Wabunge wa CHADEMA mnaohamia CCM, huku hakuna kuandikiwa hotuba, hoja wala maswali itawalazimu mjifunze kutema " madini"

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,903
141,851
Wote ni mashahidi kwamba wabunge wanaotoka Chadema na kuhamia CCM huwa wanashindwa kujieleza kabisa japo bunge ni lile lile. Waangalie akina Dr Mollel, Ryoba, Ole millya, Gekue na hata Waitara uwezo wao wa kujenga hoja na kuuliza maswali ni mdogo sana tofauti na walivyokuwa Chadema.

Kuna wakati Spika Ndugai alisema huwa anazikataa hotuba za mawaziri vivuli wa Chadema kwa sababu wanaandikiwa na watu walioko mitaani na wao kazi yao ni kusoma tu kama kasuku.

Hata ukiangalia hawa wabunge " masalia" wa Chadema utaona wazi baada ya kutengana na chama ni kama vile uwezo wao wa kujenga hoja wameuacha Ufipa.

Akisimama Selasini au Lwakatare kuongea utatamani uzime tv huyo Silinde aliyekuwa Katibu wa wabunge wa Chadema ndio anaweza kukutoa machozi kabisa.

Natoa tu angalizo maana CCM kuna vichwa, mtu kama David atamuweza kweli Juliana pale Momba?

Maendeleo hayana vyama.
 
... ha ha ha! Wabunge wa CCM wanaohamia CCM; I agree with you kwa maana hata huko walikokuwa mioyoni walikuwa CCM so its OK maana msaliti ni msaliti tu no matter yuko wapi at that particular time roho ile haimwachi kamwe. Bwashee mleta mada, heading iko poa sana ibaki hivyo hivyo usiwasumbue mods.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Ukiwa mpinzani nirahisi sana kujenga hoja nzuri kwakuwa hoja za upinzani zimejengeka katika makosa ya serikali ya ccm.

Ukiwa ccm si rahisi kuwa na hoja ya maana, kwasababu utalazimika kutetea hata upumbavu, ndiyo maana mawaziri, maprofesa na wana ccm wengi huonekana kama hawana akili kabisa kwa sababu hulazimika kutetea ujinga. So nao wanaonekana wajinga hasa kama ishu itamuhusu mkubwa wao.

Kwahiyo mkuu si kweli kwamba wabunge wa chadema hawana uwezowa kujenga hoja, ccm ndiyo huonekana hawana uwezo wa kujenga hoja labda mipasho.
Wote ni mashahidi kwamba wabunge wanaotoka Chadema na kuhamia CCM huwa wanashindwa kujieleza kabisa japo bunge ni lile lile. Waangalie akina Dr Mollel, Ryoba, Ole millya, Gekue na hata Waitara uwezo wao wa kujenga hoja na kuuliza maswali ni mdogo sana tofauti na walivyokuwa Chadema.

Kuna wakati Spika Ndugai alisema huwa anazikataa hotuba za mawaziri vivuli wa Chadema kwa sababu wanaandikiwa na watu walioko mitaani na wao kazi yao ni kusoma tu kama kasuku.

Hata ukiangalia hawa wabunge " masalia" wa Chadema utaona wazi baada ya kutengana na chama ni kama vile uwezo wao wa kujenga hoja wameuacha Ufipa.

Akisimama Selasini au Lwakatare kuongea utatamani uzime tv huyo Silinde aliyekuwa Katibu wa wabunge wa Chadema ndio anaweza kukutoa machozi kabisa.

Natoa tu angalizo maana CCM kuna vichwa, mtu kama David atamuweza kweli Juliana pale Momba?

Maendeleo hayana vyama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwashee unakwama wapi?Ushaona mbunge anasoma anachochangia au unamaanisha huwa wanakariri hotuba nzima?

Shida ni kuwa wanaohamia CCM wanapewa miongozo mipya,nayo ni kujitoa ufahamu na kutetea serikali badala ya kufanya kazi zao za kibunge!

Ndio maana msigwa alisema siku moja,akisimama phd holder hapo bungeni kutoka CCM anachangia sawa na mtoto wa darasa la 2!Akaongeza kuwa huwa akili wanaziweka mfukoni ndio wanaingia bungeni!

Kwa mantiki hiyo nadhani unajua shida iko wapi!
 
Wote ni mashahidi kwamba wabunge wanaotoka Chadema na kuhamia CCM huwa wanashindwa kujieleza kabisa japo bunge ni lile lile. Waangalie akina Dr Mollel, Ryoba, Ole millya, Gekue na hata Waitara uwezo wao wa kujenga hoja na kuuliza maswali ni mdogo sana tofauti na walivyokuwa Chadema.

Kuna wakati Spika Ndugai alisema huwa anazikataa hotuba za mawaziri vivuli wa Chadema kwa sababu wanaandikiwa na watu walioko mitaani na wao kazi yao ni kusoma tu kama kasuku.

Hata ukiangalia hawa wabunge " masalia" wa Chadema utaona wazi baada ya kutengana na chama ni kama vile uwezo wao wa kujenga hoja wameuacha Ufipa.

Akisimama Selasini au Lwakatare kuongea utatamani uzime tv huyo Silinde aliyekuwa Katibu wa wabunge wa Chadema ndio anaweza kukutoa machozi kabisa.

Natoa tu angalizo maana CCM kuna vichwa, mtu kama David atamuweza kweli Juliana pale Momba?

Maendeleo hayana vyama.
Eti CCM kuna vichwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtafuta mchumba lazima aonekane simart sio aliyeko kwenye ndoa tayari,

Usipokuwa simart Wakati hujaoa Wala kuolewa ujue hata Oa/olewa yako Itakuwa ngumu kishenzi yaani

Lakini mtu yeyote akiingia kwenye ndoa tayari utofauti lazima uwepo, maana kuna kuizoea Ile Hali

Ndicho ambacho hufanyika kwenye maisha na hata kwenye siasa
 
Wote ni mashahidi kwamba wabunge wanaotoka Chadema na kuhamia CCM huwa wanashindwa kujieleza kabisa japo bunge ni lile lile. Waangalie akina Dr Mollel, Ryoba, Ole millya, Gekue na hata Waitara uwezo wao wa kujenga hoja na kuuliza maswali ni mdogo sana tofauti na walivyokuwa Chadema.

Kuna wakati Spika Ndugai alisema huwa anazikataa hotuba za mawaziri vivuli wa Chadema kwa sababu wanaandikiwa na watu walioko mitaani na wao kazi yao ni kusoma tu kama kasuku.

Hata ukiangalia hawa wabunge " masalia" wa Chadema utaona wazi baada ya kutengana na chama ni kama vile uwezo wao wa kujenga hoja wameuacha Ufipa.

Akisimama Selasini au Lwakatare kuongea utatamani uzime tv huyo Silinde aliyekuwa Katibu wa wabunge wa Chadema ndio anaweza kukutoa machozi kabisa.

Natoa tu angalizo maana CCM kuna vichwa, mtu kama David atamuweza kweli Juliana pale Momba?

Maendeleo hayana vyama.
Kwanza watapelekwa gereji ya Ndivini wafunguliwe vichwa vyao uondolewe ubongo wa kuweza kufikiri ili wawekewe ubongo uliokaririshwa ndiyo tu.
 
Wote ni mashahidi kwamba wabunge wanaotoka Chadema na kuhamia CCM huwa wanashindwa kujieleza kabisa japo bunge ni lile lile. Waangalie akina Dr Mollel, Ryoba, Ole millya, Gekue na hata Waitara uwezo wao wa kujenga hoja na kuuliza maswali ni mdogo sana tofauti na walivyokuwa Chadema.

Kuna wakati Spika Ndugai alisema huwa anazikataa hotuba za mawaziri vivuli wa Chadema kwa sababu wanaandikiwa na watu walioko mitaani na wao kazi yao ni kusoma tu kama kasuku.

Hata ukiangalia hawa wabunge " masalia" wa Chadema utaona wazi baada ya kutengana na chama ni kama vile uwezo wao wa kujenga hoja wameuacha Ufipa.

Akisimama Selasini au Lwakatare kuongea utatamani uzime tv huyo Silinde aliyekuwa Katibu wa wabunge wa Chadema ndio anaweza kukutoa machozi kabisa.

Natoa tu angalizo maana CCM kuna vichwa, mtu kama David atamuweza kweli Juliana pale Momba?

Maendeleo hayana vyama.
Wanarudia mavumbi na ukilaza.
 
Back
Top Bottom