inaweza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Tusijiamini sana, mauaji ya Rais wa Haiti yanaweza kutokea kwa Wengine. Umakini uongezwe kwa Marais Duniani

    Chanzo kimoja kutoka huko nchini Haiti moja ya sababu ya Assassination hiyo ni Kitendo cha Rais huyo Kutengeneza Makundi kuanzia katika Chama chake, Idara yake ya Usalama wa Taifa, Jeshini na pia Kumuamini Mtu Mmoja ( Mstaafu ) ambaye alimchuuza ili auwawe ili Mtu aliyeandaliwa Kimkakati kwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania CCM inaweza kutupatia kiongozi mwingine mwenye uthubutu kama Hayati Magufuli?

    Pamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ? R.I.P mwamba...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere, tweet yako inaweza kukuletea shida kwanini ina tuhuma nzito kwa muhusika

    Nimeona umeandika ujumbe katika mtandao wa twitter huku ukimshushia tuhuma nzito yule RC wa zamani mwenye kashifa nyingi pengine kuliko wote. Wasiwasi wangu ni wahusika kukuhitaji wakitaka utoe ushahidi wa tuhuma ulizotoa ingawa si mpya kwani ni wengi wanamtuhumu ila wewe umekwenda mbali kwa...
  4. Nguruka

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Uchaguzi yapuliza kipenga uchaguzi mdogo jimbo la Konde na kata 6 Tanzania bara

    TUME ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza ratiba ya Uchaguzi Jimbo la Konde, Micheweni, Kaskazini Pemba na Kata sita za Tanzania Bara.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mashine moja inaweza kutoa kila aina ya malisho ya majini

    1 Teknolojia bora ya kudhibiti saizi ya chembe ya kulisha Matokeo mengi ya utafiti nyumbani na nje ya nchi yanaonyesha kuwa wanyama wa uzao maalum na hatua maalum ya kulisha wana saizi bora ya chembe ya kusagwa kwa bidhaa zilizo na fomula maalum ya kulisha, na saizi hii ya chembe ya kusagwa ni...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Reincarnation theory inaweza kuwa kweli

    Kuna wanao amini ukifa roho yako inazaliwa upya kutokana na matendo yako. Kuna wanaozaliwa nzi au jongoo kutokana na thamani ya wema wako. Unaweza kuzaliwa katika familia ya kitajiri na kuandaliwa kuwa mtu muhimu kutokana na matendo yako katika maisha. Reincarnation theory inasisitiza kupenda...
  7. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Picha: Kujenga nyumba kama hii kwa kijijini inaweza kugharimu kiasi gani kwa makadirio?

    👇👇👇
  8. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Je, katika umri huu Morphology inaweza kuathirika?

    Miaka 40+ 1. Nalalia sana upande mmoja je kichwa kinaweza bonyea upande huo hata kidogo? 2. Wenye shughuli za kukaa muda mrefu je makalio yanaweza bonyea na kusababisha kuwa flat?hasa kwa wanawake. Sisi wanaume hatuyahitaji.
  9. Faana

    JamiiForums Tanzania Hapa ni wapi na inaweza kuwa ni mwaka gani

  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanasheria nauliza; Hivi Deed Poll kabla yakuisajili wizara ya ardhi inaweza kutumika?

    Naomba ushauri wa haraka kuhusu hili. Vyeti vyangu vyote mpaka chuo kikuu nina majina mawili. Kitambulisho cha Taifa kina majina matatu. Jina la kwanza na la mwisho kwenye NIDA ndio majjna yangu kwenye vyeti. Nina-apply kazi na inabidi niambatanishe hiyo Deed poll. Kule ardhi usajili...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Siasa ya Mafuta na Gesi: Kuibadili gesi asilia kuwa mafuta ya petroli inaweza punguza gharama tunazotumia kuagiza mafuta hayo kutoka mataifa ya nje

    Petroli ni moja ya mafuta ambayo huagizwa kutoka katika mataifa ya nje kwa ajili ya kutumiwa katika magari madogo na ya kati. Mafuta ya petroli ambayo yanaigizwa kutoka mataifa ya nje yanachukua karibia robo (1/4) ya bidhaa za mafuta ambayo huagizwa kutoka mataifa ya nje kama ilivyo ripotiwa na...
  12. IZENGOB

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye kuzifahamu gari ndogo za mizigo inayoweza kubeba mzigo wa tani 2 mpaka 3

    Wakuu habari za kazi nina shamba langu mahali baada ya mavuno, nina ndoto ya kununua gari ya mzigo isiyozidi tani 3 ambayo itaniingizia kipato kwa kubeba mazao ya wakulima na mazao yangu kupeleka sokoni. Gari za mizigo sizijui mwenye kuzifahamu naomba msaada anitajie, hata kuweka picha na sifa...
  13. Nafaka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je ARM inaweza kuua x86 processors kwenye computers?

    Toka apple ameachia processors za Silcon M1 based on ARM achirtecture, ambapo zimeishinda processor ya intel yoyote yenye nguvu katika single thread kuanzia kwenye graphics rendering, na kila kitu mjadara umekuwa mkubwa mtandaoni. Kabla ya hapo mjadara mkubwa ulikuwa ni AMD ryzen 5000 dhidi ya...
  14. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Hii ya CCM kuwa inawafagia watendaji wake wote bila kujali mafanikio yao inaweza kuwa Taasisi ya kwanza kwa ubora Duniani

    CCM Ina mfumo imara yeyote aingiapo hapo huheshimiwa kwa uwezo wa Chama Mafanikio haya ya CCM yamejidhihirisha kwenye changamoto kubwa iliyoikuta nchi yetu baada ya kuondewa na JPM nchi imeendelea kubaki salama hili limesababishwa na mfumo wa Chama kuwa imara CCM inaamini kwenye mfumo...
  15. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni software gani inaweza nisaidia kuandaa bid document kirahisi?

    Habar wana jamii forum hope mpo poa mm ni mwajiriwa kwenye kampuni X najihusisha na Tender na kwa sasa nimekuwa na shughuli nyingi mno lakin kamwe sijawah kuwaza kuacha mambo ya tenser japo kuna sehemu kuna shida kidogo na naamin humu wapo ambao pia wanafanya hii shughuli. Shida ipo hv...
  16. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania NATO wanatishia, Urusi hatishii atavamia kweli na inaweza kutokea Vita kweli

    Mgogoro Kati ya Ukraine upo kweli na Vita kubwa sana yaweza Kutokea baina ya Urusi na Ukraine wakisaidiwa na NATO. Chokochoko hapo ni Marekani tu ndio ambae anampa kiburi na kumdanganya Ukraine. Nia ovu ya Marekani Ni kuwa na wanachama wengi wa NATO walio karibu na Urusi na hasa wale walikua...
  17. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania TANESCO inaweza ikatengeneza faida kubwa sana endapo wataanza kukopesha units za LUKU. Hii ni ngumu kwa mteja kukwepa marejesho

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wa humu JamiiForums. Kwanini TANESCO haikopeshi units za umeme wa LUKU kwa wateja wake? Mimi ninaona kama mchakato huu utawawezesha kupata faida kubwa sana kama riba kwa maana ni ngumu sana kwa mteja kukwepa marejesho. Tofauti ya mteja wa TANESCO na...
  18. Innocent Kirumbuyo

    JamiiForums Tanzania Biashara ya viatu inaweza kukutajirisha

    Hello Natumaini mnaendelea vyema na harakati za kutafuta maisha nimeona leo niwaibie siri jinsi hii biashara ya sandals na viatu inaweza kukutajirisha kwa haraka. Historia Mimi kwa majina ya kuzaliwa naitwa Innocent kirumbuyo nimezaliwa Kilimanjaro katika hospital marubeneti miaka mingi...
Back
Top Bottom