Nilikuwa nadhani atakuwa na akili au smart kumbe ni wa ovyo tu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,457
23,743
Jamaa tumewasiliana humu aliomba niweze msadia mambo kadhaa, nikasema haina shida lets meet. Ni almost two months anasisitiza jambo hilo nami nikaona si shida sababu binadamu ni kusaidiana. Jana tumeonana sehemu tukawa tunapata kinywaji na chakula akawa ananionesha kitu fulani kwenye simu yake.

Heeeee! Nimeangalia ana app ya Mange Kimambi, nikamtoa akili kabisa! Kumbe jamaa hayupo serious na maisha kabisa ndio maana nilikuwa namwona tu kama sometimes hajielewi elewi anaongea sana.

Jamaa anajua taarifa za mastaa wa bongo na michepuko yao kuliko kuelewa mambo ya msingi katika maisha ambayo yatakuwa na mchango chanya kwake. Nilimuuliza maswali kadhaa tu kupima uelewa wake, nikaona ana eleaelea sana.

Ile tukiwa pamoja akaingia insta, kisha akaanza kuniambia kwa sasa msanii fulani anatoka na sijui nani na hapo akawa amepokea simu nyingine ananiambia amepigiwa simu na msanii mmoja wanataka waende Dodoma wakaonane na Waziri flani.

Huyo msanii ni mwanamke ni kama anampeleka kumkuwadia. Maana anasema huyo Waziri anamtaka sana huyo demu. So kawaaambia waende wakaeleze changamoto zao. So hapa akawa anataka kunionesha ana ukaribu sana na Mawaziri! Hajui mimi nashinda nao na kufanya nao vikao vingi tu vya kiserikali tukisafiri huku na kule ndani na nje ya nchi.

Huyu jamaa ni kilaza, nilim-block jana hiyo hiyo abaki kuwa kuwadi, mi sitaki ukaribu na watu wasiojielewa. Mwanaume huwezi kuwa na App. ya Mange Kimambi. Huwezi kuwa mwanaume ukawa na hiyo App.

Nimepasua jipu.
 
Jamaa tumewasiliana humu aliomba niweze msadia mambo kadhaa. nikasema haina shida lets meet. ni almost two months anasisitiza jambo hilo. nami nikaona si shida sababu binadamu ni kusaidiana. jana tumeonana sehemu tukawa tunapata kinywaji na chakula akawa ananionesha kitu flani kwenye simu yake.

heeeeeeh................nimeangalia ana app ya mange kimambi.... nikamtoa akili kabisa. kumbe jamaa hayupo serious na maisha kabisa ndo maana nilikuwa namwona tu kama sometimes hajielewi elewi anaongea sana. jamaa anajua taarifa za mastaa wa bongo na michepuko yao kuliko kuelewa mambo ya msingi katika maisha ambayo yatakuwa na mchango chanya kwake. nilimuuliza maswali kadhaa tu kupima uelewa wake. nikaona ana elea elea sana.

Ila tukiwa pamoja akaingia insta...kisha akaanza kuniambia kwa sasa msanii flani anatoka na sijui nani na hapo akawa amepokea simu nyingine ananiambia amepigiwa simu na msanii mmoja wanataka waende Dodoma wakaonane na waziri flani. huo msanii ni demu ni kama anampeleka kumkuwadia. maana anasema huyo waziri anamtaka sana huyo demu. so kawaaambia waende wakaeleze changamoto zao. so hapa akawa anataka kunionesha ana ukaribu sana na mawaziri. hajui mimi nashinda nao na kufanya nao vikao vingi tu vya kiserikali tukisafiri huku na kule ndani na nnje ya nchi.

Huyu jamaa ni kilaza nilim block jana hiyo hiyo abaki kuwa kuwadi mi sitaki ukaribu na watu wasio jielewa. MWANAUME HUWEZI KUWA NA APP YA MANGI KIMAMBI. HUWEZI KUWA MWANAUME NA UKAWA NA HIYO APP.

NIMEPASUA JIPU.
Wewe ni wa kike au wa kiume?
 
Kwanza kwanini watu mliokutana mitandaoni muanze kuwa na kampan ya kuongozana mpaka bar?je kama mmoja ni mtu wa matukio wewe usiyemjua si utajikuta na wewe matatani?

Jamiiforums huwa naomba msaada au ushauri kwa wadau lakini inakuwa PM tu huwa sitakagi hata # ya mtu kama ni technology issues tutafanya kwa Team Viewer mambo yanaisha juu kwa juu.
 
Jamaa tumewasiliana humu aliomba niweze msadia mambo kadhaa, nikasema haina shida lets meet. Ni almost two months anasisitiza jambo hilo nami nikaona si shida sababu binadamu ni kusaidiana. Jana tumeonana sehemu tukawa tunapata kinywaji na chakula akawa ananionesha kitu fulani kwenye simu yake.

Heeeee! Nimeangalia ana app ya Mange Kimambi, nikamtoa akili kabisa! Kumbe jamaa hayupo serious na maisha kabisa ndio maana nilikuwa namwona tu kama sometimes hajielewi elewi anaongea sana.

Jamaa anajua taarifa za mastaa wa bongo na michepuko yao kuliko kuelewa mambo ya msingi katika maisha ambayo yatakuwa na mchango chanya kwake. Nilimuuliza maswali kadhaa tu kupima uelewa wake, nikaona ana eleaelea sana.

Ile tukiwa pamoja akaingia insta, kisha akaanza kuniambia kwa sasa msanii fulani anatoka na sijui nani na hapo akawa amepokea simu nyingine ananiambia amepigiwa simu na msanii mmoja wanataka waende Dodoma wakaonane na Waziri flani.

Huyo msanii ni mwanamke ni kama anampeleka kumkuwadia. Maana anasema huyo Waziri anamtaka sana huyo demu. So kawaaambia waende wakaeleze changamoto zao. So hapa akawa anataka kunionesha ana ukaribu sana na Mawaziri! Hajui mimi nashinda nao na kufanya nao vikao vingi tu vya kiserikali tukisafiri huku na kule ndani na nje ya nchi.

Huyu jamaa ni kilaza, nilim-block jana hiyo hiyo abaki kuwa kuwadi, mi sitaki ukaribu na watu wasiojielewa. Mwanaume huwezi kuwa na App. ya Mange Kimambi. Huwezi kuwa mwanaume ukawa na hiyo App.

Nimepasua jipu.
hujajua tu mkuu. usilazimishe watu wote wawe na mitazamo yako
wewe msaidie aendelee na mishe zake,acha majungu
 
Back
Top Bottom