Tunafahamu undugu wa watu huunganishwa kwa dam ( genetics ). Je ikitokea mtu kachangiwa damu na watu ambao sio familia moja na ikitokea wakapendana tuseme aliyechangiwa damu ( me ) na mtoto wa mchanga damu (ke) na wakafanya mapenzi, je kunaweza kuwa na shida juu ya mtoto atakayezaliwa na kiimani...
Na Umaru Napoleon Koroma,
Katibu mkuu wa Chama cha Umma cha Sierra Leone
Kwenye hotuba iliyotolewa na Makhtar Diop, Naibu Mkuu wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika, alisema mwaka 1978 China ilikuwa miongoni mwa nchi maskini zaidi duniani. Kuanzia mwaka huo, mapato halisi ya kila mtu wa China...
Shirikisho la soka hapa nchini almaarufu kama TFF linaratibu, kuongoza na kusimamia soka ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. CAF ni kwa Afrika nzima na FIFA ni kwa dunia. TFF inatekeleza majukumu yake, pamoja na mambo mengine, kupitia Kamati na uongozi wake.
Jana, Kamati ya Maadili...
Kesi ya Mbowe iliondolewa kwa nolle prosequi, serikali ikiondoa kesi kwa mfumo huo, inaweza kuirejesha.
Sasa Kingai ndio Yuko jikoni akikarangiza upelelezi. Ikimpendeza aisuke ili twende raundi ya pili
Marekani ni taifa ovu kupiltiliza!! Marekani imepokonya mabilioni ya dola za marekani mali ya urusi! Kama hiyo haitoshi imepokonya mabilioni ya dola za marekani zikiwa ni pesa binafsi za raia matajiri wa Urusi, na imepokonya mali za raia hao kama majumba, ndege, mashua za starehe nk. Kwa...
Naomba kunishauri, biashara gani kati ya hizo haina complication Nahitaji kufungua biashara, akili yangu inawaza biashara tatu lakini moja tu ndo inabidi nichague kati ya hizo.
Ile habari ya kubeba pesa kwenye toroli kwenda kununua mikate inaweza kutupata. Maana wanasema inasababishwa na watu kupoteza imani na pesa. Nini linasababisha hilo? Ishu kama ile inaweza kutokea hapa kwetu?
Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma limezuia maziko ya James Januari (4) aliyejeruhiwa usiku wa kuamkia Jumapili na kufariki dunia Julai 5, 2022 katika Hospitali ya Rufaa Morogoro.
Aidha, kuna uwezekano wa kufukua miili sita iliyozikwa Jumapili Julai 3, 2022 baada ya tukio la mauaji ya watu sita wa...
Sokoni kuna antivirus nyingi na kila moja inajinasibu kuwa ni nzuri. Kwa yule mwenye uzoefu na antivirus mbalimbali naomba ushauri nitumie antivirus vipi kwenye laptop yangu?
Mwanzoni mwa utawala wa mama Samia, kuna mkopo wa trilioni 1.3 wa masharti nafuu ambao ulikopwa kwa ajili ya kupambana na janga la korona.
Huu mkopo ulipata umaarufu zaidi baada ya aliyekuwa spika wa bunge mh. Job ndungai kuhoji kwanini mkopo huo umeombwa wakati tunaweza kutumia hela zetu za...
Wala usiumize kichwa kutaka kujua limekopwa lini, kwa sababu anayekopa si Rais, inakopeshwa serikali, mikopo yote ya nchi yetu haikopeshwi kwa awamu, kuna nchi ambazo zinakopa kwa awamu, lakini kabla hujamaliza awamu yako uwe umeshalipa".Waziri Nchemba.
Chanzo: ITV Tanzania
Yaani...
Harakati za kudai Katiba Mpya Tanzania ni harakati za muda mrefu sana, takribani miaka 30 iliyopita baada ya Tanzania kuingia rasmi katika mfumo wa vyama vingi. Watu wengi wamefungwa, kuteswa na wengine kupoteza hata maisha yao kutokana na kupaza sauti katika kudai Katiba Mpya.
Licha ya damu...
Nakumbuka wakati Tundu Lissu anatetea ubunge wake baada ya kufukuzwa na Spika Ndugai Mahakama ilisema haiwezi kuingilia maamuzi ya Spika.
Kwanini leo Spika anaisubiri Mahakama imuongoze?
Huku siyo kuingilia Uhuru wa Bunge?!!
Human Papilloma Virus (HPV) ndicho kirusi ambacho inaaminika kinatajwa kuwa kinasababisha Saratani ya Kizazi, ambayo kwa asilimia kubwa inawaathiri wanawake.
Pamoja na hivyo wanaume na wanawake wote wanaweza kuathirika na kirusi hicho kwa kupata saratani ya koo ikiwa watashiriki ngono ya kinywa...
1: UTAWALA: Watawala waliotawala dunia zamani walitumia maandiko ya Mungu wa kiebrania kama miongoni mwa machapisho yao.
2: Ndoa. Kanuni za ndoa zinazosisitizwa katika biblia zitakufanya ufurahie ndoa hadi mwisho wako. Mke mtii Mume, mume mpende mke.
3: Muda. Tabia ya kujali Muda inayoleta...
Habarini za humu JF Elimu,
Leo nimekuja kutoa nami mawazo na mitazamo ni namna gani tunaweza kuwasaidia hawa watoto katika hili somo rahisi kabisa!
MAMBO YA MSINGI KWA MWANAFUNZI NA KWA MWALIMU
1. Lugha adhimu ya kiingereza iwe mikononi mwa wanafunzi kwa vyovyote vile hasahasa grammatical and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.