imani

Imani Hakim (born August 12, 1993) is an American actress. She is best known for her role as Tonya Rock on the UPN/CW sitcom Everybody Hates Chris as well as portraying Olympic gold medalist Gabrielle Douglas in the 2014 Lifetime original movie The Gabby Douglas Story.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Tukio gani lilitokea maishani likabadilisha mtazamo na imani yako?

    Nilipokuwa mdogo, miaka kadhaa iliyopita nilipoteza kamera ya rafiki yangu mmoja aliyekuja kututembelea nyumbani kwetu. Nilikuwa bado mwanafunzi nikiishi pamoja na wazazi. Rafiki huyu aliipata kamera hiyo kama zawadi kutoka kwa ndugu yake aliyekuwa akiishi ughaibuni. Tulipiga picha nyingi naye...
  2. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Serikali kupiga kura kuiunga mkono Palestina bado wamemuua mtanzania mwenzetu. Ni kujipendekeza au ni msukumo wa imani ndio ulioutuongoza?

    Jambo hili limeniuma sana. Tuliwahi kuwambia hapa kwamba hao mnaiwaunga mkono kwa sababu ya imani yenu sio watu wazuri hata kidogo. Sasa ona wamemuua mtanzania mwenzetu asiyekua na hatia. Yani mtu ameenda masomoni hata nchi sio yake ameuwawa kikatili. Mlipelekea mihemuko yenu ya imani kuiunga...
  3. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Karma can skip you and hit your kids. Viongozi wa serikali wenye imani hii inawahusu

    Ofisi ya Tais Tamisemi ina viongozi kama ngozi, kazi yao kulinda maslah ya wajuu yao. Ngozi kazi yake kubwa ni kukinga, hicho ndicho wanachokifanya watu wa Tamisemi. Ukiangalia idara za afya , elimu, ujenzi nk kazi yao ni kuweka limit nothing more than just keeping and helping leaders...
  4. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kama unaomba hivi, imani yako itashuka na utamchoka Mungu mapema

    Maombi ni moja ya njia ya kuondoa wasiwasi na kuongeza imani katikati ya changamoto na sintofahamu za maisha. Lakini kama hujui kuomba vizuri unaweza kujikuta yanakuongezea stress, wasiwasi, hata kushusha imani yako kwa Mungu. Na hii imepelekea watu kucheza miguu miwili. Mmoja kwa Mungu...
  5. Topman

    JamiiForums Tanzania Safari ya imani ni safari ndefu sana

    Habari 🖐 🖐 🖐 Binadamu kabla hajaingia kweny imani, inabidi kwanza ujiulize swali tatanishi, swali ambalo hadi sasa kila mtu ana mtazamo tofauti, swali lenyew ni hili: Je, Mungu yupo? Akiamua kutoamini katika uwepo wa mungu bac kheri yake, lakini akiamua kuamini katika mungu bado safari ni...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna harufu ya rushwa kutoka Fedha za Mikopo ya Wanafunzi wa Degree. TAKUKURU chunguzeni

    Miaka ya nyuma tokea nchi ipate uhuru huu mwaka bajeti ya kutoa mikopo Kwa WANAFUNZI WA degree ilikuwa kubwa sana, ilikuwa TZS bilioni 700+. Serikali ikakatangaza WANAFUNZI wanaonza degree (fresh students) watapata wanafunzi 75,000 lakini majina mpaka sasa yametoka 73,000 ambayo yamegharimu Sh...
  7. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Tusichanganye Maadili ya Mtanzania na Imani za kidini. Lipi kosa la walimu waliosimamishwa kazi Kwa kucheza muziki? Warudisheni kazini

    Amesema hayo akihoji kuhus Njia iliyotumika Kuwasimamisha walimu hao,Bila ya kufuata utaratibu wa kinidhamu wa kiutumishi,Hata hivyo ameongeza na kusema kuwa lisionewe kundi fulani tu kwani hata baadhi ya wabunge pia nao wanacheza miziki hiyo.. "Wapo mawaziri humu ndani na sisi wabunge huwa...
  8. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Putin yupo kwenye mashine 'imara lakini hali mbaya,' Madaktari hawana imani sana baada ya kupata mshtuko wa moyo

    Vladimir Putin anaaminika kuwa katika "hali mbaya lakini mbaya" na "aliingia kwenye mashine" baada ya kupata mshtuko wa moyo mwishoni mwa wiki, RadarOnline.com imeripoti. Katika hatua ya kushangaza ya kuja kufuatia miezi kadhaa ya uvumi na ripoti kuhusu kiongozi huyo wa Urusi mwenye umri wa...
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Wenye imani kwamba mitandao ya kijamii haiwezi kukupa mke, mume au mpenzi wa kweli bora wajitoe wabaki kwenye mfumo wa kizamani na sehemu za ibada

    Utandawazi na njia za masiliano zime rahisisha namna ya kukutana na kufahamiana na watu tofauti na njia za kizamani za hadi ukutane na mtu uso kwa uso, mfano kanisani, kongamano, bar, harusini, dukani, barabarani, msibani, etc.etc. kufahamiana kwa namna yoyote ile ni halali, kitu muhimu ni...
  10. sanalii

    JamiiForums Tanzania Ibrahim baba wa imani ila kizazi chake kimekuwa chanzo kikubwa cha vurugu duniani

    Nyie mnaonaje? Baba wa imani huyu kizazi chake kimekuwa ni moto mkali sana duniani. Mpaka leo unaona kabisa dunia nzima kwa anaefahamu huu mgogoro ni either atakuwa timu mke mkubwa au mke mdogo. Sasa je, Ibrahim kaleta baraka au kaleta balaa duniani?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ukiona mpaka navaa Condom tafsiri yake sina imani na afya yako

    Huwa nachukizwa sana na wanawake ambao katikati ya mechi anakuomba uvue Condom Weekend iliyopita nilikua na manzi flani Lodge sasa mzee mzima wakati nipo round ya tatu manzi akaniomba nivue Condom na alivoona sitaki kuvua akaniuliza "huniamini" ??? Mpaka navaa Condom tafsiri yake ni kwamba...
  12. Plaintiff

    JamiiForums Tanzania Siasa inaweza kuwa na Neutral Ground lakini Imani haina Neutral Ground, Ni either uko upande wa Mungu au uko upande wa Shetani.

    Tena kwenye upande wa shetani wala hautahitaji Kumuomba kwamba unataka kujiunga na yeye, Yeye the moment unapo muacha Mungu yeye anajileta, Kuamini Pekee kuwa Mungu yupo haitoshi, Fanya yafuatayo, 1. Zishike Amri za Mungu na uzifuate kama zilivyoandikwa katika Biblia bila kuacha hata moja na...
  13. Mangovi

    JamiiForums Tanzania Jewish na Ubaguzi dhidi ya Imani Nyingine

    Hii ni Israel angalia hawa watu walivo wabaguzi dhidi ya Imani nyingine mpaka wanafikia hali ya kuwatemea mate. Video show Jewish worshippers spitting towards Christians and Churches in occupied East Jerusalem.
  14. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mkristo mlokole, nimeanza kukosa Imani na ukristo nahisi Uislam ndiyo dini ya kweli

    Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu. Hapakuwa na makorombwezo Wala...
  15. Mjomba Fujo

    JamiiForums Tanzania Maswali magumu kwenye imani na sayansi

    Nimekua na maswali yasiyo na majibu. Kwenye Sayansi tunaambiwa binadamu wametokana na evolution process kwamba ni zao na masokwe sijui nyani. Kwenye imani za kidini tunaambiwa Mungu aliumba adam na Hawa ndio mwanzo. swali langu 1. Kwenye sayansi Je hao nyani au sokwe waliofanya evolution na...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Baraza la Madaktari lawajibu Madaktari Watarajali waliodai hawana imani na MCT

    Kupitia mitandao ya kijamii kumeibuka mjadala unaosema kuwa 'Baraza la Madaktari Tanganyika lamgomea Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuhusu Madaktari Watarajali kuendelea na mitihani yao huku ikiwa Waziri Ummy ameunda Kamati ya kuchunguza malalamiko ya Watarajali hao'. Mnamo Agosti 13, 2023...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kagame: Nitagombea Urais tena mwaka 2024, Wananchi bado wana imani kwangu

    Akizungumza na Jarida la Jeune Afrique, Rais wa Rwanda, Paul Kagame amethibitisha kuwa atawania nafasi hiyo kwa mara ya 4 kwasababu Wananchi bado wana imani naye. Kagame aliulizwa anachukuliaje uamuzi wake kwa kulinganisha na Mapinduzi yanayoendelea katika Nchi za Afrika Magharibi, ambapo...
  18. tamsana

    JamiiForums Tanzania Misingi ya Imani ya Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG)

    Ni ukweli usiopingika kuwa kila imani (kanisa/dhehebu) lina misingi ya kuanzishwa kwake ambayo ndiyo inaisimamia. Misingi ya Imani ya Tanzania Assemblies of God inasimamia misingi kumi na sita (16) ambayo kila muumini anatakiwa kuiishi. Misingi hiyo ipo kwa mujibu wa Biblia Takatifu ambayo ni...
  19. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Nakosa Imani na nguvu ya kuomba Ajira za TAMISEMI

    Kila ninaposikia kuhusu suala la kutangazwa kwa ajira za TAMISEMI hususani katika kada yangu ya ualimu napata furaha, lakini mchakato unapoanza hadi kukamilika na matokeo yanapotolewa najikuta mtu mwenye huzuni kubwa sana kwa kukosa hiyo nafasi nimeomba ajira zaidi ya mara 4 tena kwa shauku...
  20. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Maoni Binafsi: Sina imani na Saa100 kwenye zoezi la kuhamisha wamasai Ngorongoro nikisoma ilani ya CCM 2020-2025.

    Turukie kwenye mada. Nimeisoma ilani ya CCM. 2020-2025 hakuna mahali nilipoona CCM imelekeleza kuhamisha wamasai kutoka mkoa wa Arusha ( Ngorongoro) kuwapeleka mkoa wa Tanga. 2. Hakuna mahali CCM imeelekeza akae kimya asiongee na wananchi kutolea maelekezo au ufafanuzi wa jambo ambalo limeleta...
Back
Top Bottom