hovyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. incredible terminator

    JamiiForums Tanzania Ngiri ni kiumbe mwenye matukio ya hovyo kushinda wanyama wote wa porini inawezekana akawa ndio comedian wa mstuni.

    Habari wakuu, Mwezi huu Nimekuwa nikikutana na mfurulizo wa video za wanyama zinanazowaonesha Ngiri na aina yao ya maisha pamoja na matukio wanayofanya huko mwituni kusema kweli viumbe hawa wanachekesha sana, kila aina ya tukio linalomhusisha Ngiri lazima likuvunje mbavu tu ukiliangalia...
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Moyo ya Kikwete (JKCI) kuwatibu bure wasanii nchini. Huu ni uamuzi wa ovyo

    Huu ni uchonganishi wa wazi kabisa kati ya serikali ya CCM na wapigakura wake. Kama mmeona kuna umuhimu wa watu kupata vipimo basi fanyeni kwa wananchi wote. Ina maana mtu kama Giggy Money ana umuhimu kuliko wakulima wa korosho? Huu ujinga ndo unafanya wapinzani wapate kura za huruma. Hao...
  3. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na aina ya mabadiliko ya viongozi uliofanywa na Rais Samia. Washauri wake wamempoteza

    Niaje waungwana Naona raisi Samia kaendelea kuvuruga serikali yake mwenyewe bila kujua madhara yanayoweza kutokea kutokana na uvurugaji wake huo. Ni kama vile kocha asiejua nafasi za wachezaji wake uwanjani kiasi ya kwamba golikipa anampanga kwenye ushambuliaji, mshambuliaji anapangwa kwenye...
  4. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Msanii Willy Paul ameonesha umma kuwa ni jinsi gani ni kijana wa ovyo

    Taharuki iliyotokea Kenya haina mashiko zaidi ya ujinga Diamond Platnumz ni msanii mkubwa Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla wala haina haja ya kubisha kufanya hivyo ni kukumbatia ubishi Anaempa binadamu ukubwa ni Muumba na huwezi kulazimisha kuthaminika ikiwa watu hawakuthamini Huyu...
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Video:Vijana wa hovyo hii Code Ni ya mwisho sitawaambia tena.

    Vijana akiingia geto hakikisha harudi salama. Siyo demu anakuaga unaanza kujiuma uma tu... Mwamba kapita mle mle. Hii ni ya mwisho sitawaambia tena 🙌🙌😋😋
  6. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Jakaya Kikwete upo unaangalia tu siasa za ovyo wanafanyiwa Watanzania kweli? Demokrasia ipo wapi?

    Mimi ni Mtanzania ila nimeumizwa sana na hiki kilichofanyika Serikali za Mitaa. Inawezekana vipi ukatumia mabilioni ya pesa kwenye taifa masikini ili tu ufanye uchaguzi wa kiini macho? Kwanini hizo pesa usiwekeze kwa hili tatizo la ajira, elimu na afya? Sisi ni wazima kweli kiakili? Jakaya...
  7. uran

    JamiiForums Tanzania Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

    Match Day Simba SC vs Bravos do Maquis FC Time 1600hrs Kikosi Cha Simba Kinachoanza. #Nguvumoja Updates... 1' Mpira umeanza kwa kasi, Simba wanamiliki mpira wanapeleka shambulizi ndogo kwa Bravos. 3' Game on 0-0 7' Simba wanafanya shambulizi kwa Bravos halifanikiwi. Wanashindwa kudhibiti...
  8. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Kusafiri umekaa siti moja na mtu anayependa kula hovyo.

    Habari wakuu, Siku mbili nyuma nilikua safarini kutoka mkoa x kuja mkoa y. Safari yangu niliianza majira ya saa 1 jioni kwa usafiri wa bus. Sasa kuna mtu tena mmama nilikua nimekaa nae siti moja nikashindwa kumuelewa alikua na appetite ya namna gani. Kila bus likipiga break yeye lazima anunue...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kilio cha hukumu za ovyo chazidi kusambaa, Profesa Chris Peter Maina asema hukumu hazina viwango

    Niliwahi kuongelea suala la hukumu, hasa za Mahakama Kuu kuandikwa na "vitoto" vya Mahakama za Mwanzo vilivyopachikwa majina "wasaidizi wa jaji" Na pia tabia ya majaji kuwa na vikosi vya mahakimu ambao huwaandikia hukumu, na wengine huwakodia mpaka vyumba vya hotel weekend wakafanye kazi hiyo...
  10. Thabit Madai

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo ya ovyo katika Soka letu

    Kwanini kuifunga Simba Tabora wapewe Milioni 50 wakati wameifunga Yanga wakapewa Milioni 20? - Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha ameweka wazi kwamba utaratibu wake kwa Timu ya Tabora United huwa anawapa motisha ya Tsh Milioni 10 kila mchezo wanaoshinda..ila walipoifunga Yanga aliongeza mara...
  11. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Wazungu ni wa hovyo kuliko sisi Waafrika

    Wazungu pamoja na kwamba tunaona ni wastarabu na ndio walituletea ustarabu lakini upande mwingine wa shilling mambo mengine wafanya kama hamnazo na jaribu kuainisha na wewe uandike zako. Mfano. 1.Mtu na mke wa ndoa kugoma kuzaa kisha wanataka ku enjoy lakini wana asili mtoto 2.Kuoa mke zaidi ya...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kuanzia mwaka 2040 arusha itakuwa na wazee wengi wa hovyo

    Kimsingi Ata sisi tumepitia ujana kwenda club, fashion za kisela, kutoka na wachumba tofauti, kudag, kula bitches nk Lakini si huu usela wa hawa vijana wa arusha. Asee watoto wanaozaliwa miaka hii huko arusha Dah si utakuaje nilikua nawaheshimu sana watu wa uchagani Ila kuna dizaini credit...
  13. Mayor of kingstown

    JamiiForums Tanzania Law school of Tanzania imekua ya ovyo au imeingiliwa na siasa

    Law school of tanzania imeingiliwa na siasa , Nme sikitishwa na sheria mpya walizo pitisha hawa watu ●kwamba mtu alie kaa kazini kwa zaidi ya miaka 10 akiwa kama legal officer au ana LLB basi anaweza kuomba exemption kwa chief justice na kutunukiwa uwakili bila kupita law school, hili hali...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Expert Members wengi wanaongoza kwa reply za hovyo tofauti kabisa na expectation zetu

    Kwa JamiiForums na tarajia expert member's ndo mfano wa kuigwa but reality ni tofauti kabisa unakuta mtu kapost uzi very serious then Expert member anakuja kupost reply iliyojaa pumba tupu why is that happening
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania TBC mnampaje mtangazaji kama huyu kazi ya kutangaza tukio la ngazi ya kitaifa?

    UWT ni jumuiya ya chama, lakini mtangazaji mara kadhaa anarudia kuiita chama cha UWT, ina maana hawa watangazaji hawana usimamizi? Hata huko TBC nani anasikiliza wanachotangaza? Hivi watangazaji wanapangiwa majukumu kulingana na seniority na ukubwa wa tukio?
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania TLS pamoja na Mwabukusi waziombe radhi Simba na Yanga hadharani kwa kuzitolea kauli za hovyo

    Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na kijana wa hovyo namna hii utamfanyaje?

    Huyu kijana ni Mkenya, graduate wa Education. Anasema alisoma education kwa kumridhisha mzazi wake tu. Kamaliza kapewa certificate yake kumkabidhi mzazi wake na yeye anataka aanze safari ya kutafuta cheti kingine. Kwa mujibu wa video hii hiii cheti cha Education kitabaki kama kumbukumbu tu. Mimi...
  18. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Kichaka kinawaka moto 🔥🔥 panzi, buibui na wadudu wengine wamechanganyikiwa wanakimbia hovyo

    Gamondi kashika kiberiti, kakusanya vijiti na majani machache kutoka Ethiopia na burundi, kavitia kiberiti moto ukasambaa! Punde si punde chaka linaanza kuteketea, wale wadudu waharibifu waliokuwa wamejificha kwenye vichaka ghafla wamepanic wanaanza kurusha maneno na kupingana na uhalisia...
  19. mzee kokona

    JamiiForums Tanzania KERO Dodoma mjini mfumo wa majitaka mbovu sana, pananuka kinyesi

    Dodoma mjini kati mitaa ya sokoni inanuka ushuzi kinoma, mitaro inayotiririsha majitaka kupeleka kwenye mtaro mkubwa iko wazi harufu mtindo mmoja.
  20. Ritz

    JamiiForums Tanzania Hamas wamemfanya Netanyahu anatetemeka hovyo kwenye mkutano na waandishi wa habari.

    Wanakumbi. Netanyahu alikuwa akitetemeka sana wakati mpiga picha alipogundua, mara moja alijaribu kuwaficha kwenye video . Netanyahu ana kila kitu anapewa misaada ye pesa na silaha kutoka Marekani na Ulaya. Hamas wamemfanya anateteka hovyo...
Back
Top Bottom