King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
Kwanini dharau zinakuwa nyingi kutoka kwa wadada wa aina hii?
kuna shida gani tukajenga wote maisha tokea chini? Kwani ni lazima unikute na gari tayari?
Hatutaki wa aina yenu wa telegram, tunataka mkiwa warembo mtukabalie na tutawafanyia makubwa mambo yakiwa makubwa.
Baada ya Kocha Jamhuri Kihwelo Julio kufutwa kazi jana na klabu yake ya Mashujaa Fc leo Crown Fm wakaamua kumpigia simu.
Juma Ayo akapiga simu, akakutana na matusi live bila chenga.
Julio akawaambia nyie Crown Fm nawachukia sana maana hapo kuna waandishi was*nge sana,
Ikabidi Crown Fm wa-...
Ebu acheni
Una enjoy luxury ya kucheka na moyo umetulia.
Kupost JF kwa mbwembwe maana moyo wako sio mzito
Kuna mtu anaamka anapokelewa na machungu, hajanywa chai simu tatu za kukumbushia madeni, wife ndio huyo anakuambia watoto nguo zinawabana.
Sio kwamba haukujipanga ila ni basi katika...
Kazi ni kipimo cha utu.
Assalam Alaika. Ndugu zangu watumiaji na wahandisi wa jukwaa pendwa JF. Nitumie Fursa hii kushauri jambo kwa wajenzi wa jukwaa, kuna baadhi ya MAENEO ya jukwaa unajiuliza nikiingia kusoma naanzaanzaje, twende kwa mifano
2026 FIFA World Cup - Special Thread
Ukiingia humu...
Ukisoma story ya ENKI na ENLIL unaweza kupata picha ya ninacho kisema hapa. Huenda hii Ikawa ndio sababu halisi kwanini shetani alimuhasi Mungu... Shetani hakupendezwa na mpango wa Mungu kumuumba binadamu na kuja kumtesa hapa duniani.. Ndio maana akaamua kuanzisha uasi huko mbinguni...
Jana Baraza kuu la waislamu Tanzania lilimfuta kazi shekh Walid shekh wa mkoa wetu wa Dar es salam kwa tuhuma za uzinzi
Ieleweke kwamba kwa sharia zetu za kiislam mzinzi tena mwenye ndoa adhabu yake apondwe mawe hadi afe na hili ndilo linamstahili shekh
Fanyenye hivi kwasababu nyie na...
Kwanini watu washukie na kupakia Kange wakati 98% ya watu wanakaa mjini Tanga na viunga vyake excluding Kange?
Ridiculous kuwa gari liko barabara say ya 14. Analiacha anapanda basi dogo kwenda kupakia Kange! Una maana gani kwa hatua hii?
Most likely wewe and your cronies mna daladala zenu...
Ni moja kati ya biashara ambayo wabongo wanajihusisha sana na NDUMBA, hata uwe msomi kama utahitaji kujimix na hao watu, kwao ndumba kwanza vingine vitafuata, usipokuwa tayari ni ngumu kupewa ushirikiano
Inahitaji uwekezaji mkubwa na bado hakuna gyarantee, unaweza kuwekeza milioni 100...
Kuna neno pale kariakoo kuna simu janja ukisikia msemo wanasema mletee kubwa jinga ni kwamba yani ukubwa wa kifaa sio sahihi wa matumizi.
Kwa tanzania kwa mtindo wa CCm wanaotumia ni kama wanazidi kujiweka gizani.
Mfano watalii wanaokuja kutembea hapa ni wengi wanatumia kenya,rwanda na nchi...
Hizi ni nyimbo kali 20 za kiafrika za muda wote. Haihitaji ubishi.
1. Rangi ya chungwa - Tabora Jazz
https://youtu.be/5zkWzZB8EYM?si=GVY_U-bk0DPEpAyj
2. Mario - Franco Luambo × TP OK jazz
https://youtu.be/7zZyGkGN7Sw?si=8VWknq5qmu21oswg
3. Umqombothi - Yvone Chakachaka...
Leo Wekend nilipata wasaa wa kukutana na mtu wangu wa idara za juu, katika maongezi kanihabarusha jambo la ajabu sana kuhusu Lisu, kwamba swala la Lisu lina shinikizo kubwa sana la Kisiasa, kuna pande mbili ndani ya watu wa juu CCM, moja haitaki aachiliwe na nyingine ikisema aachiliwe tu.
Ila...
Hii Dunia ukiwa haujui unachokitaka hata kwenye mahusiano utahamahama sana lazima uwe malaya , maana wanaume matajiri hawaishi yupo tu atakayemzidi uliyenaye , wanawake wazuri hawaishi yupo mzuri kuliko uliyenaye.
ukiwa na mtaji chini ya million 20 usijichanganye kwenye biashara za muonekano ambazo, taka, frame, TRA, manispaa, ulinzi n.k wote wanakuangalia wewe, na hii era tunayoenda nayo ndio basi tena,
Kwa miaka ya Sasa mtaji wa 5M -10M ukiikimbiza kwenye frame labda uwe na rare skills ambazo watu...
Natoa wito kwa Watanganyika wote na Wazinzabari kuichangia Chadema hii maana ipo kwa ajili ya ukombozi wa taifa letu.
Kutoa ni moyo. Watu wachangie bila kuwa na hofu . Pesa na michango ipo salama tofauti na zama za Mbowe.
Propaganda mfu za wanaCCM waliokosa sera zisisikilizwe.
Mimi binafsi...
Huyu Jamaa Sasa ndio kajionyesha yeye ni Mtu wa Aina gan.
Tulidhani labda ni Matumizi tu mabaya ya Nafasi ya Baba yake... Huyu Mtu ana uchu wa Madaraka, Mtu aliyetayari kufanya lolote ili mradi Awe Rais.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.