Pamoja na Serikali kupiga kura kuiunga mkono Palestina bado wamemuua mtanzania mwenzetu. Ni kujipendekeza au ni msukumo wa imani ndio ulioutuongoza?

Msitari wa pambizo

JF-Expert Member
Sep 25, 2014
2,880
4,883
Jambo hili limeniuma sana. Tuliwahi kuwambia hapa kwamba hao mnaiwaunga mkono kwa sababu ya imani yenu sio watu wazuri hata kidogo. Sasa ona wamemuua mtanzania mwenzetu asiyekua na hatia. Yani mtu ameenda masomoni hata nchi sio yake ameuwawa kikatili.

Mlipelekea mihemuko yenu ya imani kuiunga mkono Palestina labda mlidhani watawaonea huruma mmesahau kama watu hao ni katili.

Mtu anayewatetea Hamas hana tofauti na muuaji. Unapopewa nafasi ya kuongoza watu wenye imani tofauti usiongoze kwa kuiangalia imani yako.

Mtanzania mwenzetu ameuwawa basi furahini na mgonge champagne ndo mlochokuwa mnakitaka.

Nimemumia sana aisee
 
Wee,si wale vijana walienda soma kilimo? Wametoa taarifa au wamekuta miili?
 
Mkuu kwanza pole kwa msiba pili hakuna mtu anaeiunga mkono palestine kwa msukumo wa kidini ila ni COMMON SENSE tuu. Unachotaka kukimaanisha hapo ni ujinga na upotoshaji. Nikuulize, mwalimu Nyerere alikua anaiunga mkono Palestine na akavunja diplomatic ties na Israel sasa hapo alisukumwa na udini au common sense? Uwe na akili saa zingine.
 
Wacheni Propaganda.
Atleast muwe objective basi
Mtu anayewatetea Hamas hana tofauti na muuaji.
Nani huyo anayewatetea Hamas kutoka Serikalini?
Unapopewa nafasi ya kuongoza watu wenye imani tofauti usiongoze kwa kuiangalia imani yako.
Hapo juu unafanya mashambulizi kwa nani haswa. Umejitutumua na kushupaza shingo halafu umeshindwa kutamka uliyotaka kutamka. Unazunguka mbuyu!

Unajua kuna watu wa imani ngapi hapa Tanzania?
 
Mkuu kwanza pole kwa msiba pili hakuna mtu anaeiunga mkono palestine kwa msukumo wa kidini ila ni COMMON SENSE tuu. Unachotaka kukimaanisha hapo ni ujinga na upotoshaji. Nikuulize, mwalimu Nyerere alikua anaiunga mkono Palestine na akavunja diplomatic ties na Israel sasa hapo alisukumwa na udini au common sense? Uwe na akili saa zingine.
Nyerere alilazimishwa kuunga mkono Palestina kwa msukumo.w kidini wa Nchi kiarabu

Nchi za kiislamu za kiarabu ziliweka vikwazo vya kutoiuzia nchi yeyote mafuta yenye uhusiano na Israel

Ili tusikose Mafuta Nyerere akaiunga.mkono Palestina

Haukuwa uhusiano wa Hiari
 
Wacheni Propaganda.
Atleast muwe objective basi

Nani huyo anayewatetea Hamas kutoka Serikalini?

Hapo juu unafanya mashambulizi kwa nani haswa. Umejitutumua na kushupaza shingo halafu umeshindwa kutamka uliyotaka kutamka. Unazunguka mbuyu!

Unajua kuna watu wa imani ngapi hapa Tanzania?
Magaidi ya Kiislamu ndipo yanayosumbua Dunia...na Waislamu wanajitia upofu ktk hili...

Udini wa kuuwa watu wasio na hatia sio wa kuungwa mkono...

Hamasi ni Magaidi ya Kiislamu ndani ya Palestine

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Jambo hili limeniuma sana. Tuliwahi kuwambia hapa kwamba hao mnaiwaunga mkono kwa sababu ya imani yenu sio watu wazuri hata kidogo. Sasa ona wamemuua mtanzania mwenzetu asiyekua na hatia. Yani mtu ameenda masomoni hata nchi sio yake ameuwawa kikatili.

Mlipelekea mihemuko yenu ya imani kuiunga mkono Palestina labda mlidhani watawaonea huruma mmesahau kama watu hao ni katili.

Mtu anayewatetea Hamas hana tofauti na muuaji. Unapopewa nafasi ya kuongoza watu wenye imani tofauti usiongoze kwa kuiangalia imani yako.

Mtanzania mwenzetu ameuwawa basi furahini na mgonge champagne ndo mlochokuwa mnakitaka.

Nimemumia sana aisee
Nachelea kusema R.I.P gentleman..

Pole sana ndugu jamaa, marafiki na waTz wote kwa Ujumla.
Katika vita ile wameumia watu wengi sana,wamepotea watu wengi mno na kwakweli wamakufa maelfu ya watu wasio na hatia.

Yote hayo tumkabidhi Mungu tu, japo binadamu hatuwezi kuishiwa maneno ya kusema na kunyoosheana vidole, kumlaumu huyu ama yule.

Ifahamike vita ni vita tu.
Haina macho.
Haiachagui na wala haichagui na hasa ukiwa eneo la mapambano.

Raia Yangu kwetu sote.
Tumuombe Mungu atujalie Amani.
Tuiombee Amani Tanzania na, Tuombe Amani duniani kote na hiyo ndio Salama na pona Yetu.
 
Back
Top Bottom