Kwanini watanzania wana tabia ya kukomenti kwa maneno ya ovyo kwenye mitandao ya kijamii?

Kijana LOGICS

Senior Member
Dec 16, 2023
140
525
Watanzania wengi wana kaushamba ka kutoa maoni kwenye mitandao ya kijamii.

Sehemu Pekee wanacomment kwa adabu ni post za Vifo vya ajali hususan ajali za barabaran

Lakini post nyingine zote wanatoa maneno ya chuki na roho mbaya

Wenzetu ulaya wanacomment kwa adabu hâta kwa wale wacheza picha za ngono etc.
 
Wacha uongo sababu hupitii kila page.

Hao watu wa ulaya wanatukana kinoma uzuri tu tusi ambalo sio lugha yako wala haliumizi.

Kunywa maji kijana.
 
Wanaotukana huwa wanakosa majibu kwa kutokuwa na uelewa wa hilo jambo, na pia chuki za ukabila, udini na hata umasikini
Wengi hawana la kujibu na kuishia kutukana au kukejeli

Mtu anasema ana gari lake benz
Weee atatukanwa na kukejeliwa hapo
Yaani mtu anajibu hata hamjui sasa kama sio umasikini ni nini
Akiangalia familia yake hata mmoja hamiliki Benz
 
A

Asilimia 95/% kwenye page za wenzetu huwa wanacomment kiustaarabu mno huwa nasoma mitandao mbalimbali hata Kwa waafrica wenzetu huwa wanajielewa mno nahisi kutokana na elimu pia inawasaidia..
Ukitaka kujua wabongo ni wajinga ni kipindi kile mbwana samatta amejiunga na Aston villa club wabongo walienda kukoment UJINGA Hadi unawaonea huruma alafu wengine walikuwa wanajisifu kabisa.

Kwa nchi zote za Africa nadhani watanzania wanaongoza Kwa UJINGA kuanzia viongozi Hadi wananchi
 
Kwahiyo na wewe ni mjinga pia mkuu?

Mana wewe ni kiongozi wa familia
 
Wanaotukana huwa wanakosa majibu kwa kutokuwa na uelewa wa hilo jambo, na pia chuki za ukabila, udini na hata umasikini
Wengi hawana la kujibu na kuishia kutukana au kukejeli

Mtu anasema ana gari lake benz
Weee atatukanwa na kukejeliwa hapo
Yaani mtu anajibu hata hamjui sasa kama sio umasikini ni nini
Akiangalia familia yake hata mmoja hamiliki Benz
Angalia jinsi waafrica mashariki wenzetu walivyotuacha mbali kwenye uelewa hapo ndiyo utajua kuwa hii nchi kuna laana kubwa Kwa watu wake angalia jinsi maisha ya DAR watu wanavyoishi utapata jibu
 
Watanzania wengi wana kaushamba ka kutoa maoni kwenye mitandao ya kijamii.

Sehemu Pekee wanacomment kwa adabu ni post za Vifo vya ajali hususan ajali za barabaran

Lakini post nyingine zote wanatoa maneno ya chuki na roho mbaya

Wenzetu ulaya wanacomment kwa adabu hâta kwa wale wacheza picha za ngono etc.
Kwa sababu kinachopoatiwa nacho kinakuwa cha hovyo.
 
Malezi ya mtoto wa kitanzania yamejaa maneno ya kudunisha, matusi na kejeli toka kwa wazazi, ndugu, walimu na majirani.

Mtoto akiuliza swali, anaambiwa "n'tolee ujinga wako hapa" au "bichwa kubwaaa, akili huna".

Kimsingi, watanzania wengi wako traumatized na childhood experiences.

Je utategemea kupata majibu ya upendo toka kwa watu waliokuzwa kwa kejeli, chuki, masimango n.k?
 
Back
Top Bottom