Mjukuu wako ana hoja nzuri sana na ya kiakili, kwani dhahabu na ardhi ni rasilimali zinazoonekana kwa macho na ambazo zimekuwa zikitunza thamani yake kwa karne nyingi dhidi ya mfumuko wa bei (inflation).Mjukuu wangu ananijuza ,,,babuuu kuliko kuweka fedha bank na kununua ma hisa...kwa nini watu wasinunue Dhahabu na ardhi tu?..
Nikafikiria nikataka kumjibu nikanyamaza.....kwa hiyo na mimi namiulizeni ninyi,,,,,
mnanke mie si mtaalamu wa inflation....
Liquidity ya dhahabu na ardhi ipoje?Dhahabu ni nzuri ila ardhi ni nzuri zaidi
Ahsante, dhahabu miaka mitatu iliyopita iliuzwa 200k kwa gram leo 2026 imefika 485k lakini bidhaa inayotegemea bei ya soko siyo ya kuaminika muda wowote inashuka kulingana na wapanga beiLiquidity ya dhahabu na ardhi ipoje?
Watu wanaofaidika na hisa wakisema wanunue Ardhi pengine Ardhi isiwatoshe, ama Dhahabu isiwatoshe etc wewe mwenzangu na Mimi nunua Ardhi badala ya hisa ila hao matajiri waachie wanunue Hisa.Mjukuu wangu ananijuza, babuuu kuliko kuweka fedha bank na kununua ma hisa. Kwa nini watu wasinunue Dhahabu na ardhi tu?
Nikafikiria nikataka kumjibu nikanyamaza.....kwa hiyo na mimi namiulizeni ninyi,,,,,
mnanke mie si mtaalamu wa inflation....
Si kweli, watu wengi Hasa wa pwani huwekeza kwa watoto wao wa kike kuwanunulia Dhahabu, masonara wamejaa kibao Mjini, familia za wahindi, waarabu, hata Makabila ya Pwani Wadigo, wabondei, wapemba etc ni Jambo la kawaida kabisa MTU akiolewa, mtoto wa kike akizaliwa etc kupewa Dhahabu, hio mpaka Kufa kwake inakua ni backup ya Maisha, ngumu kwa mtoto wa kike kuteseka akiwa na Dhahabu zake.Haziingizi hela daily. Pia dhahabu ndiyo serikali inapata hela za kigeni. Hawapendi kabisa kuona wewe mwenye madafu unanunua na kukaa nayo. Wameweka vikwazo kibao ili mbongo wa kawaida usiweze kuimiliki.
Si kweli, watu wengi Hasa wa pwani huwekeza kwa watoto wao wa kike kuwanunulia Dhahabu, masonara wamejaa kibao Mjini, familia za wahindi, waarabu, hata Makabila ya Pwani Wadigo, wabondei, wapemba etc ni Jambo la kawaida kabisa MTU akiolewa, mtoto wa kike akizaliwa etc kupewa Dhahabu, hio mpaka Kufa kwake inakua ni backup ya Maisha, ngumu kwa mtoto wa kike kuteseka akiwa na Dhahabu zake.
Sijajua mantiki ya Uzi wako uliolink na reply yangu, Tanzania utahangaika na vibali pale Tu unaposafirisha Madini "Ghafi" soma vizuri hio keyword Ghafi, Wengine mtaani Dhahabu ya hivyo wanaita Dhahabu chafu.Wakati wa vita au machafuko makali mara nyingi thamani ya pesa hupungua kwa kasi sana, au hata kupotea kabisa(mtu anagoma kukupa huduma hata kama una pesa.)
Anajua makaratasi hayo yanaweza kumfia. Lakini ukiwa na kitu kama dhahabu au silver mtu anakuwa na uhakika kuwa thamani yake haiwezi kufa overnight.
Na ikitokea unapanga kukimbia nchi, pesa yako ni ngumu kukusaidia. Nani atapokea pesa ambayo hajui kama kesho itakuwa na thamani? Na nchi unayokimbilia pesa yako haitakusaidia hata kidogo.
Unaweza kuwa na Tsh laki tano, ukafanikiwa kukimbilia labda Kenya, hiyo pesa huko Kenya...
- Lycaon pictus
- machafuko tanzania
- Replies: 4
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Achana na mapambo kwa sonara. Kuna duka unaweza kwenda na kununua dhahabu? Kwa wenzetu unaingia sehemu unakuta wanauza dhahabu kama coins au bars. Unanunua kama bidhaa zingine. Unaweza nunua online pia. Bongo serikali ikikukuta na dhahabu haina "vibali" ni kesi ya uhujumu uchumi.Sijajua mantiki ya Uzi wako uliolink na reply yangu, Tanzania utahangaika na vibali pale Tu unaposafirisha Madini "Ghafi" soma vizuri hio keyword Ghafi, Wengine mtaani Dhahabu ya hivyo wanaita Dhahabu chafu.
Ikishapita kwa sonara ukanunua Kihalali ukawa na risiti yako kudhibitisha Kodi umelipa vaa kama mkufu, bangili, Saa etc pita Airport nenda kokote hakuna atakaekusumbua.
Hata hapa Tanzania kuna Coins, point ni kwamba isiwe Ghafi, inafanywa hivyo kuzuia utakatishaji Dhahabu watu wasiwe na machimbo feki na Serikali isipate mapato. Sonara wanafuatiliwa na ukinunua kwao ambayo imeshasafishwa unapunguza risk ya kununua Dhahabu haramu.Achana na mapambo kwa sonara. Kuna duka unaweza kwenda na kununua dhahabu? Kwa wenzetu unaingia sehemu unakuta wanauza dhahabu kama coins au bars. Unanunua kama bidhaa zingine. Unaweza nunua online pia. Bongo serikali ikikukuta na dhahabu haina "vibali" ni kesi ya uhujumu uchumi.
Hivi Bongo huwezi nunua dhahabu ukaifadhi Bank?Haziingizi hela daily. Pia dhahabu ndiyo serikali inapata hela za kigeni. Hawapendi kabisa kuona wewe mwenye madafu unanunua na kukaa nayo. Wameweka vikwazo kibao ili mbongo wa kawaida usiweze kuimiliki.
Haiwezekani. Nchi inahitaji iuze hiyo dhahabu ipate dola. We kuiweka benki ni kama unakwamisha nchi.Hivi Bongo huwezi nunua dhahabu ukaifadhi Bank?