Ninawapongeza CHADEMA kwa maoni yao ila hoja namba 5 ni ya ovyo

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,223
22,301
Leo nimeamua kuwapongeza CHADEMA kwa kuonyesha weledi wa kisiasa kwa kutoa maoni yao kuhusu muswada wa sheria ya uchaguzi. Safari hii ufipa wamejitahidi tofauti na wakati mwingine.

Hata kama sikubaliani na maoni yao yote ila nakubaliana na namna walivyojitahidi kupanga hoja zao.

Nawapongeza pia kutoruhusu kila kada wa Ufipa na kupost maoni kwenye social media hali inayofanya CHADEMA ionekane kama familia ya kambale kila mwanafamilia ana ndevu.

Imezoeleka huko UFIPA kila mtu ni msemaji wa chama. Pia nakipongeza ACT kwa kuwafundisha CHADEMA siasa za kisomi. ACT wao hutoa matamko yao kisomi na sio kila mwanachama kuropoka mitandaoni.

Maoni mengi sio mabaya kwa kutolewa na chama cha siasa kinachotaka kushika dola ingawa maoni mengi ni copy & paste toka kwenye rasimu ya Warioba. Mimi nimeshangazwa sana na hoja namba 5 inayosomeka hivi:

"Kuwe na wabunge wawili wa kuchaguliwa kwa kila Jimbo la uchaguzi, moja Mwanaume na Mmoja mwanamke ambao kila mmoja atachaguliwa kwa kura zake kwenye kundi analogombea".

Hii ni hoja ambayo haikutakiwa kutolewa na chama kinachojinadi kuguswa na mzigo wa kodi walio nao wananchi kugharamia uendeshaji wa serikali. Yaani kwenye hizi zama tunazotaka wabunge wapungue kutoka 393 hadi labda 100 wao CHADEMA ndo wanataka waongezeke wengine? inashangaza na kutia hasira mno.

Wabunge wa kuchaguliwa mwaka 2020 walikuwa 264 kwahiyo kwa hesabu za hovyo za Ufipa wanataka waongezeke wengine 264. Hoja yao hii ikipita tutakuwa na wabunge zaidi ya 528 kwenye bunge lijalo. INAKERA SANA kuwa na upinzani unaowaza jinsi gani waingie madarakani na kutafuna kodi za wananchi.

Ninashauri hoja za CHADEMA zisomwe kwa utulivu mkubwa kwasababu kuna hoja zina nia ovu kwa mwananchi mlipa kodi. Hoja zao zimejikita kushika dola zaidi bila kujali maumivu atakayopata mtanzania.

Pia wanaCCM na wazalendo tusichoke kukiadhibu hiki chama cha Mbowe kila fursa ya sanduku la kura inapojitokeza. Kuanzia ngazi ya kitongoji lazima tukiadhibu CHADEMA.
 
Leo nimeamua kuwapongeza CHADEMA kwa kuonyesha weledi wa kisiasa kwa kutoa maoni yao kuhusu muswada wa sheria ya uchaguzi. Safari hii ufipa wamejitahidi tofauti na wakati mwingine. Hata kama sikubaliani na maoni yao yote ila nakubaliana na namna walivyojitahidi kupanga hoja zao. Nawapongeza pia kutoruhusu kila kada wa Ufipa na kupost maoni kwenye social media hali inayofanya CHADEMA ionekane kama familia ya kambale kila mwanafamilia ana ndevu. Imezoeleka huko UFIPA kila mtu ni msemaji wa chama. Pia nakipongeza ACT kwa kuwafundisha CHADEMA siasa za kisomi. ACT wao hutoa matamko yao kisomi na sio kila mwanachama kuropoka mitandaoni.

Hii ni hoja ambayo haikutakiwa kutolewa na chama kinachojinadi kuguswa na mzigo wa kodi walio nao wananchi kugharamia uendeshaji wa serikali. Yaani kwenye hizi zama tunazotaka wabunge wapungue kutoka 393 hadi labda 100 wao CHADEMA ndo wanataka waongezeke wengine? inashangaza na kutia hasira mno. Wabunge wa kuchaguliwa mwaka 2020 walikuwa 264 kwahiyo kwa hesabu za hovyo za Ufipa wanataka waongezeke wengine 264. Hoja yao hii ikipita tutakuwa na wabunge zaidi ya 528 kwenye bunge lijalo. INAKERA SANA kuwa na upinzani unaowaza jinsi gani waingie madarakani na kutafuna kodi za wananchi.

Ninashauri hoja za CHADEMA zisomwe kwa utulivu mkubwa kwasababu kuna hoja zina nia ovu kwa mwananchi mlipa kodi. Hoja zao zimejikita kushika dola zaidi bila kujali maumivu atakayopata mtanzania. Pia wanaCCM na wazalendo tusichoke kukiadhibu hiki chama cha Mbowe kila fursa ya sanduku la kura inapojitokeza. Kuanzia ngazi ya kitongoji lazima tukiadhibu CHADEMA.
Wanamaanisha viti maalum viondolewe na badala yake wanawake wagombee ili kuweka usawa wa kijinsia.
 
Ni vipi kama wabunge watakuwa wengi kwa maana ya kuhudumia wananchi, kisha mishahara Yao ikapunguzwa zaidi ya nusu ya Sasa? Je wakipunguza posho za Sasa za wabunge, sambamba na kupunguza vikao vya bunge, huoni kama suala la gharama halitakiwepo. Tatizo ni hiyo kuongelea mapendekezo ya cdm, katika mtazamo wa kiccm.

Kwa taarifa yako huko uwanjani wachezaji huwa 11 Kila upande, lakini Kila team huwa na mbinu au mfumo wake wa kiuchezaji.

Shida yako umesoma hiyo hoja bila kuiunganisha na hoja zingine.

1. CHADEMA wamesema Jimbo moja liwe na idadi kadhaa ya watu.

2. CHADEMA wamesema Tume huru iwe na mamlaka ya kuongeza ama kupunguza majimbo.

Kwa hizo hoja hapo juu Kuna mambo mawili yatatokea.

1. Tume huru inaweza kupunguza majimbo mengi.
2. Viti maalum hawatakuwepo.

Sasa ukipunguza idadi ya viti maalumu mia na kupunguza majimbo kadhaa idadi inafika.
 
Theoretically inawezekana lakini practically haiwezekani.
Hao wabunge watahitaji makazi, magari, sijui pesa ya mbunge, vishikwambi, mafita lita 1000. Ni mzigo mkubwa kwa wananchi.
Maendeleo hayaletwi na kujaza wabunge na msululu wa mawaziri. Sijui Afrika tumerogwa na nani
Na haya mambo ya kila jimbo kuwa na mgombea wa kike na kiume kuleta usawa ni ya ajabu kabisa. Watu hawachaguliwi kwa jinsia. Baadaye tutaanza sasa awepo anayewakisha wakristo na waislam.
Hata walioleta haya mawazo ya usawa wa kijinsia hawafanyi ujinga huu
 
Mkuu majimbo yako 264 kwahiyo wakisema waweke huo usawa tutakuwa na wabunge 528 wa kuchaguliwa ambao ni zaidi ya hawa waliopo. Utakuwa ni mzigo mwingine mzito kwa wananchi.
 
Ni vipi kama wabunge watakuwa wengi kwa maana ya kuhudumia wananchi, kisha mishahara Yao ikapunguzwa zaidi ya nusu ya Sasa? Je wakipunguza posho za Sasa za wabunge, sambamba na kupunguza vikao vya bunge, huoni kama suala la gharama halitakiwepo. Tatizo ni hiyo kuongelea mapendekezo ya cdm, katika mtazamo wa kiccm.

Kwa taarifa yako huko uwanjani wachezaji huwa 11 Kila upande, lakini Kila team huwa na mbinu au mfumo wake wa kiuchezaji.
Mkuu Tindo unadhani bunge la wabunge wengi lina tija yoyote kwa taifa? Kupunguza mishahara si kitu kirahisi. Wabunge kwenye maslahi yao huungana na kuwa kitu kimoja bila kujali vyama. Kama hoja ni uwakilishi unadhani kuna mbunge gani anamzidi kuwasemea wananchi kama baadhi ya wanaharakati wa mitandaoni Malisa, Mange, na wengine? Kwa huu ulimwengu wa digital inapaswa bunge liwe na watu wachache wenye weledi.
 
Shida yako umesoma hiyo hoja bila kuiunganisha na hoja zingine.

1. CHADEMA wamesema Jimbo moja liwe na idadi kadhaa ya watu.

2. CHADEMA wamesema Tume huru iwe na mamlaka ya kuongeza ama kupunguza majimbo.

Kwa hizo hoja hapo juu Kuna mambo mawili yatatokea.

1. Tume huru inaweza kupunguza majimbo mengi.
2. Viti maalum hawatakuwepo.

Sasa ukipunguza idadi ya viti maalumu mia na kupunguza majimbo kadhaa idadi inafika.
Kwa uroho wa ubunge ni kuwa hawa wanasiasa wetu wa vyama vyote wanatamani majimbo yaongezwe na sio kupunguzwa. Unachosema ni ngumu kutokea.
 
Leo nimeamua kuwapongeza CHADEMA kwa kuonyesha weledi wa kisiasa kwa kutoa maoni yao kuhusu muswada wa sheria ya uchaguzi. Safari hii ufipa wamejitahidi tofauti na wakati mwingine.

Hata kama sikubaliani na maoni yao yote ila nakubaliana na namna walivyojitahidi kupanga hoja zao.

Nawapongeza pia kutoruhusu kila kada wa Ufipa na kupost maoni kwenye social media hali inayofanya CHADEMA ionekane kama familia ya kambale kila mwanafamilia ana ndevu.

Imezoeleka huko UFIPA kila mtu ni msemaji wa chama. Pia nakipongeza ACT kwa kuwafundisha CHADEMA siasa za kisomi. ACT wao hutoa matamko yao kisomi na sio kila mwanachama kuropoka mitandaoni.

Maoni mengi sio mabaya kwa kutolewa na chama cha siasa kinachotaka kushika dola ingawa maoni mengi ni copy & paste toka kwenye rasimu ya Warioba. Mimi nimeshangazwa sana na hoja namba 5 inayosomeka hivi:

"Kuwe na wabunge wawili wa kuchaguliwa kwa kila Jimbo la uchaguzi, moja Mwanaume na Mmoja mwanamke ambao kila mmoja atachaguliwa kwa kura zake kwenye kundi analogombea".

Hii ni hoja ambayo haikutakiwa kutolewa na chama kinachojinadi kuguswa na mzigo wa kodi walio nao wananchi kugharamia uendeshaji wa serikali. Yaani kwenye hizi zama tunazotaka wabunge wapungue kutoka 393 hadi labda 100 wao CHADEMA ndo wanataka waongezeke wengine? inashangaza na kutia hasira mno.

Wabunge wa kuchaguliwa mwaka 2020 walikuwa 264 kwahiyo kwa hesabu za hovyo za Ufipa wanataka waongezeke wengine 264. Hoja yao hii ikipita tutakuwa na wabunge zaidi ya 528 kwenye bunge lijalo. INAKERA SANA kuwa na upinzani unaowaza jinsi gani waingie madarakani na kutafuna kodi za wananchi.

Ninashauri hoja za CHADEMA zisomwe kwa utulivu mkubwa kwasababu kuna hoja zina nia ovu kwa mwananchi mlipa kodi. Hoja zao zimejikita kushika dola zaidi bila kujali maumivu atakayopata mtanzania.

Pia wanaCCM na wazalendo tusichoke kukiadhibu hiki chama cha Mbowe kila fursa ya sanduku la kura inapojitokeza. Kuanzia ngazi ya kitongoji lazima tukiadhibu CHADEMA.
Hoja ya CDM ya majimbo kupitiwa upya na kupangwa na Tume Huru Ya Uchaguzi kulingana na idadi ya watu hujaiona?
 
Kuwe na wabunge wawili wa kuchaguliwa kwa kila Jimbo la uchaguzi, moja Mwanaume na Mmoja mwanamke ambao kila mmoja atachaguliwa kwa kura zake kwenye kundi analogombea".
Ndio rasimu ya warioba ndio ilisema bungeni kuwe 50-50.
Viti maalum kufutwa.
Na majimbo kupungua hadi 50 pekee bara na 25 zanzibar.

Hawakusema majimbo yawe haya haya 100+
 
Theoretically inawezekana lakini practically haiwezekani.
Hao wabunge watahitaji makazi, magari, sijui pesa ya mbunge, vishikwambi, mafita lita 1000. Ni mzigo mkubwa kwa wananchi.
Maendeleo hayaletwi na kujaza wabunge na msululu wa mawaziri. Sijui Afrika tumerogwa na nani
Na haya mambo ya kila jimbo kuwa na mgombea wa kike na kiume kuleta usawa ni ya ajabu kabisa. Watu hawachaguliwi kwa jinsia. Baadaye tutaanza sasa awepo anayewakisha wakristo na waislam.
Hata walioleta haya mawazo ya usawa wa kijinsia hawafanyi ujinga huu
Makazi ya wabunge tayari yapo, usitake mazingira yaliyopo sasa, ndio yawe kwa wengine pia. Kama ni balance ya kijinsia Hadi sasa ipo kupitia viti maalum. Mbona hatuoni watu wakitaka viti maalum vya wakristo na waisilamu? Acha kujenga mlima wa uhakika kwenye kichuguu Cha mawazo.
 
Leo nimeamua kuwapongeza CHADEMA kwa kuonyesha weledi wa kisiasa kwa kutoa maoni yao kuhusu muswada wa sheria ya uchaguzi. Safari hii ufipa wamejitahidi tofauti na wakati mwingine.

Hata kama sikubaliani na maoni yao yote ila nakubaliana na namna walivyojitahidi kupanga hoja zao.

Nawapongeza pia kutoruhusu kila kada wa Ufipa na kupost maoni kwenye social media hali inayofanya CHADEMA ionekane kama familia ya kambale kila mwanafamilia ana ndevu.

Imezoeleka huko UFIPA kila mtu ni msemaji wa chama. Pia nakipongeza ACT kwa kuwafundisha CHADEMA siasa za kisomi. ACT wao hutoa matamko yao kisomi na sio kila mwanachama kuropoka mitandaoni.

Maoni mengi sio mabaya kwa kutolewa na chama cha siasa kinachotaka kushika dola ingawa maoni mengi ni copy & paste toka kwenye rasimu ya Warioba. Mimi nimeshangazwa sana na hoja namba 5 inayosomeka hivi:

"Kuwe na wabunge wawili wa kuchaguliwa kwa kila Jimbo la uchaguzi, moja Mwanaume na Mmoja mwanamke ambao kila mmoja atachaguliwa kwa kura zake kwenye kundi analogombea".

Hii ni hoja ambayo haikutakiwa kutolewa na chama kinachojinadi kuguswa na mzigo wa kodi walio nao wananchi kugharamia uendeshaji wa serikali. Yaani kwenye hizi zama tunazotaka wabunge wapungue kutoka 393 hadi labda 100 wao CHADEMA ndo wanataka waongezeke wengine? inashangaza na kutia hasira mno.

Wabunge wa kuchaguliwa mwaka 2020 walikuwa 264 kwahiyo kwa hesabu za hovyo za Ufipa wanataka waongezeke wengine 264. Hoja yao hii ikipita tutakuwa na wabunge zaidi ya 528 kwenye bunge lijalo. INAKERA SANA kuwa na upinzani unaowaza jinsi gani waingie madarakani na kutafuna kodi za wananchi.

Ninashauri hoja za CHADEMA zisomwe kwa utulivu mkubwa kwasababu kuna hoja zina nia ovu kwa mwananchi mlipa kodi. Hoja zao zimejikita kushika dola zaidi bila kujali maumivu atakayopata mtanzania.

Pia wanaCCM na wazalendo tusichoke kukiadhibu hiki chama cha Mbowe kila fursa ya sanduku la kura inapojitokeza. Kuanzia ngazi ya kitongoji lazima tukiadhibu CHADEMA.
Maoni si sheria na si lazima kuyatimiza, ni maoni tu.
Mtu hatukanwi kwa kutoa maoni labda kama unausongo nae.
 
Hiyo ni nwarobaini na mbadala ya wale wa mfano wa gereji🤣
 
Makazi ya wabunge tayari yapo, usitake mazingira yaliyopo sasa, ndio yawe kwa wengine pia. Kama ni balance ya kijinsia Hadi sasa ipo kupitia viti maalum. Mbona hatuoni watu wakitaka viti maalum vya wakristo na waisilamu? Acha kujenga mlima wa uhakika kwenye kichuguu Cha mawazo.
Idadi ya wabunge haina uhusiano na maendeleo maana hata hawa 300 hawareflect maendeleo tulio nayo. Ni mzigo tu kwa walipa kodi na kuongeza ulaji tu. Hata viti maalum ingefutwa tu ili watu haijalishi jinsia wakagombee tu kwenye majimbo.
 
Back
Top Bottom