King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
Walimu Ajira Mpya mwezi wa kwanza 2026 had leo hatujapewa pesa za kujikimu Halmashauri ya Wilaya ya Babati, tunateseka hatuna hela ya matumizi.
Pia Walimu wa Science na wa Arts huwa mishahara inatofautiana wa Science kwenye barua ya kazi tuliyopewa basic salary ni Shilingi 925,000 but...
Anonymous
Thread
arts
hii
lini
mishahara
mishahara ya walimu
science
serikalini
tabia
walimu
Leo nimepita nimekuta wese linasima 3820, nikashangaa sana nikaamua tu nijaze full tank, kwasababu najua baada ya muda huenda yatafika 5700, kama hali itaendelea kua mbaya baada ya muda tutakutana na 6500 kisha hii bei ya leo itaanza kuonekana ilikua mteremko sana.
chakuomba ni kwamba watu...
Unahisi Hii Hali ya Bei za Mafuta Kupanda Inaweza Kudumu Mpaka Lini? Na nini Kifanyike Ili Kujinasua na Kupanda Kwa Bei Za Mafuta?
Kupanda kwa bei za mafuta kunaathiri maisha ya kila siku na uchumi kwa ujumla. Ili kujinasua na hali hii, yafuatayo yanaweza kufanyika:
1. Kujenga viwanda vya...
Ndugu
Je hii ramani inaenea kwenye eneo la aquare mita 150 na kubakiza sehemu ya kupaki kagari na kuanika nguo.... Naombeni mawazo yenu ikibidi sana naombeni na vipimo
Mimi nilikuwa na waza icheze kwenye square mita 72 au 81 square meter...
Naombeni mawazo yenu na vipimo vizuri kadiri muwezavyo
Tumeona hivi karibuni, shughuli za ushirikiano wa kijeshi kati ya nchi yetu na Marekani.
Marekani kwa kifupi hawana urafiki na mtu yeyote au Taifa lolote.
Watakumeza halafu kukutema mzima mzima.
Msijesema wananchi hatukuwaambia!
Mwezi March mwaka huu, watumishi wanaishi maisha magumu sana.
Shirika limeshindwa kulipa madai hayo ya watumishi, mfano fedha ya likizo baadhi ya hifadhi za mwaka juzi hawajalipwa.
Pia limeshindwa kulipa stahiki nyingine ambazo baadhi ya taasisi ambazo ziko katika Jeshi la Uhifadhi zinalipa...
Anonymous
Thread
hifadhi
hifadhi za taifa
hii
jana
kero
kulipa
mpaka
mwaka
mwaka jana
mwezi
shirika
taifa
tanapa
wake
watumishi
yangu
Nafanya kazi na wachina
Sasa jana nikawa najihisi vibaya nikasema ngoja nikalale nijipumzishe hadi mda wa kutoka job kwenye chumba cha mchina.
Aisee nimekuta shangazi kaja 3 zimejaa pesa full
Habari wakuu
Nimepita mitandaoni nimekutana na clip ya mzee Wasira akikemea kuhusu watu kujiandaa na 2030, toka uchaguzi mkuu ulipokishwa mpaka sasa hata mwaka haijatumia.
Hii kitaalamu imekaaje wakuu ila binafsi naona ni kama dhiaka kwa uongozi uliopo,kwamba unaoangaliwa tu umalize muda...
Mnamo tarehe 15 Oktoba, 2009, dunia ilishuhudia moja kati ya matukio ya ajabu na ya kushtua zaidi katika historia ya runinga. Tukio hili, ambalo baadaye lilikuja kujulikana kama "Balloon Boy Hoax," lilianza kama uokoaji wa maisha ya mtoto na kuishia kama kashfa kubwa ya utapeli.
1. Simu ya...
Katika awamu ya sita, wanasiasa watatu waandamizi wamekufa kwa 'mstuko wa moyo' au kuugua ghafla
Alianza Job Ndugai.
Alifuata Jenista Mhagama.
Na sasa Wiliam Lukuvi.
Je, walikuwa wanaugua kwa muda mrefu wakaficha au?
Nani atafuata?
Kunani?
Unajua, maisha ya ndoa au mahusiano ni kama filamu ya action, lakini siku ukikutwa na "ushahidi" usio na maelezo, filamu inageuka kuwa ya mtihani mkubwa! Hebu fikiria, mkeo anafanya usafi, anasogeza kochi, ghafla anakutana na chupi ya kike ambayo haijawahi kuonekana kwenye bajeti ya nyumba hiyo...
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa hakuwa mwanzilishi wa mgogoro unaoendelea hivi sasa na Iran, huku akisisitiza nafasi ya Waziri wake wa Ulinzi, Pete Hegseth, katika mchakato wa kufanya uamuzi huo.
Akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara, Trump alielezea majadiliano ya ndani...
KANUNI YA CHANZO NA MATOKEO (THE LAW OF CAUSE & EFFECTS)
Ameandika Dr. dogoli kinyamkela 💀☠️
Kanuni hii ndio huitwa 'karma' na Wahindi.
Wakristo huiita "kanuni ya kupanda na
kuvuna".
Wanasema "apandacho mtu ndicho atakachovuna".
Kanuni hii inasema kwamba kile unachokitenda kwa watu...
Niaje waungwana
Raisi wa Marekani ndugu Donald Trump ameitishia NATO na EUROPE kwamba hivi punde wajiandae kukikabidhi kisiwa hicho katika mikono yake, kabla hawajakumbana na vifo vya kujitakia kutoka kwenye jeshi la Marekani.
Hapo chini ni vitisho vya raisi Trump huku Iran ikiahidi kusimama...
Juzi kati niliona kuna Mdau amelalamika kuwa kuna kampuni imekuwa ikimtumia ujumbe na wakati mwingine kumpigia kwamba wanataka kununua mkopo wake uliosalia kutoka Bosi ya Mikopoy a Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), sasa nami nimeona niweke hapa kero yangu inayoendana na hiyo.
Kuna hii kampuni...
Anonymous (f836)
Thread
heslb
hii
kampuni
kununua
kutaka
mimi
mkopo
wakati
wangu
wiki
Katika demo account, nimefanya trades 53 na kati ya hizo 40 zimeleta profit kwa kutumia hii pullback and breakout strategy.
Sasa natafuta vitabu na articles mbalimbali ili nifanye specialization kwenye hii strategy naona ni rafiki sana.
Kabla sijaiingiiza kwenye real money naombeni muongozo...
Ndugu zangu eid mubarak
Bwana bwana basi muvumilie japo kidogo mmalize 6. Yan jana tu mfungo mmemaliza mshaanza kusumbua kama nini Eid mkaisherehekee gest? Tangu jana ni mtu wa 4 tena wote walikuwa wamefunga wananialika Eid tukailie chimbo.
Me kwakweli nimekataa sitaki laana ndogondogo. Yani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.