hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda speed sana, Leo hii Simba ni wa kuvimba na kujisifu kwa kuinyanyasa timu inayoshika mkia ligi kuu ?

    Juzi hapo Coastal Union kamnyanyasa Prisons na kumfunga magoli manne hakukuwa na kelele kwasababu Prisons wapo katika hali mbaya. Simba kaifunga KMC yenye hali mbaya zaidi goli 2 nimeshangaa sana kuona Simba wamevimba kurudi kwenye ubora wao, Kwa hii Simba wakija kucheza na timu zilizomo 5 bora...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Hii hapa kazi ya afande MWENYE akili

    Mlinzi mmoja wa usalama jijini Houston amepata heshima kubwa mitandaoni baada ya video kuonyesha akipambana na wanaume wawili tofauti—mmoja baada ya mwingine—na kuondoka akiwa amesalimiana nao kwa mikono, badala ya kuwakamata au kuwafunga pingu. Tukio hilo lilitokea karibu na gari la chakula...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sababu ya za Nissan Dualis kuwaka moto… Sio tatizo la kiwandani bali uzoefu mdogo wa mafundi wetu kwenye magari ya Nissan hata ukizingatia service

    Sio kwamba Nissan Dualis zina kasoro ya kiwandani hadi zote ziungue moto. Tatizo kubwa ni service duni na mafundi wasio wataalam wa Nissan. 1. Kuna Plastiki ya kuzuia joto (heat shield/insulation) nyuma ya engine na lipo karibu sana na bomba la moshi, loki za plastiki, zikipata joto kali...
  4. JamiiForums Tanzania Je hii ni ndio top ten bora ya rap ya Tanzania?

    1: dar es salaam stand up - chiddy 2: Zari la mentali - proj j 3: Mtazamo - afande sele 4: Mitungi/mikasi - ngwair 5: Bongo dar es salaam - prof j 6: Geto langu - ngwair 7: Habari ndio hio - ay/mwana fa 8: Hawatuwezi - nako 2 nako 9: mchizi wangu remix - nako 2 nako, chiddy, mwana fa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hotuba hii! Je, ndiyo tuseme mwisho wake umekaribia?

    Kwa kauli yake mwenyewe ya kumtoa ofisa wake wa karibu kabisa na kuamua kumfanya awe Katibu Mkuu wa Sekta ya Mawinga na Machinga kwa kigezo Kwamba anamuandaa mapema na kumpa Maisha mapema kwa sababu atayechukua nafasi yake baada ya yaye atakuja na wa kwake. Je, kwa kauli hii tutegemee Nini sisi...
  6. JamiiForums Tanzania Orodha ya vitu kadhaa ambavyo Wewe Mwanaume Mkeo hapaswi kujua kabisa kuhusu Wewe

    List ni ndefu ila nitataja vichache vingine wataongezea wengine hapo chini. 1. Mshahara Wako. Mkeo hapaswi kujua wewe unapokea Mshahara kiasi gani. Fanya unavyofanya usije ukathubutu ukamwambia mkeo napokea kiasi fulani sijui nini hivi na vile, imekula kwako. Nakusanua. 2. Kazi unayofanya...
  7. JamiiForums Tanzania Mbinu mpya za kuibiwa walevi kupitia wanawake wa mjini

    Walevi wa mwanza kuweni macho acheni kubeba kila mwanamke bar kwa kuwa ana makalio makubwa. Kisa kifupi nlichosimuliwa na kijana tuliekutana mlango wa kutokea lodge mwanza. Nimetoka zangu safari nikapoa lodge ilia asubuhi nifanye mishe zangu hapo mwanza then nigeuke Asubuhi nafunga mlango wa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii wanaume wengi tutaoa kweli?

    Habarini, Wiki ya juzi nilimfata mdada mmoja jirani, ilikua mida ya jioni, nikamwomba namba akanigea, tuka chat jioni ya siku hiyo, na kesho asubuhi. Obviously nlichukua namba yake ili nifahamiane nae kabla ya kumtongoza. Kesho yake asubuhi ilivofika saa tano, hata sijamtongoza bado...
  9. JamiiForums Tanzania Hii kauli ya Nchimbi inaashiria kitu kimoja tu; kuna jambo zito na baya Ikulu ambalo sisi huku nje hatujalifahamu!

    https://www.jamiiforums.com/threads/nchimbi-awaomba-viongozi-wa-dini-kumwombea-rais-samia-dhidi-ya-watu-wabaya.2418471/ Hiki ni kipande kidogo cha video clip cha hotuba ya VP Dr Emmanuel Nchimbi alipohudhuria mkutano wa CPCT jana tarehe 7/2/2026. Ujumbe wa hotuba hii unasisitiza mambo kadhaa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kutolipwa Pesa za Kujikimu kwa Watumishi wa Ajira Mpya (Idara ya Afya) Manispaa ya Kigoma/Ujiji

    Sisi watumishi wa Idara ya Afya tulioajiriwa tarehe 23 Juni 2025 katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji, tunatoa malalamiko yetu rasmi kuhusiana na kutolipwa kwa pesa zetu za kujikimu ambazo kisheria na kiutaratibu zilipaswa kulipwa mara baada ya kuajiriwa. Hadi kufikia sasa, tumetumikia kwa kipindi...
  11. JamiiForums Tanzania Hizi ni kampeni zisizo rasmi zinazonikera mno mtandaoni

    1. Usile wanga 2. Usioe single mother 3. Unaweza anza biashara bila hata mtaji 4. Usioe asiye bikra 5. Usioe mwanamke mwenye miaka 30+ 6. Usipeleke mtoto A - level.. mpeleke chuo. ONGEZEA ZINGINE
  12. JamiiForums Tanzania Hii Haina tofauti na mzazi anamtoa mtoto wake kijijini aje kufanyia kazi za ndani mjini

  13. O

    JamiiForums Tanzania Siri inayofichwa kwenye "Yoni Detox" na miungu ya Kike

    CC: Mshana Jr TUFUNDISHE ZAIDI Wimbi la mafunzo yanayoitwa ya "asili" yakilenga wanawake, Kwa kutumia maneno kama Yoni Healing, Womb Health, au Kundalini. Ingawa yanaonekana kama ni mazoezi ya kawaida au afya, ndani yake kuna mambo mazito unayopaswa kuyajua kabla hujaingia. 1. Mtego wa Kiroho...
  14. JamiiForums Tanzania Kama Tume ya Jaji Eliezer Feleshi ilipuuzwa na akina Zombe wakaachiwa, Hii ya Jaji Chande Othman itasaidia nini?

    Ni kwamba hakuna chochote kipya kitachosaidia taifa letu. Watu wameuwawa hadi wakiwa majumbani na kwenye vijiwe vya kahawa wakiangalia Luninga. Mbona Tume ya Jaji Feleshi ilifunua ukweli wa wauaji Mabwe Pande na wakaachiwa huru?
  15. JamiiForums Tanzania Hii ramani rahisi sana vyumba viwili...hadi kuhamia inagharimu TZS Million 22

    2 Bedroom master ensuite hidden roof modern design 🏡 Kwa mahitaji ya Ujenzi na ramani na mafundi wa aina zote karibuni kwenye group zetu.....Hapa utatoshelezwa na utatoka mtu mpya! 💬 Chat nasi moja kwa moja (WhatsApp): wa.me//255789005562 Jiunge nasi kwenye channel yetu ya WhatsApp...
  16. JamiiForums Tanzania Hii haikushindi kuanza nayo - Vyumba vitatu. Tunahusika na design hadi Ujenzi

    CHECK OUT THIS SIMPLE AND COMPACT SEBULE KUBWA NZURI ,DINNING ,OPEN KITCHEN ,1SELF BEDROOM,1SINGLE BEDROOM ,AND MASTER BEDROOM WITH CLOSET ,PUBLIC TOILET CALL US +255624004650
  17. S

    JamiiForums Tanzania KWELI Video hii imetengenezwa kwa teknolojia ya Akili Unde

    Wakuu Ni dosari gani zinazoonekana kwenye video hii? Mimi nimeona kadhaa mathalani watu wanavyojongea kama vile si halisi.
  18. JamiiForums Tanzania Je Hii Ndiyo Kazi Waliyopewa Wanachama wa Chaumma (G55) Baada ya Kuukosa Ubunge?

    Kabla ya Uchaguzi Mkuu wote ni mashuhuda wa mitifuano ya kisiasa iliyotokea kwenye Vyama vya Siasa hasa Vyama hivi Chadema CCM ACT Wazalendo Chaumma Uchaguzi umeisha na kila mmoja amevuna alichopanda ata ambaye hakupanda kitu yawezekana kipo alichokivuna Lengo la Uzi huu ni maajabu ya kundi...
  19. JamiiForums Tanzania Mbona hii ni habari njema! !

    Ni nani aliita polisi? ? Nimesikitika sana! Kwa hali zilivyo karne hii ya 21, Nikipata habari kuwa kijana wangu wa miaka 13 ametia mimba mwanamke wa miaka 33: Nitamuita nimuulize hizi habari ni kweli au si kweli? Swali ni rahisi sihitaji maelezo. Akisema ni kweli, namuambia haya nenda...
  20. JamiiForums Tanzania HOJA Wajua Tanzania Haijawahi Kuwa na Katiba ya Wananchi?. Katiba Hii Iliyopo ni ya CCM!, Pongezi Katiba ya Samia, Ndio Katiba ya Kwanza ya Wananchi!.

    Wanabodi, Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, Utangulizi: Bandiko hili ni bandiko la manifestation ya Katiba mpya, japo hata mchakato wa Katiba mpya bado haujaanza, bandito linatoa pongezi kwa Katiba mpya ya Samia!, hii ni kufuatia kushindikana kwa mchakato wa Katiba mpya ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…