Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,442
- 7,660
Taarifa za kufuatilia mienendo ya ndege imeonesha Mheshimiwa Rais kaende Oman baada ya kutoka Russia.
Je kwanini kaenda huko bila kutoa taarifa? Je ndege ikipata hitilafu na ikatokea ajali huko, watatuambia nini sisi tuliomchagua?
Je kwanini kaenda huko bila kutoa taarifa? Je ndege ikipata hitilafu na ikatokea ajali huko, watatuambia nini sisi tuliomchagua?