King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
Najiuliza Hawa mabwanyenye wanao nunua ENEO la Namanga msasani kwenda mpaka Makangira wakiongozwa na huyo Mwamajeshi kutoka upanga OFISI ya Jeshi, na kuporomosha majengo ya ghorofa ni shi ngapi wanatoa?
Mh waziri sisi tulio kuwa wakzi miaka mingi maeneo ya Namanga msasani TUNATAMBUA yakuwa...
Anaonekana clearly hayuko fit, kifo anakijua Mungu ila kwa upate wa akili(mental fitness) hawezi kumudu kwa miaka miwili zaidi ijayo. Atapotea kwenye macho ya umma siku sio nyingi.
I don't care much about Uganda politics, but since he and his insane son is number one supporters of killer Samia...
Asalam aleikhum wa rahma tulah wabalaqatuh!
Kwa kweli nakosa la kusema. Nimeamini mfa maji heshi kutapata tapa. Imefikia tunatuma watu wakatubu na kupiga picha na Papa? Huyu huyu Papa ambaye miaka na miaka tunamtukana?
Tena ni beberu hawa. Haya mabeberu yametuweka sehemu mbaya sana. Watu wa...
Tusipende kuchukulia poa maisha tena maisha haya yakibongo kisa tu mshangazi wako au sponsor wako umekula hela zake wee sasa umejipatia platform na mic ya kuzungumza ndio uanze kuropoka ropoka.
Tusipende kuona kwamba kujiajiri ni kitu ambacho sio process, sio gharama na sio kigumu.
Chondechonde hizi Scripts za Hawa Wakatoliki Feki wa Mtaa wa Dovya, Kata ya Makangarawe ifike mahali hata Wakuu wa Nchi waon Aibu inabidi Wachutame kuweza Kufika hili Jambo.
Sisi Wakatoliki wa CCM na ambao siyo wa CCM hatupendezwi na hizi Scripts Kila Uchwao zinakuja kwa namna tofauti tofauti...
Wakuu wa Jukwaa, leo na mimi nina swali ambalo linakua linanitatiza sana kichwani kwangu kwa muda kidogo sasa.
Nimekua napitia hali ya kujiuliza maswali mengi sana juu ya kiumbe hiki kinachoitwa BUNDI. Bundi ni ndege mwenye sifa kede wa kede. Sitaki kuzungumzia sifa za ndege huyu, leo nimeona...
Wakuu
Nimekutana na hii taarifa huko Facebook kwa huyu mdao Kyela Tz anaeleza kuwa hii ni picha ya wagonjwa katika hospital ya wilaya ya Kyela wakiwa wamelala chini.
Vuta picha maiti za polisi wameuawa barabarani au kambini mwao ziki trend Kwa mitandao zikifuatiwa na matamko kama hayo ya black mask huko mtandaoni!
Hali itakuaje Kwa viongozi wetu ambao wamekua wakiwatumia polisi kama shielding ya matamko na power walizobeba kimamlaka dhidi ya wananchi...
Baada ya kuzuiwa zile rambo watu wakaanza kuleta vimifuko vidogo vyeupe vya plastic tukahoji sana uhalali wake lakini sikuona ufuatiliaji
Hali ikaenda mara tukazoea vifuko hivyo lakini kukawa na mifuko mingine ikaitwa ya magufuli na hapa kati kukashamiri mifuko mingine mingine tuliyozoeaga...
Mwanzoni kulikuwa na utaratibu mzuri kabisa! Kulikuwa na jukwaa la dini na si kila mtu aliruhusiwa kuingia huko! Hii ilisaidia kwa kiwango kikubwa kiwadhibiti hawa wapuuzi
Dini ni imani na ni jambo la kiroho lisilohitaji ithibati za kibinadamu
Dini jambo binafsi na kila mtu ana sababu zake za...
Wakuu Samahanini kwenye hii picha nimeitoa kwenye ukurasa wa ofisi ya waziri mkuu wakisema kuwa picha hii ni vijana waliokuwa wanaagwa na kwenda kufanya kazi ya boda boda huko UAE ama falme za kiarabu .
Swali: Hawa kweli ni vijana wanaoenda kuendesha boda boda uarabuni na je ni kweli uarabuni...
Nadhani kufanya kazi mochwari kuliniathiri sana.. Nilikuwa siogopi picha za kutisha.. Nilikiwa siogopi damu
Nilikuwa Niki post picha za kutisha halafu watu wakaogopa nilikuwa nawashangaa sana! Ila kwa kuheshimu hisia zao wakiniomba kuzifuta nilikuwa nafanya hivyo!
Sasa kuna hii hali...
Hapo vip!
Wanaume weupe tunaweka mbegu tu,alafu tunaendelea na kutafuta pesa na kubadisha dunia kuwa sehemu nzuri,ndio maana tumeleta technology,magari,umeme,computer,ndege n.k hapa hamna mwanaume mweusi anaweza kufanya haya, ndio maana hatupendi kugandana na wanawake kama hawa jamaa weusi...
Hello!
Sasa hivi kwenye sekta ya utalii fursa ziko wazi, kwenye sekta ya madini fursa ziko wazi, kwenye sekta karibu zote kuna fursa nyingi.
Kijana badala ya kushinda kwenye mitandao ya kijamii kusubiri post inayohusu serikali ukomenti negative tumia huu muda kuhakikisha aidha unaingia kwenye...
Ok, hakuna jipya katika dunia, lakini sometime back matendo ya ngono yalikuwa faragha na ngono haikuwa hyped namna hii, ngono ilionekana kama jambo la siri, aibu na muda mwingine sacred.
Ila sasa hivi binti wa miaka 19 ndio anakufundisha style, kijana wa kiume ameruka na mademu wee hadi...
Boxer umezunguuka nayo wee, usiku unaoga, unarudia boxer hiyo hiyo, mkiulizwa mnasema mwanaume unakuaje na boxer nyingi, je hicho sio kichaa? nyie ndio mnaumwa fungus kisha mkikutana na wadada mnawaambukiza.
Mwanaume usafi, kua na boxer za kutosha and keep your closed parts clean and dry...
Kuanzia Rais mstaafu ambaye ndio God father, Rais mwenyewe, Waziri Mkuu, Mawaziri, Wabunge, MaRC, MaDC, viongozi wa CCM na wengineo wote ni WASWAHILI kwa maana Ile ya Mzee Mtei iliyodadavuliwa msibani kwake na Jenerali Ulimwengu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.