kunguni siyo ooooo
Namchukia sana
Vishenzi mno hivi vijitu! Ndiomaana vinakuwaga vingiii!Hadithi ya kunguni,huwa anapandwa na dume kwa njia ya insemination,anachomwa kamwiba na dume,maeneo ya tumboni,baada ya kuchomwa tu,huwa hafanyi Tena mapenzi,yeye shughuli yake ni kutaga tu,kwa maisha yake yote pindi akishiba tu,hutaga mayai 7-8 kwa siku moja,
Akiwa kwenye mchongo wa kula ndafu vizuri huweza kuishi kwa miezi 24.
Katoto kadogo kabisa ka kunguni huweza kunywa damu vizuri sana.
Wasumbufu sana haoShuleni walitutesa sana hawa jamaa.
Nilikuwa naosha hadi chaga na kuimwagia maji ya moto na dawa.
Lakini usiku kwenye neti unawaona wajuba wanapanda.
Tena mida yao ni ile usiku mnene. Ndio wanapanda kwenye neti.