Mahakama inaweza kuliamuru Bunge?

Nakumbuka wakaty Tundu Lisu anatetea ubunge wake baada ya kufukuzwa na Spika Ndugai Mahakama ilisema haiwezi kuingilia maamuzi ya Spika.

Kwanini leo Spika anaisubiri Mahakama imuongoze?

Huku siyo kuingilia Uhuru wa Bunge?!!
Nchi ya kusadikika!mahakama ndio wanaotafsiri sheria zinazotungwa na bunge,yes mahakama inao uwezo huo na sio bunge, but maamuzi ya speaker ndungai ndio alibadilisha mfumo mzima
 
Nakumbuka wakaty Tundu Lisu anatetea ubunge wake baada ya kufukuzwa na Spika Ndugai Mahakama ilisema haiwezi kuingilia maamuzi ya Spika.

Kwanini leo Spika anaisubiri Mahakama imuongoze?

Huku siyo kuingilia Uhuru wa Bunge?!!

Hapo ndio ujue serekali ni sehemu ya hii michezo michafu dhidi ya Cdm. Halafu Mbowe anaonyesha ukondoo wa kijinga kwa kwenda ikulu ili kujionyesha ni mstaarabu.
 
Hapo ndio ujue serekali ni sehemu ya hii michezo michafu dhidi ya Cdm. Halafu Mbowe anaonyesha ukondoo wa kijinga kwa kwenda ikulu ili kujionyesha ni mstaarabu.n

Walipaswa wapishe kwanza hadi mahakama itapomaliza kama watarudi au lah.. zipo kesi za marejeo ambazo zipo wazi sanaano

Walipaswa wapishe kwanza hadi mahakama itapomaliza kama watarudi au lah.. zipo kesi za marejeo ambazo zipo wazi sanaa
Kuna ile dhana ya Wabunge Mahakama
 
Nakumbuka wakati Tundu Lissu anatetea ubunge wake baada ya kufukuzwa na Spika Ndugai Mahakama ilisema haiwezi kuingilia maamuzi ya Spika.

Kwanini leo Spika anaisubiri Mahakama imuongoze?

Huku siyo kuingilia Uhuru wa Bunge?!!
Bunge halijaamua, kwa Lissu Bunge lilishaamua
 
Back
Top Bottom