hovyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Sheikh wa Mkoa wa Dar ashangazwa na jinsi watu wanavyojipa Uaskofu hovyo hovyo mitaani

    "Nilikuwa nadhani kupata uaskofu wa kanisa katoliki ni rahisi tu unakwenda Kariakoo ukanunua tu na kuvaa, kumbe uwe askofu unapatikana kwa kazi kwelikweli siyo kitu rahisi. Tunashida kubwa na msiba mkubwa, mitaani mtu anajipa tu uaskofu"-Alhad Mussa Salum
  2. M

    JamiiForums Tanzania January Makamba, shughulikia suala la umeme kukatikakatika ovyo, hili ni tatizo

    Sasa hivi TANESCO wanakata umeme, hawatoi taarifa, biashara na shughuli zetu zinasimama. Huu ujinga utaisha lini nchi hii? Mmeturushia zigo la sisi watumiaji umeme kulipa kodi ya majengo, halafu mnatuambia sisi tumalizane na wenye nyumba HALAFU bado hata umeme huo mnaukatakata. Hivi nyie...
  3. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Geita inaongoza kuwa na madini lakini ina stendi mbovu

    Geita ndio mkoa unao ongoza kuwa na madini Tanzania. Lakini pia ndio mkoa wenye Stendi mbaya sijawahi kuona. Hiyo chini hapo ndio stendi ya mkoa wa Geita. Wabunge wao kazi ni kugonga meza tu bungeni. Madini yakwao lakini hayawanufaishi.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Sheria ngowi aishukia Yanga utumiaji hovyo wa jezi

    Haki ya Mungu CEO Senzo hata kusimamia tu utumiaji wa jezi hawezi halafu wachambuzi takataka wanakuambia jamaa ni kichwa kishenzi yaani wanasema alikuwa kamati ya maandalizi ya world cup jamaa ni genius hatari Kwa mujibu wa mbunifu wa jezi za Young Africans Sports Club Sheria Ngowi alisema...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kupeleka azimio la kumwondoa Spika Ndugai; analidhalilisha Bunge kwa maamuzi ya ovyo

    Bunge limekuwa dhaifu. Aliwahi kuyasema haya Prof. Assad. Bunge limekuwa kibogoyo. Aliwahi kuyasema haya mwandishi na mchambuzi mkongwe wa masuala ya kisiasa Pascal Mayalla. Maneno ya nguli hawa yanajidhihirisha sasa. Nitatoa mifano michache tu. Moja. Yeye mwenyewe amewahi kukiri kwa kinywa...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Kabisa watoto wa ovyo wapo. Sirro Hajakosea

    Kumekucha! Binadamu wanapenda kupewa maneno laini, hawapendi ukweli, wanapenda sifa hata wasizozistahili. Yapo Matoto ya hovyo, Wapo wazazi wa hovyo bila kujali ni wanani, Hayo Matoto yakikua ndio yanaleta kizazi cha hovyo hovyo, Unakuta kiongozi hovyo, Mchungaji hovyo, Sheikhe Hovyo...
  7. msovero

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Wazazi msizae zae ovyo watoto kama 'Hamza'

    Ni kweli kitendo kilichofanywa na kijana Hamza( R.I.P) sio cha kiungwana na hakifai kuigwa katika jamii Lakini vile vile, afande Sirro amepotoka kwa kauli yake kwamba wazazi wasizae watoto kama 'Hamza' kwa sababu kuzaa ni mipango ya Mungu ambayo binadamu hawezi kujipangia au kuamua azae mtoto...
  8. K

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Ukiwa na mtoto mhalifu halafu usitoe ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi na usalama wewe ni tatizo kwa Watanzania

    "Huwa nawaambia siku zote, usicheze na mtu wa hovyo hovyo, usimwamini kila mtu. Walipomuona huyu mtu wa hovyo hovyo Hamza anawasogelea, walijua ni Mtanzania wa kawaida, kumbe alikuwa na pistol na akafanya alichofanya."- IGP Simon Sirro katika ibada ya kuaga miili ya askari wanne ========= IGP...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Tukiendeleza kutumia nguvu kuwanyamazisha watu wanaohoji juu ya mambo ya kitaifa, tunatengeneza Taifa la hovyo na nchi kutekwa na adui

    Kipindi cha ukoloni, mkoloni hakupenda kabisa kuona watu wenye akili wakihoji. Kama Afrika isingekuwa na watu wenye kuhoji mpaka leo tusingekuwa tumejipatia uhuru.sehemu nyengine hawakupata uhuru kwa mtutu wa bunduki bali kwa hoja tu. TAIFA lenye watu wa kuhoji mana yake liko hai na linaonyesha...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuchapa watoto hovyo ni tabia za watu maskini wenye msongo wa mawazo

    Habari!. Watoto wa matajiri hufanikiwa zaidi kwakuwa ni watoto wanaokua kwa furaha. Wazazi wao ni marafiki zao. Mtoto hahitaji majumba ya ghorofa, hahitaji magari ili afurahi. Anahitaji kupendwa na kupewa vizawadi vidogovidogo kabisa. Uswahili watoto wanadundwa sana , wanakaripiwa sana na...
  11. Livingson1

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Serikali ianzishe sheria na elimu kuzuia kutupa taka hovyo

    Utupaji wa taka hovyo ni changamoto za utunzaji wa mazingira, Serikali na wadau mbali mbali wanaweza kutoa elimu juu ya utunzaji wa mazingira. Kuanzisha sheria itakayopinga utupaji wa taka hovyo, Kutengeneza dustbin kubwa na kuziweka kwenye maeneo yenye mikusanyiko ya watu kisha zikijaa...
  12. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kwenye Katiba mpya kiwekwe kipengele cha kupima IQ ya Mgombea Urais na Makamu wake

    Zipo namna nyingi mojawapo ni pamoja na kuuliza maswali ya kawaida ya uelewa. Uwezo wakujieleza kwa kuongea na kuandika pia. Umakini katika maandiko na kugundua makosa, ufahamu katika taarifa muhimu za kitaifa, kimataifa, uchumi, afya, siasa na utamaduni. Uelewa wa katiba ya nchi na kufanya...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watangazaji na Wachambuzi wa Habari za Michezo wa 'hovyo hovyo' huenda wakawa wanapatikana Tanzania tu pekee

    Yaani tukio la Bernard Morrison Kuvua Bukta yake, kubakia na Chupi ya Njano huku Bukta akiiweka Kichwani mwake linajadiliwa kwa dakika 120 ila tukio la Tonombe Mukoko la Kumpiga Kiwiko kibaya John Boko ambacho kingeweza Kumjeruhi vibaya kwa Kumvunja Pua au Kumng'oa Meno yake au hata...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu wa bure tu kwa Wanaharakati na Wapenda Siasa na Demokrasia za 'hovyo hovyo' Barani Afrika

    Ukiamka Asubuhi mshukuru Mwenyezi Mungu wahi ama Kazini Kwako au Ofisini Kwako kapige Kazi ili ujipatie Pesa za Kuiendeleza Familia yako. Siasa za Barani ( sina uhakika na za Tanzania kwakuwa siishi huko ) nyingi zimejaa tu Chuki, Unafiki, Fitina na ukicheza vibaya tegemea Kutekwa au...
  15. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ipo haja ya bunge letu lijalo kutupia macho kipengele ndani ya katiba kinachoruhusu mikutano ya vyama kufanyika hovyo hovyo.

    Wakuu asalama alykum......Nadhani ipo haja kwa sasa bunge letu tukufu kuangalia ni jinsi gani litaweza kuondoa baadhi ya vifungu ndani ya katiba vinavyoruhusu watu kufanya shughuli za kisiasa kila wakati ili kuongeza utendaji kazi wa watanzania badala ya shughuli za kisiasa kufanyika kila wakati...
  16. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Hakuna chanjo ya lazima. Haki za Binadamu zinataka faragha hususan wa mwili wako

    "Hakuna CHANJO ya lazima. HAKI za Binadamu zinataka FARGHA hususan wa MWILI wako. Serikali haiwezi kukuingilia mwili wako isipokuwa pale Mahakama inatoa order Na kama kuna SHERIA lazim iwe proportionate to social needs etc…."- Fatma Karume PIA, SOMA: - CHADEMA: Chanjo ya COVID-19 iwe ya lazima
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini 'Wazamiaji' wengi wa Harusini ( Shughulini ) ndiyo huongoza kwa Kufakamia Vyakula na Kunywa Bia hadi Kulewa hovyo?

    Nasubiri kwa hamu sana tu Majibu yenu.
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, hili Tangazo la Tigo linalotuhimiza kupata cha 'Asubuhi cha Tigo' TCRA na Serikali wamelibariki na kuona limekaa Kimaadili?

    Tuendeleeni tu Kuruhusu 'Upuuzi' na 'Uhuni' huu wa maneno yanayoashiria 'Ufirauni' kutumika na Makampuni ya Simu huku Serikali mkipokea Kodi yenu Kubwa na Maadili kwa Jamii na Kizazi kuzidi 'Kudidimia' tu. Kuna Kampuni nyingine nayo nimedokezwa inataka kuja na 'Promo' yake isemayo ' Ukitaka...
  19. Mangungu

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu ya Tanzania ni ya hovyo sana

    Salamu kutoka kusini! Kusini Kuchele Naanza na malalamiko yangu kwa hii mitandao ya simu ya Tanzania! Moja. Hivi kuna ulazima gani, pindi mtu anaacha kutumia line ya mtandao flani au anafariki dunia,halafu hiyo line ya simu anapewa mtu mwingine baada ya miezi kadhaa? Hivi inakuaje aliyekua...
Back
Top Bottom