza ikawa ndio inaongoza kwa askali wa usalama barabarani na makamera

    Katika tambia yangu mkoa dsm kigambo nahisi ni mahali ambapo panaongoza kwa askari barabarani.yaani sijui kwanini maana mikoani tunahitaji pia maana mimi nipo musoma sijawahi kuona trafiki labda kuwe na jambo kigamboni nimekutana na camera 3 na sehemu zaidi ya 5 tumesikamishwa ebu mje mkoani pia...
  2. mandawa

    Risiti za Ushuru wa Maegesho za TARURA zinaweza kuvunja ndoa za watu

    Leo nimeamini TARURA laweza kuwa janga jipya hapa Dar. Leo tumepewa bill ya maegesho nikiwa na mwenza wangu, la ajabu katika bill, inaonyesha tarehe ambayo sote tulikuwa nyumbani mapumziko na la kushangaza zaidi bill inaonyesha gari lilipaki nje ya guest inayofahamika mitaa ya Sinza muda wa...
  3. Uchumi wa Mifugo

    Je, Simba SC inaweza kujenga uwanja kwa njia ya kuchangishana?

    Tangu jana mwekezaji wa Simba alipopost kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii kuwa amesikia kilio cha mashabiki wa Simba cha kutaka klabu yao iwe na uwanja wake wa kuchezea mechi za nyumbani na kuahidi kuchangia bilioni 2 kumeibuka mijadala kwenye redio na mitandao ya kijamii,kama ilivyo...
  4. N

    Je, inaweza kufunguliwa kesi dhidi ya Jeshi la Polisi ya kumwitisha Moses Lijenje aletwe Mahakamani?

    Kuna uwezekano mkubwa Moses Lijenje alikamatwa na pengine alipelekwa selo za Polisi zisizojulikana pengine na kupewa majina mengine ili asijulikane kama ilivyokuwa kwa akina Adamoo. Kwa kuwa pia hawakuwa wakiandikishwa wakati wakiingizwa lock-up, mfano pale TAZARA, je kuna uwezekano kwa...
  5. Red Giant

    Serikali inaweza kufanya nini kukabiliana na mdororo wa uchumi unaoikuta nchi kila Januari?

    Habari wakuu. Kawaida ni jukumu la serikali kukabiliana na mdororo wa uchumi haijalishi kilichosababisha. Sasa nchi yetu karibu kila mwezi wa january hupatwa na mdororo wa uchumi. Kwa wengine kurevover huchukua hadi miezi miwili maana huingia kwa wakopesha riba wa vichochoroni nk. Sasa hili ni...
  6. MALCOM LUMUMBA

    Ilikuwaje watu wakaamini kwamba Tanzania inaweza kuendelea bila kushirikiana na dunia?

    Huwa nawaza sana tulifikaje hapa tulipo leo, Hivi ilikuwaje taifa lenye wasomi wazuri kabisa likaamua kufanya maamuzi ya kipumbavu ambayo hata Waroma wa kale walioishi miaka 2000 iliyopita wasingeyafanya. Hivi katika maksudi kabisa, taasisi nyeti za Tanzania ziliamini kabisa kwamba wao...
  7. S

    Katika hali ya kawaida, kumbukumbu namba inaweza isiwe unique feature?

    Kama alivyotamka Jaji kwenye kupita pingamizi la upande wa utetezi kwenye kesi ya Mbowe, unaona Jaji yuko sahihi?
  8. Fundi Madirisha

    Raia Mwema: Paul Makonda kushtakiwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka

    Kama ambavyo kichwa cha habari kinaeleza, ni mwendo wa kutafuta haki zilizocheleweshwa kwa muda mrefu. Sasa Bwanamdogo kumfuata jamaa yake Sabaya. ==== Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya...
  9. Red Giant

    Hivi kuna limit ya kiasi ambacho Serikali inaweza kukopa kwa mwaka?

    Kawaida serikali hasa za kidemokrasia zinapenda sana kukopa. Wanakopa na kutumia watakavyo wakijua watakaolipa madeni ni wengine kabisa. Huu ni mfumo mbaya sana kama hakuna udhibiti. Sasa kwa nchi yetu, je, kuna limit ya kiasi cha pesa ambacho serikali inaruhusiwa kukopa? Au kuna limit kwa...
  10. K

    Hivi mimba ya miezi miwili tu inaweza kumfanya mtu akawa na hasira na kiburi?

    Habari wapendwa? Nina mtu wangu ana mimba ya miezi miwili tu but amebadilika sana, kawa na hasira za ghafla na kiburi hatari. So nauliza,kwa umri wa hiyo mimba ni sahihi kwa yeye kuwa hivyo au analeta maigizo tu?
  11. ABC ZA 2025

    Passport ya Tanzania inaweza kukupeleka nchi 72 bila kulipia Visa. Iko nafasi ya 77 duniani kati ya nchi 195

    Tanzania passport imeongezewa nguvu duniani sasa mmiliki anaweza kudhuru Jumla ya nchi 72 duniani toka nchi 67 mwaka wa Jana bila kulipia " VISA " hakika hakuna kama Rais Samia. Ujio wa Rais Samia Suluhu umevileta karibu karibu kila kitu kuwa rahisi sana kuliko wakati wowote wa Uhai wa Taifa...
  12. Lycaon pictus

    Tukitumia maexpert kutoka nje inaweza kusaidia kuendesha mashirika kama TAZARA?

    Zamani kuna historia kuwa Mobutu alipoona uchumi unaenda hovyo akaajili mbobezi kutoka Ulaya kuwa gavana wa benki kuu. Jamaa akaja na mipango mizuri sana ya kuokoa uchumi. lakini alikuta vikwazo kibao, Mobutu alikuwa anaifanya benki kuu kama kibubu chake. Wakashindwana jamaa akasepa. Mkapa...
  13. Baraka21

    Singasung TV ikipasuka Screen inaweza kuplay USB/Flash nyimbo za audio?

    Wakuu kaTV kangu ka SingSung inch 24 imevunjika kioo. Nimeogonga kwa bahati mbaya. Nauliza TV ikipasuka kioo inaweza kupiga nyimbo kwa USB/flash ya kawaida. Yaani nina uhakika kila kitu kizima kasoro kioo tu ndio kimevunjika. Sasa kama inaweza kuplay USB nitumie njia gani maana kioo hakisomi...
  14. MSAGA SUMU

    Inaweza kufika miaka 22 ya kuondoka JPM bila Chadema kuiona ikulu

    Ilikuwa kama utani vile mwaka wa kwanza toka aondoke Nyerere tukadhani 2000 lazima Chadema waingie ikulu lakini wapi. 2005 wakaja na helikoptaa lakini mipango ikagoma, 2010 ngoma ikakataa, 2015 gwiji la siasa za urais Lowassa lakini wapi. 2020 tukajaribu gwiji la siasa za Brussels likakutana na...
  15. TheDreamer Thebeliever

    Kuna hasara gani kama Taifa tunazipata kwa kutokuwa na sera ya uraia pacha au "Special Status" inaweza kuwa mbadala?

    Habari wadau...! Habari wadau ebu leo tujadili kuhusu haya mambo ,naona siku hizi mbili yamekiki sana huku kwetu tunaohishi udayasporani baada ya muingereza mtanzania kuibuka na tuzo ya Nobel. Karibuni tujadili.
  16. CM 1774858

    Bajeti moja ya barabara ya Rais Samia inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita

    Bajeti moja ya barabara,madaraja na viwanja vya ndege ya Rais Samia FY2021|22 inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita, "Hakuna kama Samia " Kasi ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea maendeleo endelevu Watanzania hawa masikini...
  17. Mathias Byabato

    Mijadala katika club house ya Mindset Transformation inaweza kuboresha maisha yako

    Habari za kazi. Kuna tafsri nyingi juu ya motivation speakers duniani juu ya yale wasemayo na namna ya kuyatekeleza katika maisha halisi. lakini katika club house hii hakika kwa wiki mbili sasa nashiriki hakika kuna kitu cha tofauti. nimeona nami nishiriki kuwajulisha kwa wanaopenda kushiriki...
  18. K

    Chanjo ya COvID19 inaweza isiwe na ubora kwa uhifadhi hafifu.

    Ubora wa chanjo unaendana na kufuatilia taratibu za uhifadhi. Kama chanjo imeelekezwa kutumika kwa kipindi flani lazima iwe hivyo, Kama imeelekezwa kutunzwa kwenye joto la ngazi flan lazima iwe hivyo na Kama imeelekezwa kuwekwa kwenye ubaridi pia inabidi iwe hivyo. Kampeni inayoendeshwa Mikoani...
  19. I

    SoC01 Jinsi Serikali inavyoweza kuboresha huduma za Afya kwa Jamii

    Utangulizi Ndugu zangu wanajamii forum ningependa kuanza na nini maana ya Afya ? Ni hali ya kujiskia vizuri kimwili, kiakili, kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote. Katika Afya kuna aina zake Nazo ni Afya ya akili, Afya ya mwili, Afya ya jamii, kijinsia, chakula, mazingira, Umma na...
  20. N

    Injini gani ya pikipiki mchina inaweza kaa kwenye pikipiki aina ya TVS

    Pole na kazi wakuu!! Msaada katika Hilo tafadhali
Back
Top Bottom