hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. PostGE2025 Kiuhalisia wananchi wamefanikiwa zaidi kuliko serikali

    Kitendo cha serikali kutumia nguvu kubwa kuminya uhuru wa watu kuandamana na badala yake watu wametii na kuamua kukaa ndani, hapo kiuhalisi walioshinda ni wale walioamua kukaa kimya . Ni sawa unagombana na mtu unajimaliza kwa kila kitu, unamsukuma mtu, una mdhihaki, una mtusi lakini mtu huyo...
  2. A

    Aisee! Kuanzia sasa namtafutia wife msaidizi wa kazi, kumbe ana kazi kubwa namna hii?

    Wife ana mtoto wa miezi miwili leo sijatoka mida ya mchana akaniambia nibaki na mwanangu yeye akachukue mboga aje kunipikia chakula Alivyoniachia dogo alikuwa katulia vizuri dakika tatu badae dogo akaanza kulia bembeleza wapi kidogo namimi nilie aisee mana sikuelewa cha kufanya nadogo analia...
  3. M

    Msisahau hii ni marathon sio mbio za mbuzi

    Naona nderemo na vifijo upande wa mboga mboga wameanza kuongoza mbio tayari wamejiona washindi pasipo kujua hapa msingi nikumaliza mbio sio kuongoza mbio, wamesahau hata mbio zilizopita tuliongoza mbio sisi, ndugu zangu baada ya kuanguka isitufanye tusiendelee na mbio lazima tumalize mbio .
  4. PostGE2025 Polisi: Hakuna maandamano askari wako mitaani, video zinazotumika ni za zamani

    Jeshi la Polisi limesema kuna picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikihadaa wananchi kuwa maandamano yameshaanza, huku likisema hakuna jambo kama hilo kwani vyombo vya ulinzi na usalama vipo mitaani kudhibiti hali kama hiyo. Hiyo ni kwa mujibu wa...
  5. Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1,036

    Katika kuadhimisha Miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Desemba 9, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa elfu moja na thelathini na sita (1,036) Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. George Simbachawene...
  6. Mpaka sasa saa 4 asubuhi Serikali 3 : Wafuasi wa Mange 0. Hii ndiyo Tanzania isiyoyumbishwa na mtu yeyote

    Niliwaambia kuwa namna ya uendeshaji wa shuguli za ulinzi na usalama hapa Tanzania ni wa kipekee. Hakuna mtu ataipeleka pua yake barabarani leo au siku yoyote. Na atakayejitoa akili kufanya hivyo mama yake na dada zake watalia sana.
  7. PostGE2025 Hii dhana ya CCM kuwa watu wanatumwa inatokana na nini?

    Kwani Watanzania hawana akili za kujitegemea mpaka wawe wanafanya mambo kwa kutumwa ana kuchochewa na wengine? Wao CCM huwa wanafanya mambo yao kwa kutumwa ama kuchochewa na nani?
  8. Hakuna umeme, hakuna maji na joto kali. Hii mande si mchezo

    TANESCO NA DAWASCO SIJUI DAWASA MTAUA WATU. Kama bi shosti kaamua kutesa watanganyika basi hii yenyewe.
  9. N

    PostGE2025 Political Tension: Video, hali ilivyo asubuhi hii toka katika jiji la Dar es salaam shukrani kwa DW

    Raia bado wanasoma mchezo wa hali halisi ila mpaka mida hii mitaa inaonekana kuwa ni myeupe kabisa. Tupe update za ulipo.
  10. Wasiokunywa kwa kisingizio cha uislam hii hapa dozi yenu

    https://www.youtube.com/watch?v=LW7e3PudD7k
  11. SI KWELI Video hii imerekodiwa Uyole mkoani Mbeya

    Tumia nyenzo za kidigitali kubaini eneo halisi iliporekodiwa video hii. Je, ni kweli imerekodiwa Uyole mkoani Mbeya kama ilivyodaiwa na mtumiaji mmoja wamtandao wa Instagram? anasema "Leo Mapema Uyole Fashion Week Hapa Igawilo"
  12. Wakiona hii waislamu wenye msimamo mkali

    FaizaFoxy ,Lucha Mnakaribishwa kutoa mapovu
  13. PostGE2025 Hii kauli ya kuwaita watanzania walioandamana ni wahuni na vibaka inatafsiri ukatili na ushetani wa viongozi dhidi ya wananchi

    Hapo vip! Viongozi wa kiafrika wengi huwa wanajiona ni watu special sana na wanauwalali wa kuishi kuliko mwananchi yeyote,hii tabia inatafsiri jamii ambayo bado haijastarabika na ambayo bado haijajikamilishi kuishi kama mwanadamu halisi. Kuna mzungu aliona yale mauwaji ya tarehe 29 Oktoba...
  14. TCRA wanakiuka ibara 18 ya katiba ya JMT . Mpaka sasa hawajaifungulia JamiiForums kitendo ambacho ni kinyume na sheria za nchi hii

    Ibara ya 18 ya katiba ya JMT imempa kila mtanzania haki ya kushiriki katika mijadala, kupeana taarifa na kuwa huru kupata habari. Kifungo cha Jamii forum jukwaa ljnalowaunganisha dunia nzima Watanzania kilisha keo saa sita usiku. Lakini mpaka sasa hivi Jamii forum haijafunguliwa Jambo ambalo...
  15. Paroko wangu wa KANISA la Karanga umenikosea Leo ibadani, Mimi sikuwa tayari kuwaombea wanahabari na viongozi wa serikali

    Baba paroko Tumsifu Yessu Kristo! Paroko wangu wa KANISA KATOLIKI karanga hapa Moshi vijijini Leo umenikosea ulipo niambia niwaombee viongozi wa serikali Ili watimize wajibu wao wa kutenda haki Pili umenilazimisha kuwaombea wanahabari Hawa washenzi wasio jua walifanyaro Hawa vikaragosi wa...
  16. Toyota wamezindua Supercar yao ya kwanza ya kushindana na kina Ferrari na Porsche: Toyota GR GT!

    Kwema wakuu? December iliyokua inasubiriwa imefika. Toyota wamefanya yao. Kupitia department yao ya Gazoo Racing, Toyota wamezindua Supercar yao ya kwanza, wanayoiita GR GT, ambayo ni street-legal racing car. Hii supercar itapambana na magari ya kifahari kama Ferrari, Porsche, nk. GR GT ni 2...
  17. KERO Hivi hii shida ya maji ni huku tu au nchi nzima?

    Hello Wakuu Hii mitaa yetu huku Dar es Salaam tunakabiliwa na changamoto ya maji karibia wiki nzima na sio kawaida kabisa Naomba kuuliza ni viunga vyetu tu hivi vya kimaskini au nchi nzima hili tatizo lipo? Hii hali ikiendelea hivi mbele kutakuwa kubaya sana
  18. 2025 Abu Dhabi GP: F1 Race ya Mwisho kwa huu mwaka itakayoamua nani awe World Driver’s Champion kati ya Norris, Verstappen au Piastri!

    Wakuu, Formula One Grand Prix kwa mwaka 2025 ndio imefika tamati weekend hii, kwa jumla ya GP 24 kuanzia March pale Australian GP na ya mwisho hii Abu Dhabi GP, uwanja wa Yas Marina. Hadi sasa msimamo wa michuano kwa upande wa kombe la madereva (Driver’s World Championship) unaongozwa na Lando...
  19. Moja ya habari ilionisikitisha sana mwaka huu ni hii

    Huko pakistan, wengi wa watoto wa kike wanapozaliwa wanatupwa na mama zao kutokana na utamaduni uliopo katika jamii zao wa kupendelea zaidi watoto wa kiume. Pakistan ni moja ya nchi duniani ambazo wasichana wanapitia uminyaji wa hali ya juu. Ndoa za utotoni, ndoa za kulazimishwa, ubakaji...
  20. PostGE2025 Hii video iliyowekwa na Spika mstaafu Dr. Tulia Instagram ina maana gani?

    Kutoka Instagram, Dr. Tulia ameweka video ya binti akifanya usafi kwa kufagia na kushindwa kutoa jani ambalo limeanguka chini kwa kutumia mfagio wake. Kwa hali ya kushangaza binti huyo anaonekana akihangaika kuchukua mashine ya kufanyia usafi (leaf blower) kujaribu kulivuta jani hilo bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…