inaweza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Njaa inaweza kutufundisha kuliko Walimu

    NJAA INAWEZA KUTUFUNDISHA KULIKO WALIMU. Na Elius Ndabila 0768239284 Kumekuwa na mjadala mkubwa juu ya pembejeo za kilimo kupanda bei mara dufu. Bahati mbaya toka mijadala hii imeanza hakujawa na suluhisho. Wapo wanaojaribu kutengeneza sababu kuwa kupanda Kwa pembejeo za kilimo kunatokana na...
  2. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Anuani za Makazi na Wakazi je inaweza kupatika/kutolewa sehemu ambazo hazijapimwa?

    Nimeshuhudia watu wakipita na makaratasi wakiwaambiwa wakazi wa eneo husika kuwa huu mtaa n mtaa flan na Kama Kuna njia wanasema n njia flan bila ya mwenyeji/wenyeji kujua Hilo jina limetokea wapi. Pili hiv inawezekana kutoa anuani bila ya kuwa umerasimisha makazi ya eneo husika? Mfano unakuta...
  3. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Ukitunga sheria kumbuka kuwa inaweza kukugeuka

    Mwaka 1880 Malkia Sunanda Kamiriratana wa Thailand akiwa kwenye boat ndogo ya kifalme, boat hiyo ilipata ajali kwa kugongana na boat kubwa. Watu waliokuwa kwenye boat ndogo yani malkia, binti yake, vijakazi na walinzi wake wote walidumbukia kwenye maji. Shida ikawa ni je wamuokoe malkia au...
  4. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Kama misikiti inaweza kujengwa mitaani kwa uhuru, kwanini kujengwa kwa makanisa kuwe kero Zanzibar?

    Nimeshuhudia taarifa na video mtandaoni ikionyesha kanisa dogo la TAG maeneo ya Zanzibar likivunjwa na greda kwa amri ya wakuu fulani wa serikali wa Zanzibar. Sababu za kimsingi za hayo kutokea ni kukosekana kwa uvumilivu wa kidini kwa baadhi ya wakazi wa Zanzibar dhidi ya imani zingine, jambo...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa ujenzi, hii nyumba inaweza kugharimu kiasi gani?

    Wataalam wa ujenzi hii nyumba inaweza kugharimu kiasi gani nimeipenda.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Jaji Tiganga inaweza kupatikana?

    Pamoja na Mhe Mbowe na wenzake Kia chi wa guru baada ya DPP kueleza nia ya kutoendelea na kesi, je ile hukumu ya Jaji Tiganga iliyowakuta ya washtakiwa wana kesi ya kujibu inaweza kupatikana? Tunataka tuichambue hukumu hiyo kwenye vijiwe vyetu, kwenye vyama vya kitaaluma ya sheria, kwenye law...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe makini, join the chain inaweza kuwa mkakati wa kutakatisha fedha chafu na kuziingiza katika mfumo rasmi

    Nashauri sheria iundwe kudhibiti michango isiyo na kichwa na miguu. Kuna tetesi kwamba mwanasiasa mmoja amepewa mabilioni na taasisi za kijasusi za Mataifa ya Magharibi na anatafuta njia ya kuzipenyeza nchini, Serikali iwe makini.
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tanzania inaweza kuanza kuzalisha ndege za watu wachache

    Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesema kipo hatua za mwisho za majadiliano na kampuni ya Skyleader yenye makao makuu nchini Czech ili waje kuwekeza nchini Tanzania. Skyleader ni kampuni inayotengeneza ndege ndogo za wazi ambazo huwa na siti moja hadi mbili. Kampuni hiyo inaweza kuanza...
  9. KENZY

    JamiiForums Tanzania Mathematics inaweza kutufunulia kuhusu siri za ulimwengu kweli...??

    Naleta swali hili kwenu nyinyi wataalum wa hesabu. Je, Mathematics inaweza kutufunulia siri za ulimwengu..? Nimekuwa nikisikia kuwa hesabu na matendo yake kama tutaweza kuzitumia vyema basi tunaweza kutambua siri kadhaa za ulimwengu!!. Inamaanisha hesabu ni lugha ya ulimwengu so ni vile tu...
  10. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Urusi inaweza kuivamia Ukraine muda wowote, Marekani yatoa angalizo, yataka raia wake waondoke Ukraine

    Marekani imeonya kuwa Urusi inaweza kuivamia kijeshi Ukraine muda wowote. Mshauri wa masuala ya usalama wa Marekani, Jake Sullivan amesema uvamizi huo unaweza ukaanza kwa makombora na mashambulizi ya anga. Tangazo la Marekani linatokana na taarifa mpya za kijasusi kuhusu kuongezeka kwa...
  11. The Bleiz

    JamiiForums Tanzania Kinga wanayokwenda kuwekewa Polisi 'undercover' kwenye Sheria inaweza ikahalalisha Polisi kufanya uhalifu dhidi ya binadamu kama Mtwara?

  12. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama inaweza kukulazimisha kujibu swali lolote bila kujali kiapo ulichokula cha kulinda siri

    Sheria ya kulinda siri ina sehemu inazokuzuia kuropoka siri za taasisi yako unayofanyia kazi,,,sehemu hizo ni kama ukiwa baa, sokoni,msikitini,kanisani,kwa mchepuko nk, ukiwa sehemu hizo ikaropoka mambo kwa mfano ya Jeshi utaadhibiwa vibaya sana Ila linapokuja swala la mahakama,utajibu kila...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Amos Makalla ana mkosi au kuna nini? Mbona masoko yanaungua sana?

    Kuungua kwa soko la Mitumba Karume limefanya nifikirie mambo mengi mpaka jibu sina, kumbuka huyu bwana alipokuwa Mbeya mwendo wa kuwaka moto masoko, ilikuwa shida sasa naona imehamia DSM. Sasa huyu mkuu ana mkosi au kuna namna? Pia soma: Soko la Kariakoo lateketea kwa moto
  14. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakamani katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, Januari 13, 2022. Kesi imeahirishwa hadi Januari 14 2022

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 13/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea. Kufahamu ilipoishia, soma hapa:Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe leo Januari 11, 2022. SP Jumanne Malangahe amaliza kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa hadi Januari 13, 2022 Ungana nami katika uzi...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Je, inaweza kutokea uteuzi wa wagombea ukafanyika nje ya waliochukua fomu?

    Habari za muda huu, Swali langu ni mahususi kwa nafasi ya uspika lakini pia linaweza kujibiwa kwa nafasi nyingine ambazo mchakato wake wa uteuzi wa wagombea unaanza kwa kuchukua fomu kwa vyama husika. Swali ni: Je, ikitokea wote waliochukua fomu ya kuwania nafasi fulani hawana sifa kamili...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania inaweza kuwa na mabalozi wawili katika nchi moja?

    Wajuzi habari za mchana wa leo. Juzi nimemsikia Raisi wa Zanzibar akiagana na mabalozi wanaokwenda kuwakilisha ktk nchi mbalimbali. Ila sikujua kama ni hawahawa wa Tz alikuwa akiagana nao au amefanya uteuzi wa mabalozi kutoka ZNZ. Nilishangaa zaidi baada ya kuona kuna balozi anakwenda Brazil...
  17. init

    JamiiForums Tanzania Uchakavu wa noti uliokithiri katika mkoa wa Iringa na Njombe, je Benki kuu inaweza kuwa na mchango kulikabili hili?

    Awali ya yote nipende kumshukuru yeyote atakaye nusa au kuuweka machoni uzi huu. Nime kuwapo katika mikoa tajwa apo juu kwa vipindi tofauti tofauti. Katika vipindi hivyo vyote nimekuwa shuhuda wa tatizo hilo, noti zinazotumika katika mikoa tajwa zina hali mbaya. Kwa tizama yangu sabubu kuu ya...
  18. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania TCRA: Kipindi cha Shule ya Uongozi cha Humphrey Polepole kinatolewa pasipo kuzingatia misingi, sheria na kanuni za huduma ya utangazaji

    Kamati ya Maudhui ya TCRA imesema kipindi cha Shule ya Uongozi cha Mbunge Humphrey Polepole kinatolewa pasipo kuzingatia misingi, sheria na kanuni za huduma ya utangazaji. Kamati imeongeza kuwa maudhui ya kipindi ni ya upotoshaji na yanayoweza kusababisha taharuki kwa wananchi. Sasa kiki ya...
  19. ommytk

    JamiiForums Tanzania Wilaya kigamboni nahisi kwa dsm inaweza ikawa ndio inaongoza kwa askali wa usalama barabarani na makamera

    Katika tambia yangu mkoa dsm kigambo nahisi ni mahali ambapo panaongoza kwa askari barabarani.yaani sijui kwanini maana mikoani tunahitaji pia maana mimi nipo musoma sijawahi kuona trafiki labda kuwe na jambo kigamboni nimekutana na camera 3 na sehemu zaidi ya 5 tumesikamishwa ebu mje mkoani pia...
  20. mandawa

    JamiiForums Tanzania Risiti za Ushuru wa Maegesho za TARURA zinaweza kuvunja ndoa za watu

    Leo nimeamini TARURA laweza kuwa janga jipya hapa Dar. Leo tumepewa bill ya maegesho nikiwa na mwenza wangu, la ajabu katika bill, inaonyesha tarehe ambayo sote tulikuwa nyumbani mapumziko na la kushangaza zaidi bill inaonyesha gari lilipaki nje ya guest inayofahamika mitaa ya Sinza muda wa...
Back
Top Bottom