hovyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wengi wakiwa mabinti (19-24 years), wanachagua ku-date na wanaume wa hovyo?

    Habarini, Juzi kati nlitafakari kwanini utakuta binti mzuri tu mashallah, she is young, pretty, hana mtoto, unamfata unamtongoza anakukataa, unakubali maamuzi yake kiroho safi unaendelea na mishe zako. Hee baadae unakuja sikia mtoto wake wa kwanza kazaa na mume wa mtu mwenye familia yake, au...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Miradi yote mikubwa iliyoanzishwa kwa pupa na Hayati Magufuli sioni hata mmoja utakaokuwa na ufanisi

    1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema. 2. Madege:- Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya...
  3. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Wale wa kulakula hovyo hivyo vyakula vya mtaani! Mnalishwa vilivyounguzwa na kemikali

    Huyu jamaa anaunguza karanga kwa kutumia kemikali ya "sulphuric acid" na kutembeza mtaani! Karanga! Karanga! Waswahili hatutaki shida ya mambo ya kuthibitishwa ubora tunaona tunanyanyasika!
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Masoud wa E-TV ni Mtangazaji wa hovyo kabisa wa Mpira

    Kama Yanga tunakerwa na utangazaji wa Baraka Mpenja wa Azam TV basi kuna korona la nazi linaitwa Ibrahim Masoud, no football knowledge or commentary professionalism at all from the man. Yan tangu dakika ya kwanza ya mchezo hadi sasa dk.80 anarudia tu kauli yake kuwa haamini kama Yanga atapata...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nchi ya ovyo, viongozi wateule hata wakiulizwa salamu tu lazima wamshukuru na kumsifia Samia

    Hivi hawa mawaziri wana vyeti vya form four? Sijaulizia Degrees, Master's au PhD. Mtu yeyote angalau mwenye cheti cha kidato cha nne lazima ajitambue, hawezi kuishi kwa kutegemea bahati. Kila jambo likija mikononi mwake anaamini kuwa ni haki yake na anastahili. Hawa mawaziri ambao kila...
  6. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Barabara za Chato zinaharibiwa na mkandarasi uchwara. Amejenga njia za maji za ovyo. Kalemani yupo tu hana lolote

    Hapa gari ndogo haiwezi kupita maana itaharibika kabisa. Mkandarasi kama huyu inakuwaje anapewaa kazi na kuharibu barabara. Any way mzee baba alishaondoka acha mjipigie tu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto ni burudani katika maisha, burudika nazo badala ya kulialia ovyo

    Mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema ukitaka ufurahie adhabu basi ukipewa usiione kwa sura ya adhabu bali ona kama ni sehemu kama wajibu wako, kwa mfano ukipewa adhabu ya kumwagilia maua wewe ona ni wajibu wako kufanya hiyo ili maua yakue na kustawi. Changamoto ni burudani kama zilivyo burudani ni...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Shehena ya Zawadi kutoka kwa Wamarekani ikiwafanya Wanaume watakaoitumia wasipende 'Kubong'oa' hovyo nami nitakuwa naitumia Kunakotukuka

    Na nasikia majaribio yake yanaanza kwa Wakazi wa Dar es Salaam na ninachoshukuru hasa GENTAMYCINE kuwa tayari nimeshahama Dar es Salaam tokea tarehe 18 Februari, 2024 na sasa nakula zangu tu Kipupwe cha Mapinga nikiwa na Makomandoo wa Kiharaka hivyo hiyo Shehena ya wasiwasi kwa Team Kuzalisha...
  9. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania NMB ni bank inayopata faida sana kwa sasa, ila huduma zake kwa wateja ni za hovyo sana!

    Unaingia bank ina madirisha matano kwa mfano, ila linalotoa huduma ni moja na wateja ni wengi, basi mnasimamaaa mpaka miguu inauma Unatumia masaa sita kuhudumiwa, hii hapana, tunafanya uchumi wa wengine kuharibika kupitia huduma hizi mbovu NMB rekebisheni hii kitu bhana, mnaumiza watu
  10. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi kinara wa ujenzi ovyo na holela, aliharibu Dar na Miji yetu

    Magheto na uharibifu wa mji wa Dar ulianzishwa na Rais wa awamu ya pili Ali Mwinyi. Rais Mwinyi ndiye aliyeruhusu fukwe zetu kuvamiwa kwa kuruhusu hoteli kujengwa beach kinyume na sheria zetu za 50 meters ktk ufukweni, Rais Mwinyi aliruhusu white sands hotel kujengwa kinyume na sheria...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Watu walivyo 'Washamba' kama wangeshinda Wao 6 kwa 0 wangeshangilia mpaka hata 'Kuukweka' hovyo Mitaani

    Lakini wenye Kuujua wala hawajapiga Kelele na wapo kawaida sana utadhani siyo Wao waliotoa Kichapo cha Kishalubela / Kitakatifu cha Goli 6 kwa 0 Jana kwa Mkapa dhidi ya Wabotswana waliosaidiwa Kuroga na Kuvalishwa Majini na Majini Chura Mafuriko Daima FC kule Baharini Kwao wanakoyafuga mno.
  12. comte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hoja ya Kikwete ni ya ovyo; ana majukumu ya kimataifa

    Ukimtegemea Kikwete akae Msoga wewe utakuwa humjui Kikwete After retiring from distinguished public service career, both in the Tanzanian government and subsequently in international and regional organizations,, President Kikwete has dedicated himself to advancing progressive policies for...
  13. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo maandamano ya ovyo kuwahi kutokea katika nchi yetu. Hata wanaoandamana hawajui kwanini wanaandamana!

    Ukitaka soma, ukitaka acha lakini ukweli ni kwamba haya maandamano ya Freeman na washirika wake ni ya hovyo na sijawahi kushuhudia. Wanaojua kwa nini wanaandamana ni freemani na washirika wake, lakini waandamanaji hawajui kitu chochote! Hawajui kwa nini wanatembezwa kwenye jua Kali mchana...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane mambo ya ovyo yanayorudi kwa kasi

    Miongoni mwa mambo ya hovyo ni; 1. Abiria kusimama kwenye basi kuwa kitu cha kawaida 2. Malori kupaki barabarani na kuziba njia 3. Kuuza na bidhaa na kutokutoa risiti 4. Watumishi wa Serikali kutojali wananchi
  15. N

    JamiiForums Tanzania List ya nyimbo zilizopewa majina mazuri lakini zikaimbwa hovyo hadi kushangaza!

    1. Zanzibar ya Harmonize. Niliposikia tangazo lake la kutoa wimbo wake wenye jina hilo nikajua tunaenda kusikia bonge la wimbo utakaotetemesha si tz tu bali afrika mashariki yote. Matokeo yake hiko kitu kilichotoka ni bora angeupa jina jingine tu. Yaani kibao ni hovyo hata kile cha yule...
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa nadhani atakuwa na akili au smart kumbe ni wa ovyo tu

    Jamaa tumewasiliana humu aliomba niweze msadia mambo kadhaa, nikasema haina shida lets meet. Ni almost two months anasisitiza jambo hilo nami nikaona si shida sababu binadamu ni kusaidiana. Jana tumeonana sehemu tukawa tunapata kinywaji na chakula akawa ananionesha kitu fulani kwenye simu yake...
  17. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Leo nitaeleza kwa nini uvivu ndio chanzo cha ongezeko tabia za hovyo kwa vijana wa kiume

    Kijana ukiwa mvivu utaanza kuwa na wivu. Yaan ukikuta watu wanaongelea au wanaonesha mafanikio yao wewe utaona kero, na wivu ukizidi sasa huko kwenye ubongo inafanyika reaction moja unaanza kuwa na nyege nyege tu kila muda. Hizo nyege ndo zinakufanya uendelee kujichua kila kukicha. Ukizidisha...
  18. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Maduka ya rejareja ya Wahindi Posta ni hovyo sana

    Jana nimekutana na tukio la kushangaza sana kwenye duka la rejareja la Mhindi maeneo ya Posta mpya mtaa wa Zanaki. Ni hivi nilikuwa nilitokea kwenye jengo la Haidery Plaza baada ya kushuka chini nikawa naelekea maeneo ya Chuo cha Biashara (CBE). Nikawa napita ule mtaa wa Zanaki maeneo yale...
  19. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Katiba ya ovyo imetuletea Rais wa ovyo asiye na uchungu kwa raia wake wala rasilimali za nchi

    Leo Mh. Tundu Lissu akiwa Ivory Coast moja kati ya aliyoyasema kwenye hotuba yake ni ubovu wa katiba yetu tuliyo nayo sasa. Amesema katiba inetuletea viongozi wa hovyo wasio na uchungu kwa wananchi wao wala raslimali za nchi kwa vile hawakuingia madarakani kihalali. Akitoa mfano wa huyu wa...
  20. Candela

    JamiiForums Tanzania Customer support ya Azam TV ni ovyo sana

    Aisee nimepata changamoto kisimbuzi changu hakioneshi licha ya kuwa katika same settinf kwa zaidi ya mwaka ghafla tu kikaanza kukata ikifika usiku na kurudi hewani pakikucha. Ikaenda zaidi ikasema invalid cam module detected. Nikasema niwasiliane na Azam TV customer care. Zile simu zao nimepiga...
Back
Top Bottom