hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Tuone Uwajibikaji Kwenye hii National Blackout

    Ifike mahali tuanze kuona uwajibikaji nchini kwenye mambo ya aibu kama haya ya National blackout concerning umeme wa gridi ya taifa. Emergency response system ya matatizo ya kimiundombinu kama haya yaliyotokea ilipaswa iwepo. Hatuwezi nchi nzima tukakaa saa 3 bila umeme na watu wapo tu...
  2. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii siwezi kuiamini VAR inayoongozwa na binadamu. Goli la Iran ni halali kabisa

    cha kushangaa ili ionekane ni offside anaonyenyeshwa mwenye jezi no. 9 wakati kule mwisho kuna mchezaji mwingine wa Misri. Jamani hii offside kivipi au mimi ndio sioni au sijui? Wachambuzi karibuni mnieleweshe hapa mana tutakesha. Nashukuru sana naona media kubwa imeona kama nilivyoona mimi...
  3. I

    JamiiForums Tanzania anae weza kuandaa hii ramani njoo fasta

    hii ramani nimeipenda ila inamaboresho kidogo nilihitaji mtaalam aiweke kwenye vipimo pamoja na 3d ikiwa bila BOQ. vitu vya kurekebisha ni hapo kwenye kuiondoa dinning ibaki vyumba vitatu kimoja master na choo cha jumuia na jiko iwe ya hidden roof njoo na bei tuongee
  4. Toredo0

    JamiiForums Tanzania Hivi mnajua hii hali kunyamaziana kujifanya tunalinda 'brand' tunapoteza watu sahihi sema tu hatujui?

    Mimi na demu wangu wote tunalinda brand hakuna anayemtafuta mwenzie tunaishi kuangalia status😂😂🙌 dah kweli hapa za kichwa tu vp wewe ndugu yangu hali yako uko…
  5. G

    JamiiForums Tanzania Je hii ndo Sheria ya vyama vya siasa na je hiki kipengele Cha namba E ndivyo kilivyo ??? Ni swali TU Wataalamu wa Sheria watusaidie ?

    Wataalamu watusaidie kuitambua hii Sheria kama ndivyo ilivyo ?? SHERIA YA VYAMA VYA SIASA (SURA YA 258) ------------- KANUNI (Zimetungwa chini ya fungu la 22(b)) KANUNI ZA MAADILI YA VYAMA VYA SIASA ZA MWAKA 2007 SEHEMU YA KWANZA UTANGULIZI 1. Kanuni hizi zinaitwa kanuni za Maadili ya Vyama...
  6. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Maandamano ruksa au fiksi za AI?

    Wajameni hii ni AI ya RC wa Dar Chalamila, inayosambaa mitandsoni? Au?
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Napata mashaka na kampuni ya META na hii serikali yetu

    Hii kampuni hipo siku na kama siku mtakuja kusikia wamefikishwa mahakamani nchini mwao kuhusu wao na serikali ya CCM. Nacho furahi wenzetu hawa kurupuki wakija kukupeleka mahakamani A to Z wanazo.
  8. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Hii ndo kete ya Mwisho na hatari zaidi ya CCM kupambana na maandamo tukivuka tumeshinda japo tutaumia sana

    Mara.zote.watawala wakiishiwa nguvu hizi ndo mbinu wanazoweza kuzitumia maana kuua siyo suluhisho. 1. Divide them and rule.. 2. Fake Propaganda and illusions.. 3. If you can't convince them, confuse them rejea history ya ujenzi wa mnara wa babel (Mwz 11, 1-9) 4. Let them fight each other...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania THE G.O.A.T

  10. Equation x

    JamiiForums Tanzania Masikini mwenzangu, unakubaliana na hii mada?

    Masikini wanatumia nguvu nyingi sana kutaka kuwaaminisha jamii kuwa ni matajiri, kwa kununua vitu vya anasa anasa visivyo zalisha; mfano, masikini atapambana sana kununua nguo za gharama, mikufu na micheni ya gharama, saa za gharama, magari ya gharama, kukodi usafiri binafsi kwa gharama n.k...
  11. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Sisemi kitu Picha yenyewe inajielezea, angalia Picha kisha jaribu kujiuliza ungekua wewe ungefanyaje?

  12. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Sugu ukikubali kudhulumiwa haki ya ubunifu wa wazo lako kimuziki safari hii nitakushangaa sana. Bado nasubiri response yako kuhusu hili tamasha.

    Ukiachana na mambo ya siasa, Sugu ni genius kwenye mambo ya biashara ya burudani. Fast toward, mwaka 2004 Sugu aliandaa / aliratibu tamasha maalumu la kutoa elimu ya na malaria na UKIMWI kwa vijana kwa njia ya tamasha la muziki. Sugu alienda hadi Marekani zaidi ya mara moja katika harakati za...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hii baridi, sio hili baridi

    Ni hii baridi, sio "hili" baridi. Hii baridi, Hii baridi, Hii baridi...
  14. Mwanga wa Jua

    JamiiForums Tanzania Kenya Vs Tanzania: Wenzetu Kenya baada ya kuzidiwa na madeni hii ndio njia mpya walioichagua kujenga uchumi wao.

    SASA KENYA INAJIELEKEZA KWENYE SEKTA BINAFSI ZAIDI KATIKA UJENZI WA TAIFA LAO, Mfano, Katika bajeti ya Kenya ya mwaka wa fedha 2026/27, serikali imeweka mkazo mkubwa wa kimkakati kwenye Ushirikiano wa Sekta ya Umma na Binafsi (PPP). Hali hii inatokana na kubana kwa nafasi ya kifedha kutokana na...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ngumu sana

    Hii nchi ngumu sana! Tanganyika ukitaka kuiona basi ni hapo TAMISEMI - ila sasa tumeletewa DC huyu Mohamed Hasan Moyo ambaye kwa mujibu wa taarifa ni mzanzibari! Isitoshe kumbe ni baba watoto wa Wanu na ndo mume wa kwanza - Mchengerwa ni mume namba mbili! Yaani mmekosa nchi nzima mtu wa kumweka...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutafsiri ndoto hii

    Wakuu nimeota hivi "Nilikuwa mimi na marafiki zangu tukitembea njiani pamoja tukafika sehemu tukakuta kuna hitilafu ya nyaya za umeme. Tukashauriana tupande juu ili turekebishe nyaya tukajaribu ila tukakosa belt balance position. Ikabidi turuke kwenye paa la nyumba. Ili tusubirie hizo belt...
  17. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kuna hii concept kuwa MTU mwenye kichwa kidogo anakuwa na IQ ndogo..!?

    Ipo Concept Moja kuwa MTU mwenye kichwa mviringo na mwenye kichwa kidogo ana IQ ndogo Au ana poor cognitive ability. Na vise versa yake kuwa watu wenye vichogo na vichwa vikubwa Wana good cognitive ability... Je dhana hii inaweza ikawa na ukweli kiasi Gani ?..
  18. technically

    JamiiForums Tanzania Nchi hii inatia hasira bila kwenda road hakuna kitu kitabadilika

  19. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Waasisi wa Taifa letu waliwafukuza mabeberu ili ku-mantain Tanzania's sovereignty leo chadema wanawatumia mabeberu ili kuhujumu Tanzania's sovereignty

    Chadema haikuanzishwa ili kupingapa na dhamira ya waasisi wa Taifa letu ya ku-mantain national sovereignty. Nashangaa kuona Leo hii chadema wanafanya siasa kwa mgongo wa mabeberu hii ni aibu na ni ujinga mkubwa. Chadema haikuanzishwa ili kuirudisha nchi kwenye utawala wa mabeberu, chadema...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya course ya Clinical Nutritions and Dietetics inayotolewa UDOM

    Clinical Nutritions and Dietetics (Utabibu lishe na Chakula) hii ni Faculty mpya iko pale UDOM. Miaka kadhaa sasa imekua na changamoto ya mtaala(Curriculum), hadi sasa tuliopo internship tunaona madhara ya curriculum bado haijitoshelezi. Tumekuwa tukiomba ipitiwe na kuundwa upya bila ya...
Back
Top Bottom