Annie X6
JF-Expert Member
- Mar 16, 2023
- 405
- 751
Ofisi ya Tais Tamisemi ina viongozi kama ngozi, kazi yao kulinda maslah ya wajuu yao. Ngozi kazi yake kubwa ni kukinga, hicho ndicho wanachokifanya watu wa Tamisemi.
Ukiangalia idara za afya , elimu, ujenzi nk kazi yao ni kuweka limit nothing more than just keeping and helping leaders interests.
Nitafafanua.
Wakati afsa alimu ana posh ya madaraka, afsa elimu kata ana posh, mwalimu mkuu au mkuu wanshule wana posh.
Mwalimu hana hata Mia kwa mwezi. Kazi zote anafanya yeye. What the hel is this.
Nanda afya.
DMO ana posho, Engineer wa halmashauri/Manispaa anaposho. Watendani chini yao wanaposho, meisho wa siku anayesimamia ujenzi ni mwalimu, afsa afya nk.
Haya mambo ni ya kijinga sana.
Kwa mara ya kwanza waziri mmoja alionesha hasira kwa RC DC kwamba kuna mambo wanawajibika, hii ni ishara ya ufahamu kwao. Wanajua kuna watu wanainjoi madaraka, wanaoumia wengine. Katika haya mambo anahitajika Rais na watendaji jiwe kwelikweli, wanaojua maslah na wajibu wa mtu.
Ukielewa hiki ninachokisema utajua kwa nini ulaya hawana mifumo hii ya kipuuzi. Mifumo inayotetea daraja tawala. Mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya wangefanyakqzi zao baadhi ya haya mambo yasingetokea.
Jiulize walivuoweka posho kwa upande wao walimfikiria mtumishi wa chini? Yeye sio mtu? Sio mtenda kazi? au wao wasimamizi hawana mishahara? Huu ni ubinafsi uliotokana kiongoz mmoja aliyekosea basi tunaishi katika makosa