imani

Imani Hakim (born August 12, 1993) is an American actress. She is best known for her role as Tonya Rock on the UPN/CW sitcom Everybody Hates Chris as well as portraying Olympic gold medalist Gabrielle Douglas in the 2014 Lifetime original movie The Gabby Douglas Story.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu, Prof. Mkenda: Wazazi muwe makini na mafunzo yanayotolewa kwa Watoto kuhusu masuala ya imani

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda ameelekeza mafunzo ya Dini Shuleni yatolewe kwa kufuata miongozo na mitaala iliyopitishwa na pia kuridhiwa na Viongozi wa Dini. Prof. Mkenda awaasa Wazazi kuwa makini na mafunzo yanayotolewa kwa watoto kuhusu masuala ya imani. Amesema...
  2. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Wananchi wana imani na Rais Samia, hii inaonekana kwa jinsi wanavyohudhuria kwa wingi mikutano yake

    Wanaosema wananchi wana mashaka na Rais hawasemi kweli. Rais Samia alikwenda Mwanza juzi,watu wengi wamehudhuria mikutano yake. Na CCM wanatazama yote hii. Wanaona jinsi watu walivyokuwa na imani na Samia. Ile mikutano wanakuwepo watu wa CCM wengi,lakini wapo wengi ambao wanaongozana nao ambao...
  3. P

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mabadiliko katika imani kwa vijana

    STORY OF CHANGE Katika maada yangu ya mabadiliko mimi napenda kuzungumzia suala zima la iman,kuwa na imani na viongozi tuliowachagua/ wanao tuongoza ni jambo lingine lakini suala zima la iman nalielekezea katika dini, Mungu ndie kiongozi wetu mkuu na ni mfalme wa aman tukimuamini yeye yote...
  4. TPP

    JamiiForums Tanzania Tujifunze: Kipindi ambacho dini na imani zilianza kupoteza nguvu na kuanguka Ulaya

    Je, wafahamu ni kipindi gani hali ya kupoteza nguvu na kuanguka kwa dini Ulaya kilianza miaka ipi na karne gani? Simple fact: Tujifunze, wenda hali hii ya sasa ya mataifa mengi ya ulaya kuteteleka katika mambo ya imani na dini yakushanganza na kujenga maswali mengi katika ufahamu wako kuhusu...
  5. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Ukatili kwa watoto: kwanini madrasa huwa ni kawaida kuambatana na vipigo kwa watoto, walimu hawana mbinu mbadala kuwafunza?

    Post hii sio ya ligi ya ukristo vs uislam, Tupeane elimu na ushauri namna ya kujenga awareness kwamba kinachofanyika ni ukatili na tushauriane mbinu nzuri mbadala. Hii ni video ikionyesha mfano wa hali iliyozoeleka katika baadhi ya madrasa na wala si jambo geni, adhabu wanayopata watoto ni...
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Imani za Kiswahili/Kijadi kuhusiana na ndege Kasuku

    Tunafaham mila na desturi zetu wakati flani ziliwapa majina mabaya aina flani ya wanyama, wadudu, ndege, samaki hata mimea. Bundi anaonekana ni ndege asiyefaa kabisa mwenye mikosi na kila aina ya ubaya ambayo ameambatanishwa navyo. Mimi nlinunua bundi mwaka 2005 nifuge home. Ndugu na jamaa...
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nilivyogeuza imani hii ya kishirikina kuwa fursa ya biashara na kutengeneza mamilioni

    Mtu mmoja mwenye hekima na busara aliwahi kusema there is a positive thing in every negative thing. Mwaka 2011 nilienda kijijini kwao na mama yangu mzazi (Homboza karibu na Chanika) Nilipanga kukaa kwa mwezi mzima. Nikiwa huko mishe zangu nyingi nilikuwa nazifanyia Chanika center. Nikiwa...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Msambatavangu Aitaka Serikali Kuweka Imani kwa Wawekezaji wa Ndani

    . MSABATAVANGU AITAKA SERIKALI KUWEKA IMANI KWA WAWEKEZAJI WA NDANI "Mmeanza kutubagua watanzania kwa kuwapa watu wenye uwezo wa fedha tusio na uwezo tusiwekeze kwakuwa miradi yetu ni midogomidogo, hao mabilionea ndiyo wawekeze 'This is not right' ni lazima watanzania wapewe fursa sawa ya...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nguvu za kioo na miujiza yake: Wale wenye imani zenu njooni hapa

    Vioo tunavyotumia kujitazamia au vilivyoko ktk nyumba zetu inasemekana kuwa na uwezo mkubwa wa kiroho. Soma hapa na utoe maoni yako. Kioo ni kitu ambacho kinatakiwa kutunzwa na kutazamwa kwa umakini zaidi kwakuwa ni kitu Flagile yaani kinavunjika kwa urahisi. Tujue kwanza kioo hutengenezwa na...
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Serikali: Walimu sasa kufanya mtihani wa kupima uwezo kabla ya kuajiriwa

    Ule mtazamo kuwa taaluma ya ualimu ni chaguo la mwisho baada ya kukosa fursa nyingine unakaribia ukingoni, baada ya Serikali kutangaza utaratibu mpya katika ajira za taaluma hiyo. Utaratibu huo, kwa mujibu wa Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda utahusisha, ili uajiriwe...
  11. TPP

    JamiiForums Tanzania Swali jepesi: Kwanini Afrika wanawake wasio na imani ya Mungu+ dini ni ngumu kuwapata ?

    Leo tuizungumzie Afrika na Waafrika hasa jinsia ya kike kwa swali moja litakalo jenga uelewa baina yetu sote. Kwanini ni jambo gumu kupatana na mwanamke Afrika asie muamini wa mambo ya Mungu, Kimungu na Dini ?
  12. covid 19

    JamiiForums Tanzania Tuchuguzeni kwa makini hizi kelele zinazopigwa kuhusu Ubinafsishaji Bandari, mbona kama kuna Vigogo wawili wanapigania Maslahi yao binafsi?

    Hivi, 1. Kama bandari inabinafsishwa gati na 5 hadi 8 na kuachwa gati namba 9 hadi 11 kwanini kelele ziwe nyingi kiasi kwamba ni bandari yote inauzwa? 2. Kama huyo anayekuja anakuja kuboresha miundominu na utoaji huduma sasa mbona wafanyabiashara ndio wanapiga kelele hawataki kabisa kwani si...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Wananchi wana Imani na sanduku la Kura. Maneno ya Lissu ni 'blaablaa' na hofu ya kushindwa anatafuta 'exit plan' tu

    Namsikia sikia aliyekuwa mgombea Urais 2020 kupitia CHADEMA Tundu Lissu akijisulubu nafsi yake kwa dhana ya kufikirika tu kwamba hakuna hata kiongozi hata mmoja aliyeshinda. Anayesema haya atambue kwamba: Siku ya kupiga kura 2020 niliona misululu mirefu sana ya watu wakisubiri zamu zao kupiga...
  14. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Imani yako kwa taasisi za utoaji wa Haki na Utatuzi wa Migogoro Tanzania ni kiasi gani?

    Imani ya Watanzania kwa taasisi za utoaji haki na utatuzi wa migogoro inaweza kutofautiana kulingana na uzoefu binafsi na mtazamo wa kijamii. Hata hivyo, kwa ujumla, kuna masuala kadhaa yanayojitokeza ambayo yanaweza kuathiri imani ya Watanzania katika taasisi hizo. Watanzania wanategemea...
  15. Dr Restart

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu juu ya mafundisho ya Rui na imani ya Kibahai

    Wasalaam Wakuu. Naomba kufahamu mwenye uelewa juu ya mafundisho ya Rui na imani ya Kibahai. Nimepitia mtandaoni, nimeambulia kitu. Ila bado sijashiba na kuielewa barabara juu ya imani hii mpya kuisikia. Natanguliza Shukrani. Cc Mshana Jr
  16. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Wananchi mna imani kubwa na Chadema. Itaendelea kuwatetea japokuwa sasa asali ni kigingi

  17. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kataa ndoa na kataa kuoa ni imani na msingi wa ustawi na maisha marefu kijamii. Haki ya uamuzi binafsi izingatiwe.

    Niende kwenye mada, utimamu wetu kwenye akili na maamuzi binafsi uheshimiwe na uzingatiwe na ulindwe. Kuoa au kuolewa ni hiari na uamuzi binafsi na vinalindwa kikatiba, hivyo basi viongozi waache mikurupuko tafadhari, zingatia mipaka ya mihimili ya dola. Serikali ijiepushe na matamko kinzani...
  18. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu mwenye imani ya Rasta anaweza kupata ajira serikalini?

    Wadau naomba kujuzwa hili maana nina mjukuu wangu anasoma, ndoto yake aje kuwa Dokta na sisi ni rastafari. Je, anaweza pata ajira?
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Buriani Benard Membe, Umepigana Vita Vilivyo Vitakatifu, Mwendo Umeumaliza, Imani Umeitunza, Madeni Yako Yaliyobakia Karma Itakulipia!

    Wanabodi, leo katika viwanja vya Karimjee, Watanzania tunamuaga aliyekuwa Waziri wetu kwa kipindi chote cha miaka 10 ya utawala wa Jakaya Mrisho Kikwete, Mwana Diplomasia nguli, Bernard Cammilus Membe, aliyefariki dunia ghafla, juzi Ijumaa asubuhi. Nilivyomfahamu Membe. Fani yetu ya uandishi wa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wabunge waanza mkakati wa kupiga kura kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Majaliwa

    KUNA Tetesi zinaenea bungeni kuhusu wabunge kutaka kumwajibisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa baada ya kukithiri kwa vitendo viovu ndani ya Serikali na kama msimamizi mkuu wa SERIKALI hajachukua hatua zozote. Miongoni mwa wabunge wanadai suala la Mbarali lazima litang'oka na Waziri Mkuu...
Back
Top Bottom