Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,592
- 11,831
Wanajukwaa naomba kutoa hoja hii tuijadili sisi kama Watanzania tuliowapa dhamana watu fulani kutuongoza. Nchi si mali yao bali ni mali ya Watanzania.
Je, kwa hali tuliyo nayo sasa wewe kama Mtanzania unadhani ni kiongozi yupi amevurunda zaidi na anapaswa kuachia madaraka?
Utoe sababu ni kwanini unashauri hivo.
Je, ni wakati sahihi kwa Rais kuachia madaraka!?
Usije na chuki binafsi ila uje na sababu za msingi kwanini unataka ajiuzulu.
Kwa upande wangu mimi, nashauri Waziri wa Afya ajiuzulu kwasababu hana mamlaka kamili kwenye Wizara anayoiongoza, yupo kama kivuli tu kwa kupokea maagizo.
Mfano, Waziri wa Sheria anaagizwa kuchunguza Wizara ya Afya hii ina maana kuwa Waziri husika ameshindwa kazi ama anadharauliwa.
Naomba kutoa hoja.