inaweza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eagle Wa njano

    JamiiForums Tanzania Je, katiba pekee ndio inaweza kubadili mienendo na siasa za Tanzania? Kama sio basi nini kifanyike kubadili siasa za Tanzania na Africa kwa ujumla?

    Habari gani mabibi na manabwa, karibuni tulijadiri hili. Kila siku utakuta watu wakilaumu serikali zao hasa za ki Africa kuhusu viongozi wetu na weakness za katiba, je katiba tu ndo inaweza leta matokeo chanya kwa taifa? Je katiba ndio chanzo cha mikopo isiyokuwa na ulazima? All in all ebu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kudos Azam FC, leo mmeumiza wengi. Kuna timu inaweza kuambulia nafasi ya tatu

    Nimeona leo mjadala umekuwa mkubwa juu ya refa kuongeza dk nyingi kwenye mechi ya Azam na coast union. Nafikiri mwamuzi alikuwa sahihi kwa 100% sababu hizi timu za mikoani zimekuwa na katabia kakijinga sana kupoteza muda pindi wanapokuwa wanaongoza au wanapoona matokeo yako upande wao bila...
  3. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Katiba inaweza kuchelewa kidogo

    Kama vijana wako bize wanalike Picha za mazigo mitandaoni. Vijana wa ovyo kabisa.
  4. NyegereBOY

    JamiiForums Tanzania Nina wazo ambalo linaweza kutunufaisha mimi na wewe kama una kipato kidogo na hujui pa kuwekeza

    Nawasalimu Kwa jina la muungano wana JF wote Kifupi nisikuchoshe wala tusichoshane nitaenda moja Kwa moja kwenye maada kama kichwa kinavyoeleza Mtanisamehe Kwa uandishi wangu Mimi sio muandishi mzuri Kwa kifupi Mimi ni kijana Wa kitanzania mkazi Wa jijini Dar es Salaam. Katika harakati za...
  5. Pro Biznesi

    JamiiForums Tanzania Je, Forex Trading inaweza kunitoa kimaisha hapa Tanzania?

    Najua hii ni mada maarufu na nyeti kwa baadhi ya watu. Sababu ni kwamba Forex ni biashara ya kimtandao Na nahitaji ushauri kama yupo mtu ambaye alishawahi kufanya kufanikiwa hii biashara ya mtandao ya Forex Trading. Niambieni je ni kweli inaweza kumtoa mtu kwenye umaskini?
  6. maroon7

    JamiiForums Tanzania Nguzo ya Tanesco inaweza kuwa ndani ya uzio?

    Nimekuta nguzo ya Tanesco imewekwa ila iko ndani ya eneo na ninataka kuweza uzio wa ukuta. Kwa wenye uelewa nipeni ushauri,hii nguzo naweza jenga ukuta ikawa ndani ya uzio wangu?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Siyo kila timu inaweza kwenda unbeaten mechi 44

    Nafikiri sasa tutaongea lugha moja ya kwamba yanga kucheza michezo 44 bila kufungwa sio jambo jepesi kama wanavyodhani wale mbumbumbu, unatakiwa uwe na kikosi cha maana na kipana kufikia iyo rekodi. Tumeona leo wazee wa pira litembee walivyoangukia pua mbele ya azam, baada ya kulegezwa na derby...
  8. comte

    JamiiForums Tanzania Muungano wa vyama vya siasa vya upinzani 14 umeunga mkono ripoti Kikosi cha kazi, CHADEMA wapinga

    Dar es Salaam. Muungano wa vyama vya siasa vya upinzani 14 nchini umetangaza kuunga mkono ripoti Kikosi cha kazi kilichoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kutafuta na kuchakata maoni ya wadau kuhusu mfumo wa demokrasia, huku wakikosoa msimamo wa Chadema kupinga ripoti hiyo. Oktoba 21, kikosi...
  9. OLS

    JamiiForums Tanzania Marekebisho ya sheria ya COSTECH inaweza kuathiri hata wanahabari

    Niliingia bungeni ku-observe CSOs, NGOs, watu binafsi ambao wamewasilisha mapendekezo yao kuhusu sheria na miswada ya sheria inayopendekezwa. Hata hivyo Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria ilikuwa na watu wachache sana walioenda kutoa mapendekezo ambayo hasa yalilenga sheria ya COSTECH na...
  10. shetani aka shetty baby

    JamiiForums Tanzania Software ipi kwenye PC inaweza ikatumika kuhifadhi apps mbalimbali?

    Naomba kujua ni application ipi ni install kwenye PC yangu ili niweze k-run application mbalimbali kama vile whatspp, telegram nk
  11. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye hadhi ya mama mdogo nawapata kirahisi, hii inaweza kuhusiana na mambo ya koroho?

    Wanawake wenye jina la mama mdogo nawapata kirahisi, hii inaweza kuhusiana na mambo ya koroho? Ni jina la yule mama mdogo ambaye wamezoena zaidi na mama ukiachana na wadogo zake wengine wawili wa kike. Nakumbuka sekondari form 3 hadi 4 kuna binti alikuwa na hilo jina aliniganda na tulipendana...
  12. wa log

    JamiiForums Tanzania Misaada GPA inaweza kadiriwa

    Niki calculate GPA yangu napata 2.6793. Je, cheti kitakuja na GPA ya 2.6 au 2.7? Na vipi kuhusu class? Ni GPA ya university.
  13. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Hakuna biashara Serikali inaweza kufanya kwa ufanisi

    Nimepanda treni ya Kigoma - Dar mwaka 2021, na nilijisemea sitakuja kupanda tena kwa namna treni hii ilivyo na huduma mbovu na za aibu. Ninatumia usafiri wa ndege Air Tanzania mara kwa mara kwa safari zangu za ndani ya Tanzania. Kuna kipindi hata namba zao za huduma kwa mteja hazipatikani...
  14. mgt software

    JamiiForums Tanzania Serikali ikiondoa unafiki na chuki bado Kagera inaweza kuchomoza, Chalamila unatakiwa kujua haya

    Kinachosikitisha ni kwamba kila anayepanda jukwaa kuelezea kinachoitwa umaskini wa Mkoa wa Kagera anakuja na ngonjera za wingi wa maprofesa na ma-PhD holders kutoka mkoani mwetu. Lawama zote zinarundikwa kwa watu hao na Wanakagera kwa jumla. Huo ndio ukasuku na unafiki wa watawala wetu ambao...
  15. 2019

    JamiiForums Tanzania Sehemu 10 nyingine ambazo serikali inaweza kuvuna mabilioni ya pesa kupitia tozo ni huku

    1.Vifurushi vya simu(vocha pia) 2. Vifurushi vya televisheni 3. Usafiri wa daladala 4. Pikipiki 5. Bajaji 6. Mafuta ya kupikia 7. Nafaka zote 8. Soda 9. Sigara 10. Pombe zote Mambo yote hayo kila siku yanatumika kama serikali itaweka tozo basi nchi itasonga haraka sana. My. Mwigulu hata...
  16. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania tukiamua, elimu inaweza kuwa silaha dhidi ya maadui watatu wa maendeleo

    Moja kati ya hotuba maarufu sana ya aliyewahi kua muasisi wa taifa letu, Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere ni ile ya mwaka 1995, ambapo kiongozi huyo aliongea kuhusu swala zima la maadui watatu wa maendeleo, ambao ni umasikini, ujinga na maradhi. Katika karne hii ya 21, adui ujinga amekua...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Aliyegundua kwamba pakiti ya condom zikae tatu nani? Nafanya utafiti wangu hapa kuona kama moja inaweza tumika bao zote

    Leo nimeamua kuendeleza utafti wangu kuchunguza nani aliyegundua kwamba lazima pakiti ya condom zikae tatu. Nahisi utafiti wake umepitwa na wakati. Kwanza Mimi mwenyewe tangu nizijue condom zijawahi kuzimaliza zote tatu. Kwanza malengo ya huyu mtu nahisi ilikuwa ni kuuwa fikra za vijana wa...
  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Risasi ikipigwa juu angani inaweza kudhuru mtu ikishuka? Bunduki inaweza kupiga risasi na kudhuru kwa umbali gani?

    Wakuu, wale wanaopiga risasi angani wakati wa sherehe au kutisha watu. Je, risasi hizo zinaweza safiri umbali gani angani? Wakati wa kushuka zinaweza kumdhuru mtu, na risasi inayopigwa horizontally inaweza kusafiri umbali gani na kudhuru mtu?
  19. M

    JamiiForums Tanzania Muda huu euro moja = 0.99 USD, naomba kujua inaweza kuwa imechangiwa na nini?

    Kama kichwa kinavosema wakuuu,mdaa huu saa 12 na dk 16 Eur moja ni sawa na 0.99 usd hii inaweza kuwa inachangiwa na nini hasa?
  20. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Kitaalamu ( kiafya ) inaweza kuwa na shida?

    Tunafahamu undugu wa watu huunganishwa kwa dam ( genetics ). Je ikitokea mtu kachangiwa damu na watu ambao sio familia moja na ikitokea wakapendana tuseme aliyechangiwa damu ( me ) na mtoto wa mchanga damu (ke) na wakafanya mapenzi, je kunaweza kuwa na shida juu ya mtoto atakayezaliwa na kiimani...
Back
Top Bottom