Nina wasiwasi na hii ndoa yangu. Nifanyeje?

majam19

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2024
Posts
1,667
Reaction score
1,911
Habarini wakubwa,

Poleni na majukumu. Nianze kwa kuomba radhi kwa nitakaowakwaza.

Mimi ni kijana wa miaka 27. Baada ya majaribio ya muda mrefu ya kutafuta mke kushindikana, nilikata tamaa ya kuoa kabisa na nikaamua kubaki single.

Baada ya muda, dada yangu alinipatia binti mwenye miaka 17 na kunitambulisha naye. Kwa upande wangu sikuwa na jibu la moja kwa moja, ingawa familia yangu ilikuwa inaweka msukumo mkubwa ili nimuoe. Mimi bado sikuwa tayari.

Baada ya kuonana, alikuwa binti mzuri sana kwa muonekano, mashaallah, mtoto wa Kiislamu.

Baadaye dada yangu alinieleza nimpatie zawadi. Nikanunua mavazi ya Kiislamu kwa ajili yake pamoja na fedha, nikatoa zaidi ya laki mbili na nusu na pia nikawapatia nauli ya kurudi kwao.

Baada ya hapo niliendelea kuwaza kuchukua hatua gani, lakini moyo bado haukuwa tayari kwa sababu muonekano siyo kipaumbele changu, na pia nilikuwa sijajiridhisha kuhusu tabia yake na mambo mengine.

Binti aliporudi kwao, wazazi wake walimuuliza kuhusu mimi. Akawajibu kuwa ameridhika na mimi na yuko tayari kuolewa.

Changamoto ikaibuka upande wangu nilipoulizwa na dada yangu. Nilimwambia anipe muda zaidi nijifikirie kwa sababu hii ni hatma ya maisha yangu, na sikujihisi tayari.

Nilikaa zaidi ya wiki mbili, ndipo nikatoa majibu kuwa nakubali, lakini siwezi kuoa kwa wakati huo mwaka jana kwa sababu sikuwa vizuri kiuchumi na akili yangu haikuwa na utulivu wa kutosha. Wakakubali.

Baada ya hapo wazazi wa binti wakawa wanamuuliza dada yangu kuhusu hatua ya ndoa. Dada yangu aliwajibu kuwa nimekubali, lakini tunaomba ndoa iwe mwaka unaofuata.

Wazazi wa binti wakasema sawa, lakini kama ni hivyo nipelekewe barua ya posa ili binti atambulike rasmi kama mchumba.

Nilipata taarifa hiyo nikachukua muda kufanya maamuzi kwa sababu bado sikuwa na imani ya moja kwa moja na binti huyo.

Baada ya miezi miwili kupita, nikaandaa barua ya posa kupitia mshenga na nikatoa kiasi cha pesa akaipeleka kwa wazazi wa binti na wakapokea.

Baada ya hapo nikawa mchumba rasmi.

Sasa mwaka umeisha na sasa ni mwezi wa sita, wazazi wa binti wanaona bado nipo kimya, ingawa naendelea kumhudumia kwa fedha na mavazi japo si kwa kiwango kikubwa sana.

Kwa sasa wanataka nipeleke mahali ili hatua zifuate, lakini moyoni bado nahisi hofu. Natamani nimwambie mshenga tuachane kabisa, lakini bado nina wasiwasi. Ingawa yule binti anaonekana kunijali na kunitafuta, mimi bado sijajipa utulivu.

Najiuliza maswali mengi na majibu yake siyapati.

Naombeni ushauri, kaka zangu, dada, wajomba, bibi na babu zangu.

Asante sana.
 
Nachoweza kusema, kama mama wazazi wako walishiriki kumtafuta na wanamjua vyema huyo binti na familia yake basi Muoe. Wazazi wako siku zote wanakutakia mema, Inawezekana ni pisikali za mjini zinakuchnaganya ukimlinganisha na huyo binti.

KuDoubt unayemuoa ni jambo la kawaida sana hata ukiwa na huyo uliyemtafuta ww lazima uta doubt the same. For the collective goods Muoe huyo binti!
 
Habarini wakubwa ,

Poleni na majukumu nianze Kwa kuomba radhi Kwa nitakao wa kwaza
Mm ni kijana wa miaka 27 baada ya mahingaiko ya kutafuta mke Kwa mda mrefu kuwa magumu basi nlikata tamaa ya kuoa kabisa nkasema ntaendelea kuwa single
Kwa bahati nzuri dada yangu alinitafutia bint mwenye miaka17 na kunikutanishanae lkn Kwa upande wangu sikuwa na jibu la kumpa ingawa familiar yangu ilikuwa inatumia nguvu kubwa ili nimuoe yule Binti lkn mm bado sikuwa tayari
Baada ya kuonana alikuwa ni Binti mzur sana Kwa muonekano Tena mashaallah mtoto wa kiislamu
Baada ya hapo dad aliniambia nimpatie zawadi mi nakanunua mavaz ya kiislamu ya yule Binti pamoja sendo nilitoa zaidi ya laki2.5 nikawapa na nauli ya kurud kwao
Baada ya hapo nkawa nawaza n chukue hatua gan lakn moyo bado haukuwa tayar Kwa yule Binti sababu muonekano sio kipaumbele changu sijui tabia n.k

Sas Binti alivyorud kwao wazaz wake walimuuliza kuhusu mm yeye akawajibu Kuwa ameridhika na mm na yuko tayari kuolewa changamoto ikawa Kwa upande wangu nliulizwa na dada nlimwambia anipe mda zaidi nijifikirie maana hii ni hatma ya maisha yangu mm
Nlikaa zaidi ya wiki 2 wakaniuliza ndyo nikawapa majibu kuwa nimekubali ila siwez kumuoa Kwa wakati huo mwaka Jana sababu sipo vzur kiuchum na akili haijapata utulivu wakutosha wakasema saw
Baada ya wazaz wa yule Binti wakawa wanamuuliza dada kuwa sis tumefikia hatma Gani mbona tupo kimya sana dada akawajibu Kuwa mm nimekubali ila tuomba ndoa iwe mwakani yaani mwaka huku
Wazaz wa bint wakasema sawa ila kama ni hivyo nipeleke barua ya posa ili waweze kutambua kama bint n mchumba wa mtu taarifa hyo nlivyoipata nilichukua mda kufanya maamuz sababu bado sikuwa na Imani ya moja Kwa moja na yule Binti
Bas baada ya miez 2 kupita na jambo la kunitaka nipeleke barua bas nilitafuta mshenga akaandaa barua nkampa na kias cha pesa akapeleka wazaz wa bint wakapokea

Baada ya hapo nkwawa n mchumba rasmi sas mwaka ulishaisha na Sasa n mwezi wa 6 wazaz wa yule Binti wanaona bado nipo kimya ingawa huduma nampatia kama fedha na mavaz ingawa sio kivile sana ila huwa namtua
Kwasasa wanataka nipeleke mahali ila moyo najiona bado Nina hofu yaan natamani nimwambie mshenga tuachane na haya kabisa ila bado Nina hofu ingawa yule Binti anaonekana kunijali kunitafuta lakn mm naona bado sipo sawa
Najuuliza maswali majibu makosa sijui nifanye nn
Naombeni ushauri kaka zangu,dada,wajomba,bibi,na babu zangu
Asante sana
Namba ya binti, wewe achana nae. Ila chonde chonde naomba namba yake DM
 
Tukupe ushauri gani tena?
 
Nachoweza kusema, kama mama wazazi wako walishiriki kumtafuta na wanamjua vyema huyo binti na familia yake basi Muoe. Wazazi wako siku zote wanakutakia mema, Inawezekana ni pisikali za mjini zinakuchnaganya ukimlinganisha na huyo binti.

KuDoubt unayemuoa ni jambo la kawaida sana hata ukiwa na huyo uliyemtafuta ww lazima uta doubt the same. For the collective goods Muoe huyo binti!
Usimpoteze kijana.
 
Usichezee hiyo bahati ndugu kupata binti aliekuvumila na kukusikilizia muda huo wote sii kitu rahisi.
Kikubwa fanya maamuzi sahihi umuoe huyo binti.
Utakuja kuangukia sehemu isiyo sahihi na kuanza kuishi kwa kumbukumbu za majuto baada ya kusikia huyo binti ameolewa na mtu mwingine.
Yangu ni hayo tu .
 
Ulianza kwa kuchoka kutafuta mke, ukatafutiwa ila bado una wasiwasi. Huo wasiwasi ndio ulikufanya uchoke kutafuta mke.
Hapa hujasema ana kasoro gani, ila tu tabia yake huijui. Miezi 6 ya posa pamoja na miezi kadhaa nyuma kabla hujajihangaisha kumchunguza kimakusudi ili uje usingizie hujamfahamu vizuri.

Dini yenu huwa mnaamini majini ya ngono sijui mapenzi. Sasa sijui niseme ndio hilo linakusumbua. Au kuna mkono wa mtu?
 
Habarini wakubwa ,

Poleni na majukumu nianze Kwa kuomba radhi Kwa nitakao wa kwaza
Mm ni kijana wa miaka 27 baada ya mahingaiko ya kutafuta mke Kwa mda mrefu kuwa magumu basi nlikata tamaa ya kuoa kabisa nkasema ntaendelea kuwa single
Kwa bahati nzuri dada yangu alinitafutia bint mwenye miaka17 na kunikutanishanae lkn Kwa upande wangu sikuwa na jibu la kumpa ingawa familiar yangu ilikuwa inatumia nguvu kubwa ili nimuoe yule Binti lkn mm bado sikuwa tayari
Baada ya kuonana alikuwa ni Binti mzur sana Kwa muonekano Tena mashaallah mtoto wa kiislamu
Baada ya hapo dad aliniambia nimpatie zawadi mi nakanunua mavaz ya kiislamu ya yule Binti pamoja sendo nilitoa zaidi ya laki2.5 nikawapa na nauli ya kurud kwao
Baada ya hapo nkawa nawaza n chukue hatua gan lakn moyo bado haukuwa tayar Kwa yule Binti sababu muonekano sio kipaumbele changu sijui tabia n.k

Sas Binti alivyorud kwao wazaz wake walimuuliza kuhusu mm yeye akawajibu Kuwa ameridhika na mm na yuko tayari kuolewa changamoto ikawa Kwa upande wangu nliulizwa na dada nlimwambia anipe mda zaidi nijifikirie maana hii ni hatma ya maisha yangu mm
Nlikaa zaidi ya wiki 2 wakaniuliza ndyo nikawapa majibu kuwa nimekubali ila siwez kumuoa Kwa wakati huo mwaka Jana sababu sipo vzur kiuchum na akili haijapata utulivu wakutosha wakasema saw
Baada ya wazaz wa yule Binti wakawa wanamuuliza dada kuwa sis tumefikia hatma Gani mbona tupo kimya sana dada akawajibu Kuwa mm nimekubali ila tuomba ndoa iwe mwakani yaani mwaka huku
Wazaz wa bint wakasema sawa ila kama ni hivyo nipeleke barua ya posa ili waweze kutambua kama bint n mchumba wa mtu taarifa hyo nlivyoipata nilichukua mda kufanya maamuz sababu bado sikuwa na Imani ya moja Kwa moja na yule Binti
Bas baada ya miez 2 kupita na jambo la kunitaka nipeleke barua bas nilitafuta mshenga akaandaa barua nkampa na kias cha pesa akapeleka wazaz wa bint wakapokea

Baada ya hapo nkwawa n mchumba rasmi sas mwaka ulishaisha na Sasa n mwezi wa 6 wazaz wa yule Binti wanaona bado nipo kimya ingawa huduma nampatia kama fedha na mavaz ingawa sio kivile sana ila huwa namtua
Kwasasa wanataka nipeleke mahali ila moyo najiona bado Nina hofu yaan natamani nimwambie mshenga tuachane na haya kabisa ila bado Nina hofu ingawa yule Binti anaonekana kunijali kunitafuta lakn mm naona bado sipo sawa
Najuuliza maswali majibu makosa sijui nifanye nn
Naombeni ushauri kaka zangu,dada,wajomba,bibi,na babu zangu
Asante sana
Kwanza huna ndoa hivyo usiseme kuwa una wasiwazi na ndoa yako.Pili hauko tayari kuoa period.Waeleze wazazi wako na huyo mchumba wako mapema usije kuleta balaa la bila sababu.Muda ukifika utaoa,kwa sasa hauko tayari.PLEASE USIMPOTEZEE MUDA HUYO DADA MWAMBIE KUWA HUTAMUOA.
 
Nachoweza kusema, kama mama wazazi wako walishiriki kumtafuta na wanamjua vyema huyo binti na familia yake basi Muoe. Wazazi wako siku zote wanakutakia mema, Inawezekana ni pisikali za mjini zinakuchnaganya ukimlinganisha na huyo binti.

KuDoubt unayemuoa ni jambo la kawaida sana hata ukiwa na huyo uliyemtafuta ww lazima uta doubt the same. For the collective goods Muoe huyo binti!
Thanks too
 
Kwanza huna ndoa hivyo usiseme kuwa una wasiwazi na ndoa yako.Pili hauko tayari kuoa period.Waeleze wazazi wako na huyo mchumba wako mapema usije kuleta balaa la bila sababu.Muda ukifika utaoa,kwa sasa hauko tayari.PLEASE USIMPOTEZEE MUDA HUYO DADA MWAMBIE KUWA HUTAMUOA.
Asante Kwa ushauri
 
Back
Top Bottom