CHADEMA hoja ya Kikwete ni ya ovyo; ana majukumu ya kimataifa

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,226
5,948
Ukimtegemea Kikwete akae Msoga wewe utakuwa humjui Kikwete

After retiring from distinguished public service career, both in the Tanzanian government and subsequently in international and regional organizations,, President Kikwete has dedicated himself to advancing progressive policies for education and women's and children's health.

H.E. Jakaya Mrisho Kikwete joined the Global Partnership for Education as Chair of the Board of Directors in September 2021.

Play pivotal roles in regional cooperation, including as Chair of the African Union and Chair of the Southern African Development Community Troika on Peace, Defense, and Security.

served as a special envoy for the International Commission on Financing Global Education Opportunity, leading high-level delegations to 14 countries across Africa.

Holds a number of other international roles, including Co-Chair of the UNFPA High Level Commission on the Nairobi Summit on ICPD25, Co-Chair of the Refugee Council, Member of the High-Level Panel on Every Woman, Every Child, and Every Adolescent, Member of the High-Level Panel on Scaling Up Nutrition, Member of the End Malaria Council, and a Board Member of Nutrition International.

On the African continent, he is a member of the board of the Alliance for the Green Revolution in Africa and chair of the board of the Global Water Partnership for Africa and Southern Africa.
 
When a woman loves.....
 
Mzee Kikwete anapitiliza hizo roles ni ‘gardening leave’ ya viongozi wa juu serikalini.

Maraisi wanapewa hizo nafasi kama sehemu ya kuzoea lesser roles kutoka kwenye public life taratibu, vigogo serikalini kuwa kwenye body za mashirika ya umma na hata ma CEO wa muda mrefu kupewa miaka miwili ya lesser roles sio lazima kwenda kazini au kufanya maamuzi ya shirika kabla ya kustaafu.

Inakaribia miaka tisa huyo mzee bado hataki kutoka katika public life; afadhali na wengine wameanza kuona inatosha sasa apumzike kuonekana kwenye media kila siku.
 
Soma ujielemishe zaidi
 
Mkuu ni utamaduni viongozi wastaafu wenye uwezo kupewa majukumu ya kimataifa baada ya kustaafu
Nyerere alifanya, Mandela alifanya, Mkapa alifanya, Obasanjo alifanya na kimsingi mwaka juzi kwenye mkutano wa IGRAF Rwanda aliaacha uenyekitiakapewa Kikwete.
Sasa linganisha umri wa Obasanjo na Kikwete.

Ni sehemu ya habituation kuelekea kwenye maisha ya kawaida baada uongozi kupewa hizo lesser roles tofauti na majukuma makubwa.

It’s transition period through soft powers, JK aelewi somo bado anataka kuwa relevant na kuonekana he is still influential kwenye siasa za Tanzania.

Inatosha sasa apumzike kuonekana kwenye media kila mwezi au pembeni ya raisi at every opportunity. Kuna siku (a year or two ago) sijui ilikuwa mkutano gani wa ndani raisi Samia kamkuta VIP lounge inaonekana hata akumuita, katika maongezi yao ya kupeana salamu.
 
Ni sehemu ya habituation kuelekea kwenye maisha ya kawaida baada uongozi kupewa hizo lesser roles tofauti na majukuma makubwa.

It’s transition period through soft powers, JK aelewi somo bado anataka kuwa relevant na kuonekana he is still influential kwenye siasa za Tanzania.

Inatosha sasa apumzike kuonekana kwenye media kila mwezi au pembeni ya raisi at every opportunity. Kuna siku (a year or two ago) sijui ilikuwa mkutano gani wa ndani raisi kamkuta inaonekana hata akumuita.
Anapewa , hatumpi na wala hajipi- why does it has to be issue ya maandamano?
 
Well Mbowe kamzungumzia on the ‘context’ of unnecessary government expenses za misafara ya raisi, viongozi wa serikali na chama.

Topic aikuwa JK yeye ni anecdote tu katika hoja nzima ya Mbowe. If anything nyie mnaoanzisha mijadala kuhusu mention ya Mbowe ndio mnazua mjadala wa kitaifa kuhusu huyo mzee na role yake katika nchi leo.
 
kutakua tu na chuki binafsi kutoka kwa mbowe wa chadema dhidi ya JK.

huenda ndugu Chairman anahisi kama JK ndio kikwazo au anamzuia Rais asimkaribishe Chairman tena Ikulu kwaajili ya kulamba asali tena..

lakini pia huanda chairman anahisi JK ndio ndie anaesababisha ugumu wa mchakato wa maridhiano na kuonekana hauna tija kitua ambacho kilikua fursa kwa chairman kulamba asali bila kuonekana yupo pekeyake...

si hivyo tu chairman anahisi JK ndie anae sambaratisha na kukwamisha nchakato wa katiba mpya na maridhiano chemchem ya asali kwa chairman
 
Well Mbowe kamzungumzia at the ‘context’ of unnecessary government expenses za misafara wa raisi, viongozi wa serikali na chama.

Topic aikuwa JK yeye ni anecdote tu katika hoja nzima ya Mbowe. If anything nyie mnaoanzisha mijadala kuhusu mention ya Mbowe ndio mnazua mjadala wa kitaifa kuhusu huyo mzee na role yake katika nchi leo.
His trips are not paid for by the government for God Sake. Siyo kila mtu anayepanda ndege ya rais na kusafiri na rais hasa safari za nje analipiwa na serikali
 
kutakua tu na chuki binafsi kutoka kwa mbowe wa chadema dhidi ya JK.

huenda ndugu Chairman anahisi kama JK ndio kikwazo au anamzuia Rais asimkaribishe Chairman tena Ikulu kwaajili ya kulamba asali tena..

lakini pia huanda chairman anahisi JK ndio ndie anaesababisha ugumu wa mchakato wa maridhiano na kuonekana hauna tija kitua ambacho kilikua fursa kwa chairman kulamba asali bila kuonekana yupo pekeyake...

si hivyo tu chairman anahisi JK ndie anae sambaratisha na kukwamisha nchakato wa katiba mpya na maridhiano chemchem ya asali kwa chairman
Kosa analofanya Mbowe ni kudhani Samia is a weak character na leader-sijui kwa vile ile kesi yake ya ugaidi iliwekewa cold room naye akatolewa gerezani kwa mda- maana wakimtaka atarudi huko sasa hivi.
 
Hakuweza kufanya la maana nchini zaidi ya UFISADI hatafanya lolote jipya na la maana kimataifa.

Hizo policy za elimu kimataifa ni unaa tu, hapa aliikuta elimu mbovu na hakuna policy yoyote aliyoleta ikasaidia taifa.
Mwizi tu wa mali za umma
Mkuu aliyofanya hapa kwenye elimu ndiyo yalimfanya akaonekana na akapewa huo uenyekiti
 
Mzee Kikwete anapitiliza hizo roles ni ‘gardening leave’ ya viongozi wa juu serikalini.

Maraisi wanapewa hizo nafasi kama sehemu ya kuzoea lesser roles kutoka kwenye public life taratibu, vigogo serikalini kuwa kwenye body za mashirika ya umma na hata ma CEO wa muda mrefu kupewa miaka miwili ya lesser roles sio lazima kwenda kazini au kufanya maamuzi ya shirika kabla ya kustaafu.

Inakaribia miaka tisa huyo mzee bado hataki kutoka katika public life; afadhali na wengine wameanza kuona inatosha sasa apumzike kuonekana kwenye media kila siku.
Amejitahidi sana kukoroga nchi kwa shauri za kiza anazozitoa.

Vijana wake amewachomeka kuanzia chamani, bungeni na serikalini kupitia teuzi.

Anajimilikisha visivyo haki.
Data hataki kuzima bali zitajizima zenyewe na hazitowaka tena.

Taifa litapata haueni hatimaye
 
Ukimtegemea Kikwete akae Msoga wewe utakuwa humjui Kikwete

After retiring from distinguished public service career, both in the Tanzanian government and subsequently in international and regional organizations,, President Kikwete has dedicated himself to advancing progressive policies for education and women's and children's health.

H.E. Jakaya Mrisho Kikwete joined the Global Partnership for Education as Chair of the Board of Directors in September 2021.

Play pivotal roles in regional cooperation, including as Chair of the African Union and Chair of the Southern African Development Community Troika on Peace, Defense, and Security.

served as a special envoy for the International Commission on Financing Global Education Opportunity, leading high-level delegations to 14 countries across Africa.

Holds a number of other international roles, including Co-Chair of the UNFPA High Level Commission on the Nairobi Summit on ICPD25, Co-Chair of the Refugee Council, Member of the High-Level Panel on Every Woman, Every Child, and Every Adolescent, Member of the High-Level Panel on Scaling Up Nutrition, Member of the End Malaria Council, and a Board Member of Nutrition International.

On the African continent, he is a member of the board of the Alliance for the Green Revolution in Africa and chair of the board of the Global Water Partnership for Africa and Southern Africa.
What have benefited as a nation from all those titles of Bwana Kikwete?
 
Back
Top Bottom